Aah Baba levo ni comedian wa kuzaliwa mkuu,anapoongea halazimishi kuchekesha,Ila unajikuta Tu umecheka
Nilicheka sn juzi
Wiki iliyopita WASAFI walikuwa bungeni,wakatambulishwa Kwa majina kuanzia kiongozi mkuu Hadi ww mwisho.Ilipofika zamu ya Baba levo wabunge walipiga sn makofi
Sasa kichekesho ni siku ya ijumaa ya juzi yupo studio,anasimumia jinsi ilivyokuwa bungeni wakati anapigiwa makofi
Anakuambia asee Mimi Baba levo militia sn aibu bungeni Yani,akaulizwa why? Akajibu wakati wabunge wanampigia makofi mengi akawa anajiuliza hivi hawa wabunge haya makofi mengi hivi wanayonipigia ni Kwa sababu wanajua Mimi ni mtu wa hovyo hovyo na naishi Kwa uchawa au kuna tatizo lingine [emoji28]?
Alafu mbn HR wamempigia makofi machache lkn Mimi ni mengi hivi,huku si kufitinishana na bosi huku [emoji28][emoji28][emoji28]