Rabonn
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 5,789
- 11,106
Siku moja niko zangu kijiwen nikawa na view status basi kuna jamaa yangu akaona status ya shemeji yangu mmoja mke wa binamu aisee alizuzuka akapagawa mbaya (kisa ma filter ya snapchat hayo) ..nikamuonea huruma sana maana kiukwel hata mimi nikiri shemeju nainaye mjua na ile status picture alo post ni vitu tofaut kabisaa.Nikajua ni kwann wanaume wanapigwa sana mitandaoni...Tika siku hiyo huwa nadharau sana picha hasa kama mtu simjui live liveTatizo filterz nazo zinachangia...
Demu akijipiga selfie na ka filter kwa mbali Kisha akapost unaweza sema rihana au Beyonce huyu hapa ...
Sasa kutana nae live... Utamkimbia walah, ukimsogelea ndio kabisa
Wengine hadi ndevu utaziona lkn kwenye selfie hazionekani