Uchaguzi 2020 CHADEMA, ACT Wazalendo vyapigwa marufuku kunadi wagombea wasio wa vyama vyao. Waambiwa kufanya hivyo ni kuwachanganya Wananchi

Hivi Mrema alimsupport nani ?
Mrema hawajasimamisha mgombea wa URAIS kwa hiyo hategemei kuunda serikali.
Hawa kila mtu anamgombea wa URAIS maana yake kila mmoja wao anategemea kuunda serikali.

Sasa wananchi wanachanganyikiwa. Tofauti na wakati wa UKAWA vyama vyote tulikubaliana na Lisu tuteue FISADI number moja kutoka CCM, tulisafishe halafu tubadili gia tuanze kuwatetea MAFISADI.

Kwa hiyo vyama vilivyokubaliana na akina Lisu havikusimamisha wagombea, kama kilivyo leo chama cha Mrema, Cheyo nk.
 
Sasa huoni mantiki ya katazo hilo kweli?

Upuuzi mtupu, yeye anaathirika nini? Mimi kama mwananchi siwezi kuchanganyikiwa kwani kila kitu kiko wazi.
 
Katazo la msajili umlielewa? Kapiga marufuku vyama vyote
Halafu umechanganyikiwa mrema na cheyo sio wagombea uraisi walioteuliwa na vyama vyao ni wapiga kura wa kawaida tu sio wagombea uraisi waliopewa ilani ya vyama waibebe kuinadi
1601371636589.png

Kuna pahali hapo panaonyesha neno vyama vyote?
1601371636589.png
 
Ulitusikia wana CCM tukishobokea walichokisema?

Two wrongs don't make a right

Sera zetu tofauti na zao ndio maana huwezi ukatusikia tukisema lolote kwa hayo waliyosema tunaendelea kunadi tu sera zetu za CCM hutatusikia tukimtaja Mrema wala Cheyo kwenye kampeni zetu

Sisi tunajielewa na tunaelewa tofauti za vyama ziko Kwenye sio kwe sura ya kichwa cha Lisu na ya Maalim Seif
Tume ilitoa onyo kali kuwakemea walichokifanya kama inavyekemea ss? Ni kweli ccm hawakurespond.
 
This country is going backwards because of such people who are looking after their stomachs.

We need to have a thorough review of this election at the Haque as it is now....we are fucked up by ccm and its bunch of sycophants.....
Wazazi wako walipoteza pesa kukupeleka English medium school
 
Wakuu mkistaajabu ya tume ya uchaguzi basi jiandae kuona ya msajili.

Jana kumbe Sisty kuwahi kote huko na boda boda pale makao makuu ya Chadema ni kupeleka barua ya katazo kuwa kuwanadi wagombea wa nje ya vyama vyao ni kukiuka maadili ya uchaguzi hivyo wamepigwa marufuku.

Yani hii ofisi ya msajili imekuja na kituko cha aina yake!

===
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Sisty Nyahoza ahudhuria kipindi cha Clouds360 kinachoendeshwa na Clouds Media na kuongea masuala mbalimbali wakati huu nchi ikiwa inaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu.

Aidha, katika mahojiano hayo, Sisty aliulizwa kuhusu masuala mbalimbali ikiwamo suala zima la Vyama vya Siasa kuungana na kushirikiana katika uchaguzi.

Akitoa ufafanuzi wa kina kuhusu suala hili Mh. Sisty Nyahoza alisema “Vyama pekee vimewahi kuungana ni ASP na TANU viliungana ikawa CCM. Kilichofanyika 2015 kwa jina la UKAWA ule ni ushirikiano kwamba wote mnabakia mna status ya kisheria kama chama cha siasa halafu mnashirikiana kwenye shughuli za kisiasa”

Ameongeza kuwa "Kisiasa kuna ushirikiano wa aina mbili, wa kwanza ni Coalition mnashirikiana kwa malengo ya kushinda uchaguzi. Halafu kuna Alliance mnashirikiana katika mambo yanayojitokeza tu katika siasa halafu kila mmoja anaendelea na shughuli zake, Coalition imewekewa masharti”

“Ni vyema haya mambo ya ushirikiano vile vyama vinataka kushirikiana viingie mkataba wakubaliane sera zetu zitakuwa zipi, tutawekaje wagombea, tutaundaje Serikali, tutagawanaje vipi ruzuku. Baada ya hayo makubaliano wayalete kwa msajili wa vyama vya siasa”

“Waliokuwa wameshasema wanaunga mkono wa chama kingine wanachopaswa wanatakiwa wabakie kama walivyobakia baada ya uteuzi wa Wagombea, baada ya uteuzi wa wagombea Urais Agosti 25 hawawezi kuteua tena mgombea Urais”

Aidha akiweka bayana kuhusu ushirikiano unaofanywa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo na ACT Wazalendo Sisty Nyahoza amesema “Wao (CHADEMA, ACT) hawapaswi kwenda hadharani na kumsapoti mgombea yule kwa sababu ukiwa unamnadi mgombea wa chama kingine na wewe una chama na sera zako, wananchi hawajui baada ya uchaguzi mtaunda Serikali moja au utatekeleza ya kwako. Mnawachanganya wananchi”-

Ila Magu asilalamike anapokumbushwa watu wake anawaokota Majalalani😀😀
 
Tatizo sheria hamjui hata huyo msaliti Lissu alishawashika kwenye akili zenu.
Acha kujitoa ufahamu kisa mahaba ya vyama. Kuna double standard kubwa sana kwenye hizi taasisi. Mfano mgombea wa CCM alivyoongeza cku za kampeni Kigoma hatukuona barua ila Lissu kusalimia tu ikaonekana anavuruga ratiba ya kampeni.

