CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Huyo jamaa ni mpuuzi tu kama yule chawa Lucas Mwashambwa. Hawa hata wakiambiwe wale kinyesi cha Samia watafakamia huku wanakenuaAsipoelewa na maelezo yote haya pamoja na picha basi haitaji kuielewa chadema.
Chadema haina vichaa kwamba ianze tu kuwa na hasira. Kuna mahali unafikishwa hata kama ni mpole kiasi gani lugha inayobaki ni kupambana tu
Ni akili kubwa tu ndiyo inaweza kuelewa tunacholenga na tutakipata. Kufanya jambo lile lile kwa njia ile ile kila siku na kutegemea matokeo tofauti huo ni utaahira na Chadema siyo chama cha mataahira.Nimegundua sasa kuwa mnayo changamoto nyingine ya kutokujiamini, hofu na woga. Changamoto haikimbiwi; Changamoto inakabiliwa KIUME WAMBA! Samson alikutana na simba, hakukimbia bali alipigana naye akamrarua vipande akaenda zake alikokuwa anaenda, wakati wa kurudi hakusema ile njia siipiti tena kwani ina simba; Alijivika ujasiri wa kiume alipita njia ileile tena kwa kujiamini.
Good news ni kwamba, safari hii hakukutana na simba (changamoto) ila aliukuta mzoga wa yule simba aliyemuua mwanzoni ndani yake una asali. Akaichukua, akaila mwanaume. Haya hebu jiulize, angehofia kupita njia hii kisa mwanzoni alikutana na simba, asali angeipata?
Sasa kwa kuukimbia uchaguzi huu wa 2025 tafsiri yake ni kuwa nyinyi hata mkipata madaraka changamoto ndogo inaweza kuwafanya mkalikimbia taifa. Tiba si kuukimbia uchaguzi au kuleta vikwazo na visingizio kwenye uchaguzi, tiba ni kuingia na kutokoma kuingia kwenye uchaguzi mpaka kieleweke, mpaka mpate asali yenu na nyinyi.
Wewe unajifanya kichaa somo ripoti ya Prof. Mkandala
Alikuwa mkuu wa chuo cha Dar es Salaam
Prof. Mukandala: Matokeo ya Rais yahojiwe Mahakamani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 21 Oktoba, 2022 Mapendekezo 18 ya Ripoti yanasomwa na Prof. Rwekaza Mukandala Kikosi kazi...www.jamiiforums.com
Au Naye anataka tuvurugikiwe?
CCM ni kama shetani Yohana 10:10
Ataiba rasilimali za nchi, ataiba Kura, atavuruga utaratibu wa demokrasia na ukifanya unahoji utapotezwa, utauwawa au kufunguliwa kesi ya ugaidi au uhaini.
wewe kama haoni mambo yaliyofanyika bandari kupewa DPWorld, rasilimali zote kupewa wahindi,waarabu, na macartel ya ulaya na marekani.
Siwatetei huenda wako wrong 100%, ila swali langu ambalo wengi mmelikimbia ni je! Nyinyi kama Chama Kikuu cha Upinzani cha Tanzania, Chenye ukubwa wa kutosha, Wafuasi wa kitaifa na kimataifa pia, je! Ni kitu au jambo lipi na gani la Kijamii mmewahi kulifanya kwa faida ya Tanzania na Watanzania mpaka sasa?Unatumia vifungu kutetea Hawa washenzi😡kuweni na akili wakati mwingine
Mimi si chawa, mimi ni Mtanzania ninayejali maslahi ya watanzania wenzangu kwa kuhamasisha VITENDO CHANYA kwa wanasiasa wa vyama vyote kwani maneno ya uongo tumeyachoka lakini pia kutukanana, kuchafuana na kuhamasisha vitendo visivyofaa pia siasa hizi tumezichoka.Legacy ya wizi wa kura na kuifisadi nchi kwa kuingia mikataba ya kimangungo,utakuwa chawa wewe.
Nimeona unauliza swali hilo mara nyingi sikuona haja ya kujibu kwa sababu kuuliza chama kimefanya nini kwa watanzania kwenye eneo la kilimo, sijui teknolojia, elimu, afya na mambo mengine kama hayo ni kukosa kujua msingi wa chama cha siasa.Siwatetei huenda wako wrong 100%, ila swali langu ambalo wengi mmelikimbia ni je! Nyinyi kama Chama Kikuu cha Upinzani cha Tanzania, Chenye ukubwa wa kutosha, Wafuasi wa kitaifa na kimataifa pia, je! Ni kitu au jambo lipi na gani la Kijamii mmewahi kulifanya kwa faida ya Tanzania na Watanzania mpaka sasa?
Mimi si kichaa wala sina kichaa namshukuru MUNGU na nawaombea wote wenye changamoto hii walio watanzania na wasio watanzania pia MUNGU Awafanyie wepesi.Wewe unajifanya kichaa somo ripoti ya Prof. Mkandala
Alikuwa mkuu wa chuo cha Dar es Salaam
Prof. Mukandala: Matokeo ya Rais yahojiwe Mahakamani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 21 Oktoba, 2022 Mapendekezo 18 ya Ripoti yanasomwa na Prof. Rwekaza Mukandala Kikosi kazi...www.jamiiforums.com
Au Naye anataka tuvurugikiwe?
CCM ni kama shetani Yohana 10:10
Ataiba rasilimali za nchi, ataiba Kura, atavuruga utaratibu wa demokrasia na ukifanya unahoji utapotezwa, utauwawa au kufunguliwa kesi ya ugaidi au uhaini.
wewe kama haoni mambo yaliyofanyika bandari kupewa DPWorld, rasilimali zote kupewa wahindi,waarabu, na macartel ya ulaya na marekani.
Basi hapa sasa ndipo mwisho wa siku mtakapopata majibu kamili CHADEMA ni akina nani.Ni akili kubwa tu ndiyo inaweza kuelewa tunacholenga na tutakipata. Kufanya jambo lile lile kwa njia ile ile kila siku na kutegemea matokeo tofauti huo ni utaahira na Chadema siyo chama cha mataahira.
Na hiki ndicho kinachoponza si tu CHADEMA bali pia watu wengi kwenye ulimwengu huu; kukosa flexibility. Kwani wewe hujawahi kuona Graduate wa Shahada ya Utangazaji anafanya kazi ya Procurement au Uhasibu mahali fulani?Nimeona unauliza swali hilo mara nyingi sikuona haja ya kujibu kwa sababu kuuliza chama kimefanya nini kwa watanzania kwenye eneo la kilimo, sijui teknolojia, elimu, afya na mambo mengine kama hayo ni kukosa kujua msingi wa chama cha siasa.
Chadema inapimwa kwa siasa, chadema inapimwa kwa kuwaeleza wananchi haki zao na namna ccm inavyoshindwa kuzitimiza ikiwemo haki ya kupata elimu, afya, umeme, maji na yote kama hayo kwani ni wajibu wa serikali iliyoko madaraka kutekeleza hayo.
Chadema kazi yake ni kuandaa viongozi na sera za kuweza kulinda, kutetea na kusimamia nchi na mambo yake yote.
kwa sababu mazingira ya sasa hayaipi nafasi ya usawa chadema ya kwenda kushika serikali ili kuwatumikia wananchi. Ndio maana mpango namba moja ni kuweka mazingira sawa ya uchaguzi ndio mengine yafate.
Nadhani unafahamu msingi ukiwa mbovu mwenye haki hakuna anachoweza kufanya (Zab 11:3) ndio maana chadema kimeanza n msingi ambao ni uchaguzi.
Hahaha hilo umesema wewe, tafadhali simba waache kama walivyo. WasigusweKwahio mkuu unataka kusema chadema wamefanya kama ile timu ilivyofanya!
Ndiyo maarifa pekee niliyo nayo ndugu yangu (NENO LA MUNGU)Mkuu mm nimekuelewa ila nashauri usingemtaja Mungu kwa andiko hili ingekuwa vizuri zaidi
Ipo siku mtaelewa ukweli; mkiukataa sasa basi mtauelewa ikiwa zimefika dakika za jioni sanaBata kahara
Sasa huku ndiko kunahitaji HEKIMA YA KIUNGU, kwani hasira inapaswa kudhibitiwa; hasira ambayo haiwezi kudhibitiwa haijawahi kumfikisha yeyote popote pale zaidi ya hasara.Asipoelewa na maelezo yote haya pamoja na picha basi haitaji kuielewa chadema.
Chadema haina vichaa kwamba ianze tu kuwa na hasira. Kuna mahali unafikishwa hata kama ni mpole kiasi gani lugha inayobaki ni kupambana tu
Si kweli na haiwezi kutokea kwa sababu tunaamini Rais wetu ni mwenye akili timamu, utu, wema, hekima na msikivu hivyo hawezi kufanya jambo la ukatili kama hili. Mtu mwenye adabu na aliyelelewa kwenye maadili hawezi kutamka uchafu huu kuhusu Mhe. Rais haijalishi anatokea chama gani.Huyo jamaa ni mpuuzi tu kama yule chawa Lucas Mwashambwa. Hawa hata wakiambiwe wale kinyesi cha Samia watafakamia huku wanakenua
Angekuwa msikivu na mwenye akili timamu asingetoa bandