Cecil Mwambe ashindwa vibaya uchaguzi Kanda ya Kusini

Hapo ilikuwa ni baina ya sheteni mwenye nafuu. Ila misimamo ya Matthew inaeleweka.
Katika maelezo yako umeelezea hivi au ilikua ni dis tu kwa viongoz waliotoka CCM?Na kwa misimamo yako humu ni kwamba huwaamini watu waliotoka CCM.
 
Huna lolote ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu hapa jukwaani. Lissu hahitaji kuwa mzalendo wa nchi hii kwa kijikomba kwa rais na speaker. Kama uzalendo ni kujikomba kwa viongozi baki nao ww na watu wa kijiji chenu.
Lisu mzalendo ktk nini?
 
Katika maelezo yako umeelezea hivi au ilikua ni dis tu kwa viongoz waliotoka CCM?Na kwa misimamo yako humu ni kwamba huwaamini watu waliotoka CCM.

Siwaamini kabisa, hata huyo Mathew mwenyewe simuuamini, ila kwa kuwa amechaguliwa na waliompigia kura, naheshimu kura zao. Lakini haimaanishi kuwa nawaamini wanaccm kupewa madaraka ndani ya cdm.
 
Lisu mzalendo ktk nini?

Mzalendo kwa vigezo vyangu, hata Hansard za bunge zinaonyesha ni jinsi gani alipigania maslahi ya nchi. Pia amewatetea kisheria kwa vitendo wananchi walikuwa wanazunguka migodi, na ushahidi upo. Huu uzalendo wa kumsujudia rais hana na wala asithubutu kuwa na huo uzalendo wa kijinga.
 
Sio katika kipindi hiki cha "biashar ya utumwa"
Wabunge na madiwani bila kusahau baadhi ya wenyeviti wa vyama vya siasa wamenunuliwa (kwa ushahidi wakimazingira) na ccm mfano mzuri Lipumba na Mrema, kwa sasa nisiwataje wabunge na madiwani.

Mbowe hanunuliki pamoja na vikwazo vyoote vya kiuchumi jumlisha makesi kibao!
Mbowe ni Baharia mzoefu anakijua chombo kindakindaki.
 
Mkuu Tindo hata mim sijapendezwa na Mh Mbowe kuendelea kuwa M/k, lakini najiuliza nani mtu sahihi wa kukabidhiwa chama ktk zama hizi za Jiwe?
Kila nikiangalia simuoni, mnaweza kumuweka mtu pale juu alafu kesho kutwa akaunga mkono juhudi
Kwa sasa mtu pekee ni Tundu Lissu, tatizo lilopo Mh kasema kurudi kwake mpaka usalama wa maisha yake utakaa wekwa sawa
 
Huyu jamaa arudi CCM kuna siti yake.
 
Mbowe ni Jemadari asiyeyumba
 
Mbowe ni shujaa wa zama hizi
 
Kushindwa kutetea nafasi yake kwa Cecil Mwambe ambaye pia ni mgombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa inaonyesha ni salaam maalum za wanachadema kwake kuelekea uchaguzi mkuu wa chama hicho Desemba 18
Naunga mkono hoja, ila pia ndio mwanzo wa Chadema kuelekea huku

P
 
Hakika Mbowe atazidi kuaminika CDM
 
Safi sana,ili kushinda uchaguzi mkuu ujao tunatakiwa tuwe makini na mapandikizi ili ikifikia kuwa yanataka kurudi kwao yarudi bila nyadhifa na kutuepushia demage.
 
Safi sana,ili kushinda uchaguzi mkuu ujao tunatakiwa tuwe makini na mapandikizi ili ikifikia kuwa yanataka kurudi kwao yarudi bila wadhifa na kutuepushia demage.
Umenena ukweli mchungu
 
Lisu mzalendo ktk nini?
Nenda kwenye hansard za Bunge umsikie speaker Makinda akielezea msaada mkubwa alioutoa Tundu Lisu Bungeni. Na alieleza wazi kuwa Tundu Lisu alikuwa mahiri kumzidi mwanasheria mkuu wa Serikali.

Tundu Lisu ndiye aliyelisaidia sana Bunge kuhusiana na miswada ya hovyo iliyokuwa ikiletwa na serikali bungeni. Lisu ndiye aliyrkuwa akiichambua kwa umakini huku wabunge wengi wa CCM kwa sababu ya ujinga (taarifa ya TWAWEZA) wakiwa hawana uelewa wowote juu ya ubovu wa miswada hiyo.

Makinda alisema, ni Lisu ndiye alikuwa akiliamsha bunge wakati likikaribia kupitisha miswada mibovu kuwa sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…