Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Kamanda huyo Mathew Alitoka wapi?
Hapo ilikuwa ni baina ya sheteni mwenye nafuu. Ila misimamo ya Matthew inaeleweka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamanda huyo Mathew Alitoka wapi?
Blah BlahHahahahahah, hawa makamanda ukitaka kukalia kiti cha Kim Jon Un Mbowe tu unakua pandikizi na msaliti.
Katika maelezo yako umeelezea hivi au ilikua ni dis tu kwa viongoz waliotoka CCM?Na kwa misimamo yako humu ni kwamba huwaamini watu waliotoka CCM.Hapo ilikuwa ni baina ya sheteni mwenye nafuu. Ila misimamo ya Matthew inaeleweka.
Lisu mzalendo ktk nini?Huna lolote ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu hapa jukwaani. Lissu hahitaji kuwa mzalendo wa nchi hii kwa kijikomba kwa rais na speaker. Kama uzalendo ni kujikomba kwa viongozi baki nao ww na watu wa kijiji chenu.
Unaandika vitu gani wewe?Hapo ilikuwa ni baina ya sheteni mwenye nafuu. Ila misimamo ya Matthew inaeleweka.
Katika maelezo yako umeelezea hivi au ilikua ni dis tu kwa viongoz waliotoka CCM?Na kwa misimamo yako humu ni kwamba huwaamini watu waliotoka CCM.
Lisu mzalendo ktk nini?
Unaandika vitu gani wewe?
Sio katika kipindi hiki cha "biashar ya utumwa"Huo utetezi wa kwamba cdm inamuhitaji sana Mbowe wakati huu hata hauniingii akilini, akifa kesho basi jumanne asubuhi chama kinakufa? Siko na ccm kabisa kuhusu nafasi ya Mbowe, huenda ccm wanataka Mbowe aondoke kwa sababu zao, na mimi nina sababu zangu hata kama wote tumetaka hilo sasa. Mbowe ajilaumu mwenyewe kushindwa kuandaa succesion plan, kwani alipaswa kujua hiyo ni taasisi. Chama kinachomtegemea mtu mmoja kuwaongoza na sio mifumo ya uongozi, hicho sio chama bali kundi la wajanja linalofanya siasa. Naamini kwenye cdm taasisi na sio kwa cdm mtu.
Mkuu Tindo hata mim sijapendezwa na Mh Mbowe kuendelea kuwa M/k, lakini najiuliza nani mtu sahihi wa kukabidhiwa chama ktk zama hizi za Jiwe?Kama huyo Mwambe ameshindwa hiyo ni habari nzuri sana, sina imani na mtu yoyote toka ccm kupata nafasi yoyote ndani ya cdm. Bado Nyalandu, hao wanaccm 95%+ ndio waliorudi kuunga mkono juhudi, huu uchaguzi umenifurahisha sana. Ila doa langu kubwa ni kwa Mbowe kuendelea kulazimisha kuwa mwenyekiti wa cdm. Katika hilo simuelewi Mbowe wala siawaelewi kabisa cdm. Ifahamike cdm ni taasisi, iweje mtu mmoja akae madarakani zaidi ya miaka 15?
Huyu jamaa arudi CCM kuna siti yake.Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba Mwenyekiti wa Kanda ya Kusini Chadema Cecil Mwambe ameshindwa kutetea nafasi yake baada ya kuangushwa vibaya na mpinzani wake Suleiman Mathew.
Nafasi ya Makamu Mwenyekiti imekwenda kwa Salum Baruhan ambaye aliwahi kuwa mbunge wa Lindi mjini kupitia CUF
Kushindwa kutetea nafasi yake kwa Cecil Mwambe ambaye pia ni mgombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa inaonyesha ni salaam maalum za wanachadema kwake kuelekea uchaguzi mkuu wa chama hicho Desemba 18
Salaam za wanachama atakuwa kazipataHuyu jamaa arudi CCM kuna siti yake.
Mbowe ni Jemadari asiyeyumbaMkuu Tindo hata mim sijapendezwa na Mh Mbowe kuendelea kuwa M/k, lakini najiuliza nani mtu sahihi wa kukabidhiwa chama ktk zama hizi za Jiwe?
Kila nikiangalia simuoni, mnaweza kumuweka mtu pale juu alafu kesho kutwa akaunga mkono juhudi
Kwa sasa mtu pekee ni Tundu Lissu, tatizo lilopo Mh kasema kurudi kwake mpaka usalama wa maisha yake utakaa wekwa sawa
Mbowe ni shujaa wa zama hiziSio katika kipindi hiki cha "biashar ya utumwa"
Wabunge na madiwani bila kusahau baadhi ya wenyeviti wa vyama vya siasa wamenunuliwa (kwa ushahidi wakimazingira) na ccm mfano mzuri Lipumba na Mrema, kwa sasa nisiwataje wabunge na madiwani.
Mbowe hanunuliki pamoja na vikwazo vyoote vya kiuchumi jumlisha makesi kibao!
Mbowe ni Baharia mzoefu anakijua chombo kindakindaki.
Naunga mkono hoja, ila pia ndio mwanzo wa Chadema kuelekea hukuKushindwa kutetea nafasi yake kwa Cecil Mwambe ambaye pia ni mgombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa inaonyesha ni salaam maalum za wanachadema kwake kuelekea uchaguzi mkuu wa chama hicho Desemba 18
Asante kiongoziNdo demokrasia huo. kwanini wengine wanahisi kila anatetea nafasi akiangushwa basi ni hujuma. Acheni demokrasia ifanye kazi yake.
Hakika Mbowe atazidi kuaminika CDMTatizo ni ngumu sana kulijua kapi maana hata wale watu waliokuwa wanadhaniwa kuwa makini, mwisho wa siku walikwenda kupiga goti Lumumba. Bashiru keshasema ana barua kadhaa za wabunge wa Chadema wanaoomba kwenda CCM. Japo hii inaweza kuwa fix ila isipuuzwe pia
Umenena ukweli mchunguSafi sana,ili kushinda uchaguzi mkuu ujao tunatakiwa tuwe makini na mapandikizi ili ikifikia kuwa yanataka kurudi kwao yarudi bila wadhifa na kutuepushia demage.
Nenda kwenye hansard za Bunge umsikie speaker Makinda akielezea msaada mkubwa alioutoa Tundu Lisu Bungeni. Na alieleza wazi kuwa Tundu Lisu alikuwa mahiri kumzidi mwanasheria mkuu wa Serikali.Lisu mzalendo ktk nini?