Celebrities wa Tanzania waliobadili dini na kuwa Waislam

Ontario namwona wa mwisho kwenye list
 
Unaweza bishana kwa hoja lakini sio kwa dhihaka na kufikia hapa.
Badili ukali wa maneno kidogo ili mjadala uwe huru zaidi.
 
Unamaanisha nyinyi mnafirana wanaume kwa wanaume kama hivi


 
Nonsense,ni mtume ndio aliupima huo umbali?
 
Mkuu bila majini.....hakuna uislamu........ Ni kama ukatoliki na dead soul!!!
Ukiwa mchawi utaelewa dini ipi ni sahii na dini ipi ni magumashi...!!!
 
Uislam ni dini nzuri sana kwa wanaume kuliko ukristu. Kwa upande mwingine uislam ni dini ngumu sana kwa wanawake

Kwa hiyo,mwanaume aliyebadili dini kwenda uislam naona kachagua dini nzuri na yenye kumpa furaha zaidi kwa sababu uislam umempa madaraka makubwa mwanaume

Mwanamke anayetoka uislam kwenda ukristu naye naona atakua amefanya maamuzi mazuri kwa sababu ukristu haikandamizi haki za wanawake kama uislam

(Wakuu,kwa imani yangu binafsi Mimi naheshimu dini zote kwa usawa including dini za mababu zetu. Dini kwangu naiambatanisha zaidi na aspect ya utamaduni wa watu fulani na sio njia ya kwenda mbinguni kama wengi mnavyoamini)

Ova!
 
jane miso aliufanyia wimbo wake remix kwa kumshirikisha mwanamuziki wa kidunia harmonize, wimbo unaitwa omoyo. Ule wimbo haukupokelewa vema na jamii ya wakristo kiasi cha kumjia juu jane kwa kuimba na mwimbaji wa duniani asiyemjua yesu. Cha ajabu hata watu wa duniani hawakuupokea vema wimbo huo ukawa hauna upande ulikopendwa. Iko hivi, mwimbaji wa injili kushirikisha mwimbaji wa kidunia haileti maana nzuri na wimbo huo hautakuwa na upako wa mungu. Pia mwimbaji wa kidunia kuimba gospel wimbo hautapokelewa vema na jamii husika, utaonekana unafanya mzaha tu kwenye mambo ya dini na imani
 
Upo sahihi ndo maana nilisema hawa jamaa wa gospel nilitumia neno "wasanii wa nyimbo za Injili" wenyewe wanajali litajwe jina la Mungu / Yesu mengine wanatuachia sisi kikubwa kauza (ndicho nilichomaanisha kama ulivyoandika wewe yaani wanajali biashara zaidi kuliko upako)
 
Nyie si ndo mnasema shetani alikuwa malaika ikawaje sasa akaasi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…