Tetesi: Cecil Mwambe kuhamia CCM muda wowote kuanzia sasa

tusiwe waoga sana ata kama Jiwe ni laghai na mbabe kiasi gani hawezi kushindana na nguvu za wananchi

pia makosa ya pombe yako wazi sana hasa kipindi hiki unapofarakana na wananchi unazua taharuki na wanakuchukia kwa vitendo

kuendelea kwake kutegemea visasi na ubabe itakua aibu baada ya muhula wake kuisha
 
Inabidi mjitafakari, lazima shida ipo mahali.

Haiwezekani kila anayeondoka mpuuzie malalamiko yake.
 
Nenda huko na unafiki wako
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…