Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Mwanaume huwezi mlinganisha na mwanamke ni sawa nawewe tukulinganishe na mkeo.Unajuaje kuwa kama ubao ungegeuzwa hao wageuzaji wangeenenda Kwa haki? Huenda Hali ingekuwa worse zaidi ya sasa
Mbona SGR tumeweza kuweka?Utapanga hela huna!?.. kutoa maji Viktoria kupeleka baadhi ya wilaya tabora imebidi mhindi atupe hela
Sgr mkopo kama maji ziwa Viktoria,kuyapeleka tabora tu 700+bMbona SGR tumeweza kuweka?
Usambazaji wa maji Tanzania nzima ni trilioni ngapi hadi tushindwe kuikusanya miaka 60+ yote hii ya uhuru, ila tukaweza kukusanya trilioni za kuweka treni ya umeme ndani ya miaka 5?
Kama treni tumeweza basi na maji pia tunaweza, hatujaamua tu, ni uzembe wetu wenyewe
Hajasikilizwa na nani? Hakuna watu wanaosikilizwa nchi hii kama wanajeshi.Mpaka anatoka hadharani pengine hajasikilizwa. Unategemea CDF aelekeze mawaziri nini chankufanya?
Hatuongelei kilimo na umwagiliaji.Well, at a minimum, we listen to fully understand what someone is saying, not to prepare to react to what we hear!
Alichoongelea Gen Mabeyo kinahusu sera pana ya taifa, kitu ambacho kiko nje ya mandate ya TPDF. Obviously, sera ya taifa ya kilimo cha umwagiliaji au industrialization haiwezi kuwa agenda ya TPDF.
To be fair, Mabeyo anaweza kuwa kafanya makosa mengi na sasa hivi analialia tu.Bora akae kimya tu asee.
Mzee Mobeyo kausha tu ule pensheni zako basi inatosha.
Leo hii ukilalamika sie wengine tufanyaje na wakati ulikua umeshika mpini ukashindwa kufanya maamuzi magumu
Kipindi nchi imeanguka chini ya mikono yako, ulikubali vipi kuikabidhi nchi kwa mwanamke? Kimbe dhaifu
Yaani kabisaa laivu bila chenga ukachukua nembo bibi na bwana ukamkabidhi mwanamke?
Mzee Mobeyo Jiulize hata wewe mwenyewe tu. Tangu uzaliwe ulishawahi kuiona nchi yetu hii kapewa mwanamke??
Au unadhani kipindi cha nyuma hakukuwepo na wanawake? Kina Nyerere wa wangewapa tu nchi kina bibi titi???
Bora hata ungempa nchi Ndugai, tukajua moja au hata mara 100 ungempa nchi Polepole kijana wetu mwenyewe huyu, asinge tubananga wala kutubagaza kama ilivyo sasa.
Eti ukaamua kufuata katiba(maneno yaliyotungwa miaka 60 huko yaje yafanye maamuzi katika dunia ya leo)
Katiba ni kijikitabu tu ulishindwa vipi kukichanilia mbali ukafanya maamuzi kwa masilahi mapana ya Tanganyika???
Mzee Mobeyo, ni kabila gani unalotoka wewe, ambalo utamaduni wake unaruhusu mwanamke kupewa madaraka/uongozi wa juu kiasi hiki.
Hivi huyu mzee ni kabila gani tuwaulize ndugu zake kama inaruhusiwa(Tanzania makabila yote ni watani)
mimi huwa simlaumu sana huyu mama kuwa hapo alipo, lakini ninawalaumu wale wote walioruhusu awe hapo eti kisa kijikitabu cha miaka ya 60 huko.
Ninaomba samahani kama wewe ulivyoomba pia
Kwa risk ya kumpa mwanamke nchi, asingelaumiwa popote.Umewahi kusikia huu usemi?
You’re damned if you do and damned if you don’t!
Chochote ambacho kingefanyika tofauti na Katiba inavyoelekeza kingekuwa uhalifu na angelaumiwa kwa hilo.
