Cecil Mwambe: Nimeshindwa kwenye uchaguzi Mkuu wa CHADEMA kwa kuwa uwanja haukuwa sawa

Unalalama, kuwa hukupewa uwanja sawa wa kampeini. Kweli ulifikiri under any circumstances utamshinda Mbowe? Kama unapendwa wala huna haja ya kampeni maana wote wanakufahamu, katika waliokuwa kwenye ukumbi wote wanakujua fika, sasa huko kukosa usawa wa muda unatoka wapi? Ulitegemea Mbowe akasimu Uenyekiti kwa vile alikuwa mgombea? Dunia nzima huwa inafanya hivyo? Jitafakari.
Nakushauri, Magufuli ameshakukubali, alisema kiroho na damu wewe ni CCM, bali kimwili uko Chadema, rudi nyumbani, waachie Chadema yao!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juzi kwenye mkutano mkuu wa Chadema pale Mlimani City, watu wa Jiji, au polisi, au serikali waling'oa bendera za Chama hicho zilizokuwa kwenye roundabout na nguzo baadhi barabarani.

Nimepita mtaa fulani hivi, tena kwenye jimbo la Chadema (mbunge wa Chadema) nikakuta bendera hizi za CCM zimepangwa barabarani (ona picha).

Kama wanachadema wangekuwa na roho mbaya kama ya wanaCCM na serikali yao hizi bendera nazo zingekuwa zimeng'olewa!

Hongera Chadema kwa kusimamia amani na utulivu nchini. Msilipe baya kwa ubaya. Msiige roho ya kishetani ya wapinzani wenu. Ujinga hauondolewi kwa ujinga. Mmeshinda big time Chadema.
 
Kama mbowe hakuwa anatakiwa huko kuongoza vikao kusingesaidia. Hivyo kama walikuwa wanamtaka Mwambe wangemchagua tu.
Kura hutabirika mapema sana uchaguzi ni tokea la huo huo uamuzi kwa hiyo asilalamike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchaguzi urudiwe, Mbowe ajiuzulu uwenyekiti akabidhi chama kwa katibu mkuu ndiye awe muongeaji mpaka baada ya uchaguzi ndio akabidhiwe mwenyekiti kuongea.
Cecil Mwambe ana hoja, asibezwe.
 
Hili hata mimi lilinishangaza sana, kiukweli jiondoe hiyo saccos,vinginevyo hao mafia hawatakuchelewesha ,kwanza ulipowananga kuhusu ruzuku ndio uliharibu kabisa. they are very angry against you.

Pia kama uko makini Mbowe anakusema sana ila kwa tahadhari sana,hakupointi moja kwa moja ila sisi wajuvi tunampata barabara,"take care guy"
You are most wanted by this men(Mbowe)

RIP Chacha Wangwe Besta Mlagila,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambe aliamini atashinda ni kama mimi nilivyoamini, alidhani Chadema wanajitambua!.
P
 
Sasa wewe jinga wachagga wameingiaje kwa hiyo mjadala. Hilo jalala la lumumba linakutesa sana. Njo Marangu huku upate deal za mwakani. Kila siku wachaga wachaga unakuwa kama paka aliyeachika kwa mumewe
 
Besta Mlagila,
Sawa tumekuelewa, sasa ni muda wako muafaka ya kuchukua form ugombee uwenyekiti pale Lumumba..hiyo itakuwa ni mechi yako nyumbani utashinda tu isharah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…