TFF wahuni hizo pesa wameshapiga, wanachofanya ni kujaribu kufukia mashimo kihuni, wanajaribu kupunguza mpaka kiasi cha zawadi! Mpira unaongozwa na watu wa hovyo sana yanCEO wa Yanga na mtaalam wa masuala ya fedha wamehudhuria TFF kuhudhuria wito,
Andre Mtine ameshangaa kuona TFF wanadai pesa ya ubingwa ilikatwa juu Kwa juu kufidia madeni ya vibali vya wachezaji
Yaani Leo Madrid anyimwe pesa za ubingwa wake kisa anadaiwa
TFF walipaswa kuwapa Yanga pesa Yao ya ubingwa kama ilivyotolewa na mdhamini na kama wana madai yao watume invoice Yanga kukumbushia madeni ila sio kukata juu Kwa juu
Vipi kama Yanga asingepata huo ubingwa wa CRDB confederation cup, TFF wasingepata pesa ya vibali vya wachezaji wa kigeni wa YangaView attachment 3364291
CRD waweke wazi mshindi anapata kiasi gani na kilipwe moja kwa moja kwa Account ya mshindiTFF wahuni hizo pesa wameshapiga, wanachofanya ni kujaribu kufukia mashimo kihuni, wanajaribu kupunguza mpaka kiasi cha zawadi! Mpira unaongozwa na watu wa hovyo sana yan
Aise bapa kuna msako mkali....paka na panya patamu hapa let the saga continue. Ebana tarehe 15mbona bei ya vingilio haijatolewa mpaka sasaLikiisha hili la zawadi, tunahamia kwenye ajenda gani?
Hadi watoke pale ofisini
Hakuna game tarehe 15, tukutane mwisho wa msimuAise bapa kuna msako mkali....paka na panya patamu hapa let the saga continue. Ebana tarehe 15mbona bei ya vingilio haijatolewa mpaka sasa
Ila tuache uongo, waandishi wa habari wa bongo ni vilaza sana kuongea lugha ya kiingereza.CEO wa Yanga na mtaalam wa masuala ya fedha wamehudhuria TFF kuhudhuria wito,
Andre Mtine ameshangaa kuona TFF wanadai pesa ya ubingwa ilikatwa juu Kwa juu kufidia madeni ya vibali vya wachezaji
Yaani Leo Madrid anyimwe pesa za ubingwa wake kisa anadaiwa
TFF walipaswa kuwapa Yanga pesa Yao ya ubingwa kama ilivyotolewa na mdhamini na kama wana madai yao watume invoice Yanga kukumbushia madeni ila sio kukata juu Kwa juu
Vipi kama Yanga asingepata huo ubingwa wa CRDB confederation cup, TFF wasingepata pesa ya vibali vya wachezaji wa kigeni wa Yanga.
View attachment 3364347
Aisee sasa itakuwaje jamani...mnatunyima raha mjueHakuna game tarehe 15, tukutane mwisho wa msimu
Fugisufigidu yote hii imelenga kumkimbia mnyama tu!Likiisha hili la zawadi, tunahamia kwenye ajenda gani?
Hadi watoke pale ofisini
CEO wa Yanga na mtaalam wa masuala ya fedha wamehudhuria TFF kuhudhuria wito,
Andre Mtine ameshangaa kuona TFF wanadai pesa ya ubingwa ilikatwa juu Kwa juu kufidia madeni ya vibali vya wachezaji
Yaani Leo Madrid anyimwe pesa za ubingwa wake kisa anadaiwa
TFF walipaswa kuwapa Yanga pesa Yao ya ubingwa kama ilivyotolewa na mdhamini na kama wana madai yao watume invoice Yanga kukumbushia madeni ila sio kukata juu Kwa juu
Vipi kama Yanga asingepata huo ubingwa wa CRDB confederation cup, TFF wasingepata pesa ya vibali vya wachezaji wa kigeni wa Yanga.
View attachment 3364347
Ni huzuni kwa kweli. Hersi kaikimbia timu kamuachia huyo Mzambia na AliKamwe waipiganie timu. Hajui zawadi ya bingwa ni kiasi gani ila wenyewe wamejiamulia wadai milioni 200.C.E.O "Kama kuna hoja nyingine yeyote, wanatakiwa waiweke kwenye maandishi, watupatie taarifa rasmi, hatutafanya kikao kingine kwasasa, watupatie tu pesa zetu za ubingwa, ni hivyo tu!
Mwandishi
"Lakini taarifa kutoka tff tuliyoiona, wamesema, nyie mna deni kwao!
C.E.O "Ngoja nikuulize swali hapo,
Mwandishi "sawa
C.E.O " aaaah, unapotwaa kombe, shirikisho likakuambia sasa ona, hatutawapa pesa zenu,
Lakini mwaka mmoja baadae, wacha tuangalie mtafanya nini kwenye huu msimu, kisha tufanye makato ya madeni kwa salio lenu, uliona wapi duniani? Wapi?? Kama unaweza kunitajia nchi moja tu ambayo hilo lilitokea, nitakujibu.
Sisi young africans kadri tunavyoendelea kuwa washindani, na kuchukua kombe, kwa lengo la kulinda heshima ya mashindano, na heshima ya kila anayehusika kwenye kwenye uendeshaji wa mpira wa miguu, ni lazima mshindi apewe pesa zake za zawadi, ni lazima mshindi wa pili pia apewe chake, hili ni jambo la haki!
Asanteni, muwe na siku njema.
Mwandishi: C.E.O swali la mwisho tafadhali,
Tumeona mumekuwa mkichukua muda mrefu sana kuzungumzia kila kitu, lakini hli limechukua muda mchache sana?
C.E.O: ni nje tamaduni, ndo tulikofikia, lakini kama nilivyowaambia, tulishawaandikia kuhusu hilo, siku mbili zilizopita, na tumetoa msimamo wetu kwao!
Mwandishi: mliwakutana na viongozi wa Tff pale?
C.E.O : tumekutana na wasimamizi wao fedha, na wao ndio waliotutaka(TFF) tukutane nao!
mwandishi: na mkajadili jambo fulani?
C.E.O : si nii kile nilichokuambia mheshimiwa? nimeshawalezea!
Mwandishi: kwahiyo, kwahiyo.....
C.E.O : ahsanteni, mh?
Mwandishi, kwahiyo kufikia hapa, upi msimamo wa Young africans?
C.E.O : lakini nimeshawaambia, sisi tunachokihitaji ni pesa zetu, tumeshinda vikombe, pesa zetu za zawadi ziko wapi??
Ebu niwaulize swali, nyie ni waandishi!
Kwa maoni yenu! Ipi ni pesa ya zawadi kwa team inayoshinda ubingwa??
Waandishi: milioni hamsini!
C.E.O: wapi mmeitoa hiyo??
WAandishi : kimyaaaaaaaaaaaaaaaa
C.E.O : lini mlipokea taarifa rasmi?
Akaingilia dereva baada kuona waandishi unga unapika sufuria...
Baada ya muda kdgo mbungi ikaendelea
C.E.O : nawauliza nyie, wapii mlipata taarifa rasmi??
Mwandishi: hapana, hatujapokea taarifa rasmi kokote!
C.E.O : sasa je hivyo ndivyo namna ya kuendesha mpira?
Waandishi:kimyaaaaaaaaaaaaa
C.E.O : na mnatutaka sisi tuende tena tarehe 28 juni?
Kuna gharama za kusafiri kwenda zanzibar,tulipe bonasi Mungu akipenda kama tutatwa ubingwa, tunalipa shughuli za klabu? Tunaendeshaje mpira?
Mwandishi : lakini C.E.O , umewahi japo kuomba.....
C.E.O : lakini nini? Lakini nini, wakati nimekupa uhalisia? Ahsante nadhani nimezungumza vya kutosha!
MWandishi: kwaiyo, hatua gani mmechukua baada ya hili?
C.E.O: nimeshazungumza vya kutosha!
Mwandishi : mmh?
C.E.O : kila kitu nimeshakisema, ni hatua gani! Mumeona taarifa yetu! Ahsanteni sana..
Mgwani anawasha chuma anateleza huyoooooo
Labda na yeye kapata kamgaoNi huzuni kwa kweli. Hersi kaikimbia timu kamuachia huyo Mzambia na AliKamwe waipiganie timu. Hajui zawadi ya bingwa ni kiasi gani ila wenyewe wamejiamulia wadai milioni 200.
Likiisha hili la zawadi, tunahamia kwenye ajenda gani?
Hadi watoke pale ofisini
Kitaalam hiyo inaitwa msako Wa nyani juu pa moto chini pa moto mpaka uachie kiti
Hawa waandishi wanaliabisha taifa, hata mwanangu wa darasa la 4 hawezi kuhoji kijinga namna hii🚮C.E.O "Kama kuna hoja nyingine yeyote, wanatakiwa waiweke kwenye maandishi, watupatie taarifa rasmi, hatutafanya kikao kingine kwasasa, watupatie tu pesa zetu za ubingwa, ni hivyo tu!
Mwandishi
"Lakini taarifa kutoka tff tuliyoiona, wamesema, nyie mna deni kwao!
C.E.O "Ngoja nikuulize swali hapo,
Mwandishi "sawa
C.E.O " aaaah, unapotwaa kombe, shirikisho likakuambia sasa ona, hatutawapa pesa zenu,
Lakini mwaka mmoja baadae, wacha tuangalie mtafanya nini kwenye huu msimu, kisha tufanye makato ya madeni kwa salio lenu, uliona wapi duniani? Wapi?? Kama unaweza kunitajia nchi moja tu ambayo hilo lilitokea, nitakujibu.
Sisi young africans kadri tunavyoendelea kuwa washindani, na kuchukua kombe, kwa lengo la kulinda heshima ya mashindano, na heshima ya kila anayehusika kwenye kwenye uendeshaji wa mpira wa miguu, ni lazima mshindi apewe pesa zake za zawadi, ni lazima mshindi wa pili pia apewe chake, hili ni jambo la haki!
Asanteni, muwe na siku njema.
Mwandishi: C.E.O swali la mwisho tafadhali,
Tumeona mumekuwa mkichukua muda mrefu sana kuzungumzia kila kitu, lakini hli limechukua muda mchache sana?
C.E.O: ni nje tamaduni, ndo tulikofikia, lakini kama nilivyowaambia, tulishawaandikia kuhusu hilo, siku mbili zilizopita, na tumetoa msimamo wetu kwao!
Mwandishi: mliwakutana na viongozi wa Tff pale?
C.E.O : tumekutana na wasimamizi wao fedha, na wao ndio waliotutaka(TFF) tukutane nao!
mwandishi: na mkajadili jambo fulani?
C.E.O : si nii kile nilichokuambia mheshimiwa? nimeshawalezea!
Mwandishi: kwahiyo, kwahiyo.....
C.E.O : ahsanteni, mh?
Mwandishi, kwahiyo kufikia hapa, upi msimamo wa Young africans?
C.E.O : lakini nimeshawaambia, sisi tunachokihitaji ni pesa zetu, tumeshinda vikombe, pesa zetu za zawadi ziko wapi??
Ebu niwaulize swali, nyie ni waandishi!
Kwa maoni yenu! Ipi ni pesa ya zawadi kwa team inayoshinda ubingwa??
Waandishi: milioni hamsini!
C.E.O: wapi mmeitoa hiyo??
WAandishi : kimyaaaaaaaaaaaaaaaa
C.E.O : lini mlipokea taarifa rasmi?
Akaingilia dereva baada kuona waandishi unga unapika sufuria...
Baada ya muda kdgo mbungi ikaendelea
C.E.O : nawauliza nyie, wapii mlipata taarifa rasmi??
Mwandishi: hapana, hatujapokea taarifa rasmi kokote!
C.E.O : sasa je hivyo ndivyo namna ya kuendesha mpira?
Waandishi:kimyaaaaaaaaaaaaa
C.E.O : na mnatutaka sisi tuende tena tarehe 28 juni?
Kuna gharama za kusafiri kwenda zanzibar,tulipe bonasi Mungu akipenda kama tutatwa ubingwa, tunalipa shughuli za klabu? Tunaendeshaje mpira?
Mwandishi : lakini C.E.O , umewahi japo kuomba.....
C.E.O : lakini nini? Lakini nini, wakati nimekupa uhalisia? Ahsante nadhani nimezungumza vya kutosha!
MWandishi: kwaiyo, hatua gani mmechukua baada ya hili?
C.E.O: nimeshazungumza vya kutosha!
Mwandishi : mmh?
C.E.O : kila kitu nimeshakisema, ni hatua gani! Mumeona taarifa yetu! Ahsanteni sana..
Mgwani anawasha chuma anateleza huyoooooo
Halafu sasa juzi kuna yule DC Bomboko alikua anakwama kuongea kiingereza straight, watu wanampongeza.Hawa waandishi wanaliabisha taifa, hata mwanangu wa darasa la 4 hawezi kuhoji kijinga namna hii🚮