Bora mtu alaumiwe kwa kufuata Katiba kuliko kulaumiwa kwa kukiuka Katiba!
Mwanamke ni mwanamke tu KirangaNa Samia anashindwa kuendesha nchi kwa sababu ni mjinga, si kwa sababu ni mwanamke. Acheni ibaguzi wa kijinga na nyie.
Sio kila kiongozi mwanamke ni wa ovyo kama huyo fazafaka! Angela Merkel, kwa mfano, alikuwa kiongozi mwanamke wa shoka!Kwa risk ya kumpa mwanamke nchi, asingelaumiwa popote.
Kwa sababu, kwa kumpa madaraka makubwa mwanamke(kiumbe emotional) unajua kabisa, huyu kuna siku atakuja kuamka akiwa emotional na atasema hakuna nywinywinywi wala nywanywanywa.
Na ipo siku huko mbele atakuja kusema mengine mengi tu kwa sababu ni kiumbe emotional
Mwanamke ni mwanamke tu Kiranga
View: https://youtu.be/n1hGGGb2_L4?si=ssZ-S76PolTWYH5N
Kukaa states kidogo unasahau tamaduni mzee.
Katiba haitaki ubaguzi dhidi ya wanawake.Kwa risk ya kumpa mwanamke nchi, asingelaumiwa popote.
Kwa sababu, kwa kumpa madaraka makubwa mwanamke(kiumbe emotional) unajua kabisa, huyu kuna siku atakuja kuamka akiwa emotional na atasema hakuna nywinywinywi wala nywanywanywa.
Na ipo siku huko mbele atakuja kusema mengine mengi tu kwa sababu ni kiumbe emotional
Mwanamke ni mwanamke tu Kiranga
View: https://youtu.be/n1hGGGb2_L4?si=ssZ-S76PolTWYH5N
Kukaa states kidogo unasahau tamaduni mzee.
Ndiyo maana nilisema wewe na yeye hamko kwenye ukurasa mmoja. Yeye anasema tuna baraka kubwa ya water resources yet tumeshindwa kujinufaisha nazo kwa kiwango cha kuridhisha. Katika context ya speech yake, therefore, geopolitical issues zinazohusiana na water resources ziko out of scope!Hatuongelei kilimo na umwagiliaji.
Tunaongelea maji.
Wanaofuatilia migogoro ya dunia wanasema vita zinazokuja zitakuwa vita za kugombea maji.
Kama TPDF haijafanya lolote kujiandaa na tatizo la maji, haijafanya kazi yake.
This is a strategic issue.
Jeshi limeenda enda tu bila strategy kwenye mambo muhimu ya ulinzi.
Nchi ikiingia kwenye matatizo hawa wastaafu ambao hawajaiandaa nchi kuyakabili haya matatizo wanajitokeza kulialia.
Haruhusiw kuongea akiwa kweny cheo cha umma maana atakuwa anachanganya utumishi na siasaWakishakuwa nje ndio wanatia akili.
Kutokuwa katika kurasa mmoja is irrelevant.Ndiyo maana nilisema wewe na yeye hamko kwenye ukurasa mmoja. Yeye anasema tuna baraka kubwa ya water resources yet tumeshindwa kujinufaisha nazo kwa kiwango cha kuridhisha. Katika context ya speech yake, therefore, geopolitical issues zinazohusiana na water resources ziko out of scope!
unasema haya sababu upo nje system... mkund* na yeye atakuwa kama ww...ila hongera kwa kuthubu lkn badoGT
Huko serikalini kuna mambo hayapo sawa hili lipo waazi kabisaa.
Huyu mzee namheshimu sanaa kama naye kafika hatua ya kuongea hivi something is wrong and burning 🔥 inside samia government wazalendo wnapuuzwa
kumbe na ww ni jirani yangu......Segerea home pale mtaani barabara ya lami ameifikisha kitaa ndicho kikubwa alichofanya jirani yetu huyu muungwana