Tetesi: Cecil Mwambe kuhamia CCM muda wowote kuanzia sasa

Tetesi: Cecil Mwambe kuhamia CCM muda wowote kuanzia sasa

'' Wananchi wa Ndanda walinipa heshima ya kuwa mbunge wao, leo ninatukanwa na Vibaraka wa Mbowe kuwa mimi ni dogo, nadhani imefika hatua ya wananchi wa Ndanda na Mtwara kwa ujumla kukataa kabisa uhuni na ubaguzi wa Chadema na kutokaa na kadi zao kwenye nyumba zetu'' Cecil Mwambe"

.....Atapokelewa na Humphrey Polepole
Kwa kauli kama hii ni wazi hawezi kuendelea kuwa CHADEMA. Tayari anarudi kwao...... Mission failed!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh. Mbowe a.k.a mla rushwa nambali wani aligawa mil 2 kwa kila mjumbe wa mkutano, ushahidi wa video upo kabisa, mkichonga sana tunautoa.
Ccm mnavomchukia mbowe na cdm Leo mnasubiri watu wachonge ndio mtoe huo ushahidi?maviiiiiiiii
 
Ile tweet ya Halima Mdee, kiukweli haikuwa na staha na haikustahili kutoka kwa mtu wa heshima yake. Ni mwendelezo tuu wa Uchachawangwe wa Chadema kwa wote wanaoonekana threat kwa Mbowe. Mwambe hana option, ahamie tuu upande wa pili la sivyo 2020 atakosa vyote.
 
Chadema haiwezi kupata demokrasia popote kama wenyewe hawana hiyo demokrasia.
 
Arudi chama dume kuliko kukaa kwenye saccos ya wahuni. Kila mwanachama ni kambale!

1577103726926.jpeg

Chama dume baada ya kupita bila kupingwa 😂😂😂😂
 
'' Wananchi wa Ndanda walinipa heshima ya kuwa mbunge wao, leo ninatukanwa na Vibaraka wa Mbowe kuwa mimi ni dogo, nadhani imefika hatua ya wananchi wa Ndanda na Mtwara kwa ujumla kukataa kabisa uhuni na ubaguzi wa Chadema na kutokaa na kadi zao kwenye nyumba zetu'' Cecil Mwambe"

.....Atapokelewa na Humphrey Polepole
"Anarudi home. Kumenoga"
 
Mwambe huns jipya huna shukrani CCM walikubwaga,Chadema wakakuinua wakakupigania ukapata ubunge,hivi ni lazima uwe Mwenyekiti wa Chadema Taifa? Kwa kuwa unataka sana Uenyekiti Taifa nenda CCM utaupata tu ila kumbuka Fadhila za Chadema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh. Mbowe a.k.a mla rushwa nambali wani aligawa mil 2 kwa kila mjumbe wa mkutano, ushahidi wa video upo kabisa, mkichonga sana tunautoa.
MBONA WESHACHONGA MWAGA MBOGA MAANA UGALI TAYARI UPO MCHANGANI
 
Mimi nimemuelewa sana Cecil Mwambe kwa ujasiri wake. Ataondoka Chadema akiwa ameiachia changamoto za kutosha tu kupitia hoja zake alizozitoa wakati wa kampeni. Na uzuri alisha ahidiwa na Magufuli kutetea kiti chake cha ubunge iwapo atarudi nyumbani (ccm), hivyo hana cha kupoteza.

Wakati huo huo, hao wabunge wengine wa Chadema bahati mbaya hawajui kesho yao itakuwaje! Wanatambua fika mwakani wana wakati mgumu sana wa kupoteza majimbo mengi kwenye uchaguzi mkuu kwa sababu tu ya figisu na fitna za ccm, na pia kwa sababu ya ukosefu wa tume huru ya uchaguzi.
 
Back
Top Bottom