Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Ni kamba tu za jeshi ila nahisi kuna msako wa kimya kimya unafanyika Afrika kwa sasa hii ni mbadala wa The Arab Spring ulianzia kwa Nkuruzinza na unaendelea kuna phase mpya ya The Scramble for Africa utabeba waliomo na wasikuwamo na kila mtu atakuwa na story yakeHivi raisi anaenda uwanja wa vita kweli bila ulinzi mathubuti? Sio kamba hii kutoka kwa wajeshi?
Duh.
Hapo Makamu ndiyo ataapishwa au ni watarudia tu uchaguzi?
Itakua?Itakua assassination.
Huyu jamaa huwa yupo front na anarudisha moto vilevile ,hata 2006 alikuwa front wakanza kutarget gari lake, CDF wake akauwawa wakamshauri kuretreat waaasi wakamfuta mpaka nje ya ikulu akazipiga mpaka dakika za mwisho wafaransa wakampa tafu.Raisi anakufaje kwenye uwanja wa vita? Kwani alikuwa frontline? Nahisi wanajeshi wake walimchoka na wamemuua.
Ndugu ni yawakute / yamkute tu Yeye?Wacha yawakute
Wako wengi tu kama kina Kageme, Museveni na wengineo.Ndugu ni yawakute au yamkute Yeye?
Karma is bitch ..! Karma is snitch ...!!!!Kwa mfano Sifa za huyu wa Chad Idriss Deby 'aliyeuwawa' kwa 'Kimbelembele' cha Kujifanya amepitia Jeshi na kaiva Kimedani wakati si kweli ni hizi zifuatazo....
1. Alikuwa Mkabila sana
2. Alikuwa Mdini mno...
Mbona kama umewasahau na wengine?Wako wengi tu kama kina Kageme, Museveni na wengineo.