Polepole hapo kamuita mgombea wa CHADEMA ni ''mzuka'' hapo huoni barua wala kuitwa kuthibitisha huko tume ila Lissu kaandikiwa barua aende tume.

Hzi double standard huoni?
 
Mrema yeye na Magufuli wake tu hadi kieleweke!!
 
Hizi ofisi, msajili na tume zipo ili kuvuruga uchaguzi ccm ipate upenyo watangazwe washindi, hamna tofauti na hapo.
 
Naona CCM chamoto wamekiona mwaka huu, wanaomba msaada kwa NEC mapemaa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakuu mkistaajabu ya tume ya uchaguzi basi jiandae kuona ya msajili.

Jana kumbe Sisty kuwahi kote huko na boda boda pale makao makuu ya Chadema ni kupeleka barua ya katazo kuwa kuwanadi wagombea wa nje ya vyama vyao ni kukiuka maadili ya uchaguzi hivyo wamepigwa marufuku.

Yani hii ofisi ya msajili imekuja na kituko cha aina yake!

===
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Sisty Nyahoza ahudhuria kipindi cha Clouds360 kinachoendeshwa na Clouds Media na kuongea masuala mbalimbali wakati huu nchi ikiwa inaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu.

Aidha, katika mahojiano hayo, Sisty aliulizwa kuhusu masuala mbalimbali ikiwamo suala zima la Vyama vya Siasa kuungana na kushirikiana katika uchaguzi.

Akitoa ufafanuzi wa kina kuhusu suala hili Mh. Sisty Nyahoza alisema “Vyama pekee vimewahi kuungana ni ASP na TANU viliungana ikawa CCM. Kilichofanyika 2015 kwa jina la UKAWA ule ni ushirikiano kwamba wote mnabakia mna status ya kisheria kama chama cha siasa halafu mnashirikiana kwenye shughuli za kisiasa”

Ameongeza kuwa "Kisiasa kuna ushirikiano wa aina mbili, wa kwanza ni Coalition mnashirikiana kwa malengo ya kushinda uchaguzi. Halafu kuna Alliance mnashirikiana katika mambo yanayojitokeza tu katika siasa halafu kila mmoja anaendelea na shughuli zake, Coalition imewekewa masharti”

“Ni vyema haya mambo ya ushirikiano vile vyama vinataka kushirikiana viingie mkataba wakubaliane sera zetu zitakuwa zipi, tutawekaje wagombea, tutaundaje Serikali, tutagawanaje vipi ruzuku. Baada ya hayo makubaliano wayalete kwa msajili wa vyama vya siasa”

“Waliokuwa wameshasema wanaunga mkono wa chama kingine wanachopaswa wanatakiwa wabakie kama walivyobakia baada ya uteuzi wa Wagombea, baada ya uteuzi wa wagombea Urais Agosti 25 hawawezi kuteua tena mgombea Urais”

Aidha akiweka bayana kuhusu ushirikiano unaofanywa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo na ACT Wazalendo Sisty Nyahoza amesema “Wao (CHADEMA, ACT) hawapaswi kwenda hadharani na kumsapoti mgombea yule kwa sababu ukiwa unamnadi mgombea wa chama kingine na wewe una chama na sera zako, wananchi hawajui baada ya uchaguzi mtaunda Serikali moja au utatekeleza ya kwako. Mnawachanganya wananchi”-

Kwa hiyo wakisema mchague A, wanavuruga nini?

Mimi nadhani hii ni fursa nzuri sana kwa ccm kushinda kwa kishindo, kwa kuwa wananchi watakuwa hawaelewi A wala B, kwa hiyo option yao itabakia C.

Wakati wanachama wa vyama vingine wakiunga mkono juhudi, hawakuwachanganya wananchi na hapakuwa na jinai yoyote. Ninaamini serikali ya ccm haitakubaliana na hoja hii mufilisi ukizingatia pia Mrema na wengine wameshaanza kuunga mkono mgombea wa Ccm na wananchi hawajachanganyikiwa.

Serikali yetu inajua kabisa kwamba watu katika kampeni wanatakiwa waongee kitu chochote ili mradi hawavunji sheria. Kumnadi mgombea wanayemtaka wao kunavunja sheria gani ya nchi?

Hili lako tu na naomba sana usiichafue serikali yetu hadi watu waone inatumika kwa maslahi ya ccm ambayo kwa hli ni dalili kabisa mashine za kumpumulia zinafeli sasa.
 
Ulitusikia wana CCM tukishobokea walichokisema?

Two wrongs don't make a right

Sera zetu tofauti na zao ndio maana huwezi ukatusikia tukisema lolote kwa hayo waliyosema tunaendelea kunadi tu sera zetu za CCM hutatusikia tukimtaja Mrema wala Cheyo kwenye kampeni zetu

Sisi tunajielewa na tunaelewa tofauti za vyama ziko Kwenye sio kwe sura ya kichwa cha Lisu na ya Maalim Seif

Hamuoni kama kwa kumpgia kampeni ccm wanawachanganya wananchi?
 
American English and British English are different in spellings .I speak American English

Hello!. Ingilishi kozi yako ulimaliza kweli? Maana hiki ni kulugha cha aina yake!. Unanikumbusha Shilole!
 
Back
Top Bottom