Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Club zingine zinachekea chini huku wakishuru yanga kulianzisha wamesha pigwa sana na TFF.TFF ata vilabu visivyo twaa ubingwa vina butuliwa kupitia fedha za udhamini.
Naamini hakuna timu ambayo haija katwa yaani lazima utafutiwe sababu ya pesa yako kutafunwa.
Isingekua uoga timu nyingi zinge funguka.
Uu uongozi uking'olewa utasikia vilabu vikianza kufunguka ni swala la muda tu.
🤣🤣🤣 tatizo ni lugha wakuu swali moja limeulizwa na waandishi wawili tofaut mara 3 tena mmoja akilirudia mara 2 mpaka C.E.O akagomaHawa waandishi wanaliabisha taifa, hata mwanangu wa darasa la 4 hawezi kuhoji kijinga namna hii🚮
Kwann fainali ipelekwe Zanzibar? Kwahiyo Tanganyika hakuna viwanja? Na watu wako kimya tu shameful"Halafu wanataka twende Zanzibar tukacheze mchezo wa fainali,
Huyo mnyama ambaye kashakuwa ngoma yetu ya Ngomani tunajinywea tuu mwaka wa4 sasaFugisufigidu yote hii imelenga kumkimbia mnyama tu!
Chawa wa Kidau na Karia unahangaika sana.Ni huzuni kwa kweli. Hersi kaikimbia timu kamuachia huyo Mzambia na AliKamwe waipiganie timu. Hajui zawadi ya bingwa ni kiasi gani ila wenyewe wamejiamulia wadai milioni 200.