Tetesi: Cecil Mwambe kuhamia CCM muda wowote kuanzia sasa

Tetesi: Cecil Mwambe kuhamia CCM muda wowote kuanzia sasa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
'' Wananchi wa Ndanda walinipa heshima ya kuwa mbunge wao, leo ninatukanwa na Vibaraka wa Mbowe kuwa mimi ni dogo, nadhani imefika hatua ya wananchi wa Ndanda na Mtwara kwa ujumla kukataa kabisa uhuni na ubaguzi wa CHADEMA na kutokaa na kadi zao kwenye nyumba zetu'' Cecil Mwambe"

.....Atapokelewa na Humphrey Polepole
 
Muamala kipindi hiki kwenye TV huwa nakipenda sana
 
'' Wananchi wa Ndanda walinipa heshima ya kuwa mbunge wao, leo ninatukanwa na Vibaraka wa Mbowe kuwa mimi ni dogo, nadhani imefika hatua ya wananchi wa Ndanda na Mtwara kwa ujumla kukataa kabisa uhuni na ubaguzi wa Chadema na kutokaa na kadi zao kwenye nyumba zetu'' Cecil Mwambe"

.....Atapokelewa na Humphrey Polepole
Arudi chama dume kuliko kukaa kwenye saccos ya wahuni. Kila mwanachama ni kambale!
 
'' Wananchi wa Ndanda walinipa heshima ya kuwa mbunge wao, leo ninatukanwa na Vibaraka wa Mbowe kuwa mimi ni dogo, nadhani imefika hatua ya wananchi wa Ndanda na Mtwara kwa ujumla kukataa kabisa uhuni na ubaguzi wa Chadema na kutokaa na kadi zao kwenye nyumba zetu'' Cecil Mwambe"

.....Atapokelewa na Humphrey Polepole
The obvious, the expected!
 
Acheni uchizi nyie Lumumba.. Kwanini hamkuwaita TAKUKURU mka. Ishi atuu kwenye picha? Halafu akili zenu zilivyo mgando unajua mkutano ulikuwa n awatu wangapi? Milioni mbili kwa kila mjumbe unajua ni kiasi gani? Yaani nyie mkiitwa wenda wazimu mtakataa??
Mh. Mbowe a.k.a mla rushwa nambali wani aligawa mil 2 kwa kila mjumbe wa mkutano, ushahidi wa video upo kabisa, mkichonga sana tunautoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom