Celebrities wa Tanzania waliobadili dini na kuwa Waislam

Mimi sio mwislamu ila uislamu una mambo mengi ya ukweli sana. Pia kwenye mambo ya haki ni dini nzuri tofauti na huku kwetu tunaambiwa mtu akikupiga kofi shavu la kulia mgeuzie la kushoto.
So jino kwa jino kwako ni sawa?
 
mimi ni mkristo safi ila wiki hii naenda kusilimu niwe muislimu ibada ya kuchanganyika na wanawake ibada ya kwaya imenichosha hata mungu kachoka
What for mzee?

Au hata uwongo sema alimradi dini ya Alaa isimame basi wewe peponi utaenda kwani ktk dini yako kutenda dhambi ukiitetea alaa anakukirimu pepo,wewe ni muislam unasema haya kwa faida ya nani

Longido, Arusha: Vijana 70 wakamatwa na chuo chao kufungwa wakifundishwa karate na mafunzo ya siasa kali

Post yako hiyo hapo juu kudhihirisha wewe ni muongo
 
Hujawahi kusikia kitu kinaitwa the last supper
Hapa ndio Vatican waliaafiki yule yesu ni shoga
Wakati wengine wanasarandia mary magdalena yeye alikuwa bize na paulo

 
Hakuna ukristo au uislamu wa dizaini ya maisha ya hao wasanii.
Watakuambia walikuwa wakristo (lakini tabia na mienendo yao haiakisi ukristo) na wameamua kuwa waislamu (lakini bado maisha na mienendo yao haiakisi Uislamu).

Kwangu mimi yote ni maigizo tu.
 
mimi ni mkristo safi ila wiki hii naenda kusilimu niwe muislimu ibada ya kuchanganyika na wanawake ibada ya kwaya imenichosha hata mungu kachoka
Huko kwenu hakuna kwaya au nyimbo sio? Elimu yako ni ndogo ,kuanzia adhana,zile sura zote mnazoimba kwenye swala kuanzia Alfatiha zote ni nyimbo achilia mbali zile purely organized choir zinazoitwa kwa majina ya kiarabu QASWIDA na ZIKHIRI zote ni kwaya kama kwaya nyingine tatizo Lenu ilimu yenu ya kukariri sura zilizoandikwa anticlockwise ndizo zinaeafanya kumpinga kitu mnachokifanya kisa ni jina tuu
 
Inavyosema ni "DINI NZURI KWA WANAUME" Ina mvuto gani kwa mfano? Hiyo ni dini au kikundi Cha kijeshi?ambazo Sala zake ni za kuulazimisha kama mazoezi ya kijeshi?
 
Kubadili dini ni haki ya kila mtu, hata kama ataona dini haina maana yaani abaki mpagani nayo ni sawa pia hana kosa kisheria
 
Diva (hadija)wa Wasafi kila siku anabadili dini,leo mwusilamu,kesho mkristo
 
P hajawahi kubadili dini, bali mama muislam akamwita Khalfan na baba mkristo ndio akamwita sijui nani,
Hata Mwijaku hawajawahi kuwa mkristu. Hilo jina Burton Mwemba huenda alinunua kwa ajili ya shule kwamba alifeli primary then akanunua jina ili asome seco.

Shomary Kapombe hajabadilisha dini ila baba ake muislamu mamake mkristu na yeye ni mtoto wa mama.

However P.Funky alifunga ndoa ya kiislamu.


Wengine walio badili dini no pamoja na Julius Mtatiro.

Hillary David (.zembwela na yeye nahisi kasilimu)

Marehemu Maunda Zorro na yeye alitoka.kwenye ukristu kwenda kwenye uislamu.


N.b: kubadili dini ni upuuzi to kwa sababu haikubadilishii chochote zaidi ya kutoa dhambi zako kwenye dini yako na kuzihamishia kwenye dini nyingine
 
ndugu zangu dhambi zote ni mbaya, ila dhambi ya kwanza watu watahukumiwa, ni ya KUMKATAA YESU. NINYI MNAOMKANA YESU, JIANDAENI NA HUKUMU KUBWA SANA, MTAJUTA NA KUSAGA MENO SIKU HIYO.
 
Kama vipi muondoe Shomari Kapombe kwenye hiyo list yako maana umeandika alitoka Uislamu kwenda Ukristo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…