Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mrema hawajasimamisha mgombea wa URAIS kwa hiyo hategemei kuunda serikali.Hivi Mrema alimsupport nani ?
Sasa huoni mantiki ya katazo hilo kweli?
Katazo la msajili umlielewa? Kapiga marufuku vyama vyote
Halafu umechanganyikiwa mrema na cheyo sio wagombea uraisi walioteuliwa na vyama vyao ni wapiga kura wa kawaida tu sio wagombea uraisi waliopewa ilani ya vyama waibebe kuinadi
Tume ilitoa onyo kali kuwakemea walichokifanya kama inavyekemea ss? Ni kweli ccm hawakurespond.Ulitusikia wana CCM tukishobokea walichokisema?
Two wrongs don't make a right
Sera zetu tofauti na zao ndio maana huwezi ukatusikia tukisema lolote kwa hayo waliyosema tunaendelea kunadi tu sera zetu za CCM hutatusikia tukimtaja Mrema wala Cheyo kwenye kampeni zetu
Sisi tunajielewa na tunaelewa tofauti za vyama ziko Kwenye sio kwe sura ya kichwa cha Lisu na ya Maalim Seif
View attachment 1584325Katazo la msajili umlielewa? Kapiga marufuku vyama vyote
Halafu umechanganyikiwa mrema na cheyo sio wagombea uraisi walioteuliwa na vyama vyao ni wapiga kura wa kawaida tu sio wagombea uraisi waliopewa ilani ya vyama waibebe kuinadi
Wazazi wako walipoteza pesa kukupeleka English medium schoolThis country is going backwards because of such people who are looking after their stomachs.
We need to have a thorough review of this election at the Haque as it is now....we are fucked up by ccm and its bunch of sycophants.....
Vyama vyote vyenye wagombea uraisi vinavyoacha kunadi wagombea wao na kunadi mgombea wa nyumba ya jirani
Wakuu mkistaajabu ya tume ya uchaguzi basi jiandae kuona ya msajili.
Jana kumbe Sisty kuwahi kote huko na boda boda pale makao makuu ya Chadema ni kupeleka barua ya katazo kuwa kuwanadi wagombea wa nje ya vyama vyao ni kukiuka maadili ya uchaguzi hivyo wamepigwa marufuku.
Yani hii ofisi ya msajili imekuja na kituko cha aina yake!
===
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Sisty Nyahoza ahudhuria kipindi cha Clouds360 kinachoendeshwa na Clouds Media na kuongea masuala mbalimbali wakati huu nchi ikiwa inaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu.
Aidha, katika mahojiano hayo, Sisty aliulizwa kuhusu masuala mbalimbali ikiwamo suala zima la Vyama vya Siasa kuungana na kushirikiana katika uchaguzi.
Akitoa ufafanuzi wa kina kuhusu suala hili Mh. Sisty Nyahoza alisema “Vyama pekee vimewahi kuungana ni ASP na TANU viliungana ikawa CCM. Kilichofanyika 2015 kwa jina la UKAWA ule ni ushirikiano kwamba wote mnabakia mna status ya kisheria kama chama cha siasa halafu mnashirikiana kwenye shughuli za kisiasa”
Ameongeza kuwa "Kisiasa kuna ushirikiano wa aina mbili, wa kwanza ni Coalition mnashirikiana kwa malengo ya kushinda uchaguzi. Halafu kuna Alliance mnashirikiana katika mambo yanayojitokeza tu katika siasa halafu kila mmoja anaendelea na shughuli zake, Coalition imewekewa masharti”
“Ni vyema haya mambo ya ushirikiano vile vyama vinataka kushirikiana viingie mkataba wakubaliane sera zetu zitakuwa zipi, tutawekaje wagombea, tutaundaje Serikali, tutagawanaje vipi ruzuku. Baada ya hayo makubaliano wayalete kwa msajili wa vyama vya siasa”
“Waliokuwa wameshasema wanaunga mkono wa chama kingine wanachopaswa wanatakiwa wabakie kama walivyobakia baada ya uteuzi wa Wagombea, baada ya uteuzi wa wagombea Urais Agosti 25 hawawezi kuteua tena mgombea Urais”
Aidha akiweka bayana kuhusu ushirikiano unaofanywa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo na ACT Wazalendo Sisty Nyahoza amesema “Wao (CHADEMA, ACT) hawapaswi kwenda hadharani na kumsapoti mgombea yule kwa sababu ukiwa unamnadi mgombea wa chama kingine na wewe una chama na sera zako, wananchi hawajui baada ya uchaguzi mtaunda Serikali moja au utatekeleza ya kwako. Mnawachanganya wananchi”-
Acha kujitoa ufahamu kisa mahaba ya vyama. Kuna double standard kubwa sana kwenye hizi taasisi. Mfano mgombea wa CCM alivyoongeza cku za kampeni Kigoma hatukuona barua ila Lissu kusalimia tu ikaonekana anavuruga ratiba ya kampeni.Tatizo sheria hamjui hata huyo msaliti Lissu alishawashika kwenye akili zenu.
Wakuu mkistaajabu ya tume ya uchaguzi basi jiandae kuona ya msajili.
Jana kumbe Sisty kuwahi kote huko na boda boda pale makao makuu ya Chadema ni kupeleka barua ya katazo kuwa kuwanadi wagombea wa nje ya vyama vyao ni kukiuka maadili ya uchaguzi hivyo wamepigwa marufuku.
Yani hii ofisi ya msajili imekuja na kituko cha aina yake!
===
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Sisty Nyahoza ahudhuria kipindi cha Clouds360 kinachoendeshwa na Clouds Media na kuongea masuala mbalimbali wakati huu nchi ikiwa inaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu.
Aidha, katika mahojiano hayo, Sisty aliulizwa kuhusu masuala mbalimbali ikiwamo suala zima la Vyama vya Siasa kuungana na kushirikiana katika uchaguzi.
Akitoa ufafanuzi wa kina kuhusu suala hili Mh. Sisty Nyahoza alisema “Vyama pekee vimewahi kuungana ni ASP na TANU viliungana ikawa CCM. Kilichofanyika 2015 kwa jina la UKAWA ule ni ushirikiano kwamba wote mnabakia mna status ya kisheria kama chama cha siasa halafu mnashirikiana kwenye shughuli za kisiasa”
Ameongeza kuwa "Kisiasa kuna ushirikiano wa aina mbili, wa kwanza ni Coalition mnashirikiana kwa malengo ya kushinda uchaguzi. Halafu kuna Alliance mnashirikiana katika mambo yanayojitokeza tu katika siasa halafu kila mmoja anaendelea na shughuli zake, Coalition imewekewa masharti”
“Ni vyema haya mambo ya ushirikiano vile vyama vinataka kushirikiana viingie mkataba wakubaliane sera zetu zitakuwa zipi, tutawekaje wagombea, tutaundaje Serikali, tutagawanaje vipi ruzuku. Baada ya hayo makubaliano wayalete kwa msajili wa vyama vya siasa”
“Waliokuwa wameshasema wanaunga mkono wa chama kingine wanachopaswa wanatakiwa wabakie kama walivyobakia baada ya uteuzi wa Wagombea, baada ya uteuzi wa wagombea Urais Agosti 25 hawawezi kuteua tena mgombea Urais”
Aidha akiweka bayana kuhusu ushirikiano unaofanywa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo na ACT Wazalendo Sisty Nyahoza amesema “Wao (CHADEMA, ACT) hawapaswi kwenda hadharani na kumsapoti mgombea yule kwa sababu ukiwa unamnadi mgombea wa chama kingine na wewe una chama na sera zako, wananchi hawajui baada ya uchaguzi mtaunda Serikali moja au utatekeleza ya kwako. Mnawachanganya wananchi”-
American English and British English are different in spellings .I speak American EnglishPast tense ya send ni sent
Ulitusikia wana CCM tukishobokea walichokisema?
Two wrongs don't make a right
Sera zetu tofauti na zao ndio maana huwezi ukatusikia tukisema lolote kwa hayo waliyosema tunaendelea kunadi tu sera zetu za CCM hutatusikia tukimtaja Mrema wala Cheyo kwenye kampeni zetu
Sisi tunajielewa na tunaelewa tofauti za vyama ziko Kwenye sio kwe sura ya kichwa cha Lisu na ya Maalim Seif
American English and British English are different in spellings .I speak American English
Kila mtu atabeba msalaba wakePathetic!
Ila tuna pakuwaingizaAcheni ujinga!. This time hamna pa kutokea!. PERIOD!.