Tetesi: Cecil Mwambe kuhamia CCM muda wowote kuanzia sasa

Tetesi: Cecil Mwambe kuhamia CCM muda wowote kuanzia sasa

tusiwe waoga sana ata kama Jiwe ni laghai na mbabe kiasi gani hawezi kushindana na nguvu za wananchi

pia makosa ya pombe yako wazi sana hasa kipindi hiki unapofarakana na wananchi unazua taharuki na wanakuchukia kwa vitendo

kuendelea kwake kutegemea visasi na ubabe itakua aibu baada ya muhula wake kuisha
 
Inabidi mjitafakari, lazima shida ipo mahali.

Haiwezekani kila anayeondoka mpuuzie malalamiko yake.
 
Nenda huko na unafiki wako
'' Wananchi wa Ndanda walinipa heshima ya kuwa mbunge wao, leo ninatukanwa na Vibaraka wa Mbowe kuwa mimi ni dogo, nadhani imefika hatua ya wananchi wa Ndanda na Mtwara kwa ujumla kukataa kabisa uhuni na ubaguzi wa CHADEMA na kutokaa na kadi zao kwenye nyumba zetu'' Cecil Mwambe"

.....Atapokelewa na Humphrey Polepole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom