Tetesi: Cecil Mwambe kuhamia CCM muda wowote kuanzia sasa

Tetesi: Cecil Mwambe kuhamia CCM muda wowote kuanzia sasa

'' Wananchi wa Ndanda walinipa heshima ya kuwa mbunge wao, leo ninatukanwa na Vibaraka wa Mbowe kuwa mimi ni dogo, nadhani imefika hatua ya wananchi wa Ndanda na Mtwara kwa ujumla kukataa kabisa uhuni na ubaguzi wa Chadema na kutokaa na kadi zao kwenye nyumba zetu'' Cecil Mwambe"

.....Atapokelewa na Humphrey Polepole
Aende tu. Alizoea laini laini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambe ni oil chafu kumbe bado yuko chadema? Aende tu.
 
Kwani muwakirishi wako wakuesabu kura zako kutoka kwenye debe hakuesabu vizuri .Hukuridhika? kura zako zilivyoesabiwa.Upinzani wa sasa hivi utajengwa na wale wanaojitambuwa sio wale wabinafsi wa vyeo,madaraka,na ulaji.
 
'' Wananchi wa Ndanda walinipa heshima ya kuwa mbunge wao, leo ninatukanwa na Vibaraka wa Mbowe kuwa mimi ni dogo, nadhani imefika hatua ya wananchi wa Ndanda na Mtwara kwa ujumla kukataa kabisa uhuni na ubaguzi wa Chadema na kutokaa na kadi zao kwenye nyumba zetu'' Cecil Mwambe"

.....Atapokelewa na Humphrey Polepole
Hilo mbona lilijulikana muda mrefu? Alishahamia CCM muda mrefu. kwani anataka kuhamia mara ya ngapi? Huyu si mwana Chadema tangu biashara ya binadamu ilipoanzishwa na Polepole na Jiwe mwaka jana.
 
Arudi chama dume kuliko kukaa kwenye saccos ya wahuni. Kila mwanachama ni kambale!
Sasa mbona hata kwenye kanda yake hiyo hiyo ya Kusini walimtosa? kwani nako waligombea na Mbowe? Sema tu watu hasa wenye damu ya CCM wanamwogopa Mbowe hadi wanatia aibu.
 
Mh. Mbowe a.k.a mla rushwa nambali wani aligawa mil 2 kwa kila mjumbe wa mkutano, ushahidi wa video upo kabisa, mkichonga sana tunautoa.
Hauna wewe ushahidii..unaogopa Nini wakati ID yenyewe anonymous..unawatishia nyau CDM wako eeh..😊😊
 
Aliondoka Edo Chadema ikabaki imara, kaondoka Sumaye Chadema ikazidi kuwa imara! Mwambe ni mdogo sana pale Chadema akipenda asepe tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Ni lini aliwahi kuwa mwanachama wa chama hicho?

Jiulize lini aliwahi kulala selo Kama kweli alikuwa wa chama hicho?

Wa chama hicho Wote walishaingizwa Selo kasolo yeye TU,

Yeye Anawezaje kujiita mpinzani bila kuingia selo?
Ikiwa wenzake wanahudhuria kliniki Hadi Leo Yeye lini Kaenda kliniki? SIASA TUWAACHIE WENYE KUFAIDIKA NAZO.
 
'' Wananchi wa Ndanda walinipa heshima ya kuwa mbunge wao, leo ninatukanwa na Vibaraka wa Mbowe kuwa mimi ni dogo, nadhani imefika hatua ya wananchi wa Ndanda na Mtwara kwa ujumla kukataa kabisa uhuni na ubaguzi wa Chadema na kutokaa na kadi zao kwenye nyumba zetu'' Cecil Mwambe"

.....Atapokelewa na Humphrey Polepole
To hell!
 
Hahahahahaaaa!Arudi tu.Makalio ya ngedere huyo!He's got nothing but two bags full of seeds!
 
'' Wananchi wa Ndanda walinipa heshima ya kuwa mbunge wao, leo ninatukanwa na Vibaraka wa Mbowe kuwa mimi ni dogo, nadhani imefika hatua ya wananchi wa Ndanda na Mtwara kwa ujumla kukataa kabisa uhuni na ubaguzi wa Chadema na kutokaa na kadi zao kwenye nyumba zetu'' Cecil Mwambe"

.....Atapokelewa na Humphrey Polepole
Aende tu hakuna namna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimwili walikuwa CHADEMA, kiroho walikuwa CCM,waligombea CHADEMA wakijua kuwa watashindwa ili wapate sababu ya kurudia CCM.
 
Mimi nimemuelewa sana Cecil Mwambe kwa ujasiri wake. Ataondoka Chadema akiwa ameiachia changamoto za kutosha tu kupitia hoja zake alizozitoa wakati wa kampeni. Na uzuri alisha ahidiwa na Magufuli kutetea kiti chake cha ubunge iwapo atarudi nyumbani (ccm), hivyo hana cha kupoteza.

Wakati huo huo, hao wabunge wengine wa Chadema bahati mbaya hawajui kesho yao itakuwaje! Wanatambua fika mwakani wana wakati mgumu sana wa kupoteza majimbo mengi kwenye uchaguzi mkuu kwa sababu tu ya figisu na fitna za ccm, na pia kwa sababu ya ukosefu wa tume huru ya uchaguzi.
Things are not such straight forward.
 
Back
Top Bottom