Celebrities wengi wa Bongo ukikutana nao unakuwa disappointed kwa mwonekano wao

Celebrities wengi wa Bongo ukikutana nao unakuwa disappointed kwa mwonekano wao

Nilikutana na mama Diamond,kumbe ni kibibi kabisa.
 
Mwezi April mwishoni nilikua seminar ya wiki pale Serena. Ndio wiki wakina wema,mwijaku,steve Nyerere na wasanii wengine walikua na press conference ya royal tour so wasanii kibao hadi nisiowajua majina ila sura nazifaham. Baada ya siku mbili wakaja watu wengine mashuhuri kwenye uzinduzi wa kitabu cha jaji mkuu mstaafu wa Kenya..so kina prof shivji,membe,fatma karume a.k.a shangazi,nk. Afu jioni kila siku makampuni makubwa kila siku yakawa yanafuturisha so wakina jenista mhagama na mawaziri wengine kibao na ma CEO tukawa tunameet nao dinner. Wakina AY na wasanii wengine kibao hawakukatika ile wiki. Watu wa kutoka mikoani walikua wanashangaa sana kuwaona watu wanaowaonaga tu kwa TV. Ila wengi ni kweli uhalisi wa muonekano wao ni tofauti kabisa hasa wasanii..wanasiasa si sana. Ila shangazi ni kifaa nyie na uzee wake ule mtu bado unamtamani
 
Photo shop zinadanganya Sana.mambo kwenye ground ni tofauti
 
Juzi kati nimekaona kale kanaitwa Sijui Tausi,kalikua kwenye boda boda kanaelekea mbezi ya kimara.
 
Unaweza kuta yeye pamoja na urefu wake, ila mama samia hata hamfahamu, ila Lulu Mama Samia hata akiamshwa usiku akaonyeshwa picha, atasema huyu ni Lulu, na huenda akahudhuria msiba wake.
Ushamba mwingine wa SGR, akihudhuria msiba wake ndo anazikwa angani haozi?
 
Back
Top Bottom