Bado hakieleweki!vp huko wadau
nimegundua kitu kimoja, simba wakicheza na timu iliyotulia kama el mereick huwa wanacheza vizuri sana, sasa leo wanacheza na timu ambayo butua imejaa imejaa sana matokeo yake ile ladha ya mpira haipo. We angalia mechi zilizotangulia utaona utofauti na mechi ya leo!
Jamani kwa mpira huu tusitegemee timu ya taifa kufanyaa maajabu....kwa kweli tuna safari ndefu ila twaga kwa kujikongoja....Twiga Stars are much better
sina wasiwasi na vijana wa dar yng african.huko msimbazi waanda jeneza
Nimegundua kitu kimoja, Simba wakicheza na timu iliyotulia kama El Mereick huwa wanacheza vizuri sana, sasa leo wanacheza na timu ambayo butua imejaa imejaa sana matokeo yake ile ladha ya mpira haipo. We angalia mechi zilizotangulia utaona utofauti na mechi ya leo!