CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

enzi za shule ya msingi shule zikifunguliwa tunaongopeana nilikuwa uwanja wa taifa simba na yanga tehteh niliona Duwaaaaaaaaaa bin saaaaaaaaaaid alivyopiga goli. Raha sana sasa tunatizama online hapa wengine naona muda wa unazi bado sijui sababu hazijafungana bado kila mtu presha humu ... Simba piga 2-0 hao.. ila jamani asilimia kubwa hawa ndio wachezaji wetu wa Taifa bora tuanze kutizama na timu zengine kuwapa nguvu.
 
Huyu Mwape atolewe tu.....

Juma Seif ni aina ya viungo wa kisasa......Aanacheza kwa akili sana
 
Nimegundua kitu kimoja, Simba wakicheza na timu iliyotulia kama El Mereick huwa wanacheza vizuri sana, sasa leo wanacheza na timu ambayo butua imejaa imejaa sana matokeo yake ile ladha ya mpira haipo. We angalia mechi zilizotangulia utaona utofauti na mechi ya leo!
 
nimegundua kitu kimoja, simba wakicheza na timu iliyotulia kama el mereick huwa wanacheza vizuri sana, sasa leo wanacheza na timu ambayo butua imejaa imejaa sana matokeo yake ile ladha ya mpira haipo. We angalia mechi zilizotangulia utaona utofauti na mechi ya leo!

hata wewe kumbe umegunduwa ndio naliona hapa yanga wanatumia maguvu ya kuruka tu pembeni ubavu usiokuwa na msingi na washika vibendera wanapepea uongo tu kibendera.
 
Hivi tatizo la viungo kupenyeza mipira au kujenga formation ni tatizo sugu tanzania....kama umeme wa Ngeleja vile....huwezi kufunga kwa kumpa #9 mpira ya kujaza maji maji kama vile....unawachosha wenzako tu...foward hawezi kucheza mpira kampa beki mgongo na goli analotakiwa kufunga
 
Jamani kwa mpira huu tusitegemee timu ya taifa kufanyaa maajabu....kwa kweli tuna safari ndefu ila twaga kwa kujikongoja....Twiga Stars are much better

Mkuu acha dharau, unataka timu zicheze mpira gani? au kama vipi acha kuangalia, subiri primier leaguje.
 
Nimegundua kitu kimoja, Simba wakicheza na timu iliyotulia kama El Mereick huwa wanacheza vizuri sana, sasa leo wanacheza na timu ambayo butua imejaa imejaa sana matokeo yake ile ladha ya mpira haipo. We angalia mechi zilizotangulia utaona utofauti na mechi ya leo!

Nimeangalia mechi zote za Kagame......Kwangu mimi(bila ushabiki) Yanga wamecheza mpira mzuri(ukiacha mechi na El-Mereikh),Yanga wana midfielders wazuri ambao waliongeza ladha ya mchezo.....Simba wana mabeki wazuri ila hawana washambuliaji......

Mgosiiiiiiiiiiiiiiiiii

Chacha Marwa anatoa mpira inakuwa ni kona.....napiga kona Maftah .....Mafisango anatoa nje....Goal kick
 
Tension ina haribu kabisa radha ya mpira
wamekamiana kwa munkanri badala ya kucheza mpira, kwa mwendo huu yeyote anafungwa hapa
Na atakaeanza kufungwa nitolee
 
wakuu, hivi Asamoh, yupo bado yanga au mambo yamemzidi nguvu?
 
Du Sio siri siwezi kuongopa YAnga wamepiga gonga zilizoenda shule chini chini na ndefu za kumfikia mtu mguuni, Simba yangu inaniaibisha inatawala mpira ila Pasi mtu anapigiwa kichwani aibu hii. tukiweza kupiga chini tunawafunga Yanga.
 
Back
Top Bottom