Celebrities wengi wa Bongo ukikutana nao unakuwa disappointed kwa mwonekano wao

Tatizo watu wengine hasa wa mikoani wanadhani wasanii au celebrities ni watu exceptional,Yani watu Fulani hivi unique,lkn kumbe ni watu Tu wa kawaida Kama Mimi na wewe

Hapa mtaani kwangu kuna Mzee wa bongo muvi maarufu sn naishi nae namwona wa kawaida mno,lkn tukipiga Stori nje wakapita watu wanaomba kupiga nae picha

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Huyo msanii anaitwa nani??.
 
Nlienda kulala keko kuna gest flani ni nzuri ila ipo sehem za kihunihuni balaa na ni uswahilini hatar full wavutabangi, mashogs sema ina ac basi na eneo hilo jirani hakuna ac na nikaribu na ofisini kwangu yaan walking distance
Sasa naingia saloon kuyoa mara nikamwona mtu anafanana na ben kinyaia naye ananyoa kwanza nikashtuka, ben maeneo haya maana huwa namwona bonge la bishoo, kumbe ndo maeneo yake. Nikamujliza wewe ni ben ama nimekufananisha akasema ndie.
 
Mi nilikutana na Jerryson tegete kaitesi tabata akanambia bro mi ndo Jerry tegete nilicheza yanga ndo nkamwangalia nkaona niyeye tukapeana tano akanipiga kizinga cha 10 akahamia meza nyingine
 
Ingia YouTube angalia nyimbo ya Rayvann- unaibiwa,Yule Mzee mwenye vidotidoti usoni,pia ana mabango mengi mabara barani au Kama unatumia crdb acc siyo Jambo geni kumuona kwenye screen za ATM

Pia nyimbo mpya ya Baba levo,gnako ft jux,zuchu-mwambieni,20%-nyumba ya milele, diamond-hiyo

Inshu siyo huyo mzee,inshu ni hao wasanii wanakuja home mara Kwa mara alafu nawaona wa kawaida sn

Km unabisha njoo ghetto,anapenda totozi km wewe vibaya mno[emoji28][emoji28]..alafu km unataka connection ya WCB kufanya collabo nione pia[emoji28]

Nimetumia nguvu nyingi sn kukuua[emoji28][emoji28]
Fall Army Worm

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Nlienda kulala keko kuna gest flani ni nzuri ila ipo sehem za kihunihuni balaa na ni uswahilini hatar full wavutabangi, mashogs sema ina ac basi na eneo hilo jirani hakuna ac na nikaribu na ofisini kwangu yaan walking distance
Sasa naingia saloon kuyoa mara nikamwona mtu anafanana na ben kinyaia naye ananyoa kwanza nikashtuka, ben maeneo haya maana huwa namwona bonge la bishoo, kumbe ndo maeneo yake. Nikamujliza wewe ni ben ama nimekufananisha akasema ndie.
Ha ha ha 🙌🙌
 
Ingia YouTube angalia nyimbo ya Rayvann- unaibiwa,Yule Mzee mwenye vidotidoti usoni,pia ana mabango mengi mabara barani au Kama unatumia crdb acc siyo Jambo geni kumuona kwenye screen za ATM

Pia nyimbo mpya ya Baba levo,gnako ft jux,zuchu-mwambieni,20%-nyumba ya milele, diamond-hiyo

Inshu siyo huyo mzee,inshu ni hao wasanii wanakuja home mara Kwa mara alafu nawaona wa kawaida sn

Km unabisha njoo ghetto,anapenda totozi km wewe vibaya mno[emoji28][emoji28]..alafu km unataka connection ya WCB kufanya collabo nione pia[emoji28]

Nimetumia nguvu nyingi sn kukuua[emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maelezo yote haya kisa nn wee?
Mbavu zangu mie, lol
 
Back
Top Bottom