Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,620
- 15,134
Well, you ought to play the cards you’re dealt. Otherwise, give your own speech (on your area of interest)!Kutokuwa katika kurasa mmoja is irrelevant.
Mimi na yeye ni watu tofauti. Hivyo tukiwa hatupo katika ukurasa mmoja si ajabu.
Lakini facts za geopolitics ya dunia hazijali hilo.
Kama alishindwa kuongoza vizuri, alishindwa kuongoza vizuri tu na hilo halijali kama mimi na yeye tupo kwenye same page ama la.
Kwa hivyo kusema mimi na yeye hatupo kwenye kurasa moja ni irrelevant, a needless truism, a logical non sequitur fallacy, a non factor tautology.
That is another irrelevant truism.Well, you ought to play the cards you’re dealt. Otherwise, give your own speech (on your area of interest)!
Hana jipya porojo tu.GT
Huko serikalini kuna mambo hayapo sawa hili lipo waazi kabisaa.
Huyu mzee namheshimu sanaa kama naye kafika hatua ya kuongea hivi something is wrong and burning 🔥 inside samia government wazalendo wnapuuzwa
Dah ume nikumbusha mkataba wa kenya and usa, eti playing key part in ai through water supply!Alivyokuwa CDF akifanya nini kwenye tatizo hili?
Maji ni sehemu ya strategy ya usalama. Dunia inakwenda kupigana vita za kupigania maji.
Yeye alifanya nini kujiandaa na hili?
Hivi alikuwa anaomba nani amsamehe!!! Kama una uhakika na unachosema ni cha ukweli na hakuna Nia ovu! unaomba msamaha wa nini?hayapo sawa
Anajikosha wote walewaleGT
Huko serikalini kuna mambo hayapo sawa hili lipo waazi kabisaa.
Huyu mzee namheshimu sanaa kama naye kafika hatua ya kuongea hivi something is wrong and burning 🔥 inside samia government wazalendo wnapuuzwa
Absolutely 💯Alivyokuwa CDF akifanya nini kwenye tatizo hili?
Maji ni sehemu ya strategy ya usalama. Dunia inakwenda kupigana vita za kupigania maji.
Yeye alifanya nini kujiandaa na hili?
I am not aware of any army (in the world) that has directly taken on a public policy of these dimensions. If you’re, please let us know!That is another irrelevant truism.
Of course people play the cards they are dealth with.
But that does not excuse them if they don't know how to play, did not play right, and then start complaining after the game.
Or if they joined a rigged game and then start to bitch about it after the fact.
Our leaders have this habit of critiquing the systems after they leave, without even showing us what they did.
I can understand a Warioba saying that I wrote this report, with these recommendations, I warned about corruption and civil unrest, but nobody paid attention, this government is the problem.
What did Mabeyo do?
What did the TPDF's Corps of Engineers do to prepare for this issue, even just for their barracks as an example for the country?
Does the TPDF even have a Corps of Engineers?
If yes, what are they doing?
If no, why not?
Why is Mabeyo not talking about that?
Why is he not talking about the military's contribution to solving these problems?
Huyo mama hana miaka 5, matatizo haya yako miaka tangu Nyerere...Shida zote kazisababisha yeye, bi Minyonyo alishapigwa tanchi akaingilia kati kumkingia kifua.
Fala tu huyu, ndie chanzo cha matatizo tuliyo nayoGT
Huko serikalini kuna mambo hayapo sawa hili lipo waazi kabisaa.
Huyu mzee namheshimu sanaa kama naye kafika hatua ya kuongea hivi something is wrong and burning 🔥 inside samia government wazalendo wnapuuzwa
I am not aware of any army (in the world) that has directly taken on a public policy of these dimensions. If you’re, please let us know!
Armies can significantly influence public policy, providing expertise and operational reality, but that’s no reason for us to ignore the fact that the ultimate decision-making rests with elected civilian leaders under civilian control.
Kama hakupigania hatakiwi kuongea...?!Alivyokuwa CDF akifanya nini kwenye tatizo hili?
Maji ni sehemu ya strategy ya usalama. Dunia inakwenda kupigana vita za kupigania maji.
Yeye alifanya nini kujiandaa na hili?
Kuongea ni haki yake ya kikatiba, lakini ni unafiki kupewa kazi kubwa, kulala kazini, halafu unastaafu unajifanya unaongea sana, wakati ulikuwa na nafasi ya kulifanyia kazi tatizo na hujafanya kitu.Kama hakupigania hatakiwi kuongea...?!
Kumbe anatafuta Kick... Je yafaa apuuzwe...?!Kuongea ni haki yake ya kikatiba, lakini ni unafiki kupewa kazi kubwa, kulala kazini, halafu unastaafu unajifanya unaongea sana, wakati ulikuwa na nafasi ya kulifanyia kazi tatizo na hujafanya kitu.
Ni kama msanii anayetafuta kick tu.
Sasa huyu unamsikiliza na kumpa umuhimu ili iweje?Kumbe anatafuta Kick... Je yafaa apuuzwe...?!
Pale ambapo hakuna political will, hakuna cha maana kinachoweza kufanyika. Serikali ya CCM kwa nyakati tofauti imewahi kupewa recommendations mbalimbali na wadau mbalimbali kuhusu mambo mbalimbali. Mwisho wa siku kila kitu kimebaki kwenye makaratasi.You are making a logical nonnsequitur fallacy. I am not unaware that the ultinate responsibility rests with civikian leaders, that is not my argument.
I am asking what did Mabeyo do?
Umeongelea jeshi ku influence public policy. Jeshi ka Tanzania kina influence kubwa sana.
Sasa hilo jeshi la Wananchi Tanzania wapi lime influence public policy kwenye jambo hili?
Kuna mwanajeshi gani hata mstaafu kaandika hata kitabu cha kuelezea matatizo haya na njia ya kuyatatua?
Mabeyo analalamikia tu tatizo, yeye mwenyewe alivyokuwa CDF alifanya nini ku influence public policy kwenye hili?
Hili ndilo swali, na hujalijibu.
Naelewa dhana ya civilian control of the military na nimeisema sana hapa, kwa hiyo sitegemei jeshi lifanyie kazi public policy moja kwa moja kwenye hili.
But where is Mabeyo's contribution?
Mabeyo ameshindwa hata kutoa an anecdotal story alivyokuwa CDF walikuwa na tatizo hili jeshini, wakalitatua hivi na vile kambi fulani, waliweka mfumo wa kuvuna maji ya mvua, ukafanya kazi, na hivyo wananchi wanaweza kugeza mfumo huo. This is not rocket science. Jeshini wangeweza kufanya hiki kwa urahisi kabisa.
Hata kutupa mfano kama huo tu kashindwa anabaki analalama kama mtu ambaye hakuwa na responsibility yoyote.
Mbona Warioba kasema alishauri hili na lile na serikali haikufuata?Pale ambapo hakuna political will, hakuna cha maana kinachoweza kufanyika. Serikali ya CCM kwa nyakati tofauti imewahi kupewa recommendations mbalimbali na wadau mbalimbali kuhusu mambo mbalimbali. Mwisho wa siku kila kitu kimebaki kwenye makaratasi.
Transparency kwenye nchi yetu haipo. Mara nyingi sio rahisi hata kujua nani alitoa andiko gani kuishauri Serikali. Watawala wetu wanapenda mambo mengi kuongewa in private ili isifike mahali mtu fulani akaanza kusema (with evidence), “nilikuambieni lakini hamkutaka kusikia”!