American Dream
JF-Expert Member
- Mar 18, 2022
- 313
- 352
Moja kwa Moja mi naanza na Lulu Elizabeth Michael picha zake nyingi unapata imagination kuwa ni mrefu kiasi lakini ukikutana nae kwa ule ufupi unakuwa disappointed 😞
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha tunaishi naoTatizo watu wengine hasa wa mikoani wanadhani wasanii au celebrities ni watu exceptional,Yani watu Fulani hivi unique,lkn kumbe ni watu Tu wa kawaida Kama Mimi na wewe
Hapa mtaani kwangu kuna Mzee wa bongo muvi maarufu sn naishi nae namwona wa kawaida mno,lkn tukipiga Stori nje wakapita watu wanaomba kupiga nae picha
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣Ahsante kwa taarifa ndugu Mange
Yaani uwe dissapointed sababu ya kimo cha mtu? Are you mad??lakini ukikutana nae kwa ule ufupi unakuwa disappointed 😞
Ufupi na urefu ni majaliwa toka kwa Mungu ila kitambi ndio juhudi binafsi.Sasa ufupi na urefu una tatizo gani hadi uwe disappointed???
Kweli kabisaKwanini unakua disapointed. Kwani ulitaka nn
Utakuwa na shida sana, kama unakuwa disappointed kwa kimo cha mtu mwingine ambaye wala hata hamna mahusiano sijui shida zako binafsi zinakudisappoint kiasi gani...Moja kwa Moja mi naanza na Lulu Elizabeth Michael picha zake nyingi unapata imagination kuwa ni mrefu kiasi lakini ukikutana nae kwa ule ufupi unakuwa disappointed 😞
Naungo mkono hoja,niliwai kukutama na dog janja yaani ni mfupi tofauti na unavyomuona kwenye kideoMoja kwa Moja mi naanza na Lulu Elizabeth Michael picha zake nyingi unapata imagination kuwa ni mrefu kiasi lakini ukikutana nae kwa ule ufupi unakuwa disappointed [emoji20]
Yule demu yuko bomba , ila umri unamkata nowWaseme wote ila sio UWOYA.
Case Closed