Tetesi: Cecil Mwambe kuhamia CCM muda wowote kuanzia sasa

Tetesi: Cecil Mwambe kuhamia CCM muda wowote kuanzia sasa

Hakuna asiyejua hayo.kitendo cha kudharau chama chake kilichomdhamini ubunge kisa kashutumiwa Na halima sio uungwana.mwambe busara zero.hayo angeyafanya ccm angeshawekwa kitimoto.
 
'' Wananchi wa Ndanda walinipa heshima ya kuwa mbunge wao, leo ninatukanwa na Vibaraka wa Mbowe kuwa mimi ni dogo, nadhani imefika hatua ya wananchi wa Ndanda na Mtwara kwa ujumla kukataa kabisa uhuni na ubaguzi wa CHADEMA na kutokaa na kadi zao kwenye nyumba zetu'' Cecil Mwambe"

.....Atapokelewa na Humphrey Polepole
aende tu Ni maamuzi yake....na hiyo ndo Rangi yake toka Zamani
 
kama ndo uyu alitaka kuwa Kamanda Mkuu wa Upinzani...asingeweza

na hakika angekiua chama mapema sana

bahati mzuri hana tena mkia



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu yangu, ungesoma kwa umakini na mtiririko usingefikia kunivisha huo u CCM.Sijawahi kuwa huko. AMEN

Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani mkuu. Nimesoma hadi mwisho na nikatoka na hitimisho hilo.
Lkn kumbe sio wa CCM.

Unaonaje alichokifanya mwenyekiti wa CCM kwa akina January hadi kuomba samahani?
Ubarikiwe sana
 
Yaaani kwa intelijensia ya CDM huyo jamaa alikuwa na dalili za kurejea ccm toka kitambo!
Kapata sababu ati!
 
Kwahiyo ushauri wako ni nini?
Mimi nimemuelewa sana Cecil Mwambe kwa ujasiri wake. Ataondoka Chadema akiwa ameiachia changamoto za kutosha tu kupitia hoja zake alizozitoa wakati wa kampeni. Na uzuri alisha ahidiwa na Magufuli kutetea kiti chake cha ubunge iwapo atarudi nyumbani (ccm), hivyo hana cha kupoteza.

Wakati huo huo, hao wabunge wengine wa Chadema bahati mbaya hawajui kesho yao itakuwaje! Wanatambua fika mwakani wana wakati mgumu sana wa kupoteza majimbo mengi kwenye uchaguzi mkuu kwa sababu tu ya figisu na fitna za ccm, na pia kwa sababu ya ukosefu wa tume huru ya uchaguzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hana impact yoyote ndani ya cdm.
Mwache arudi kwao maana kamabale daima hawezi kusahau majini
'' Wananchi wa Ndanda walinipa heshima ya kuwa mbunge wao, leo ninatukanwa na Vibaraka wa Mbowe kuwa mimi ni dogo, nadhani imefika hatua ya wananchi wa Ndanda na Mtwara kwa ujumla kukataa kabisa uhuni na ubaguzi wa CHADEMA na kutokaa na kadi zao kwenye nyumba zetu'' Cecil Mwambe"

.....Atapokelewa na Humphrey Polepole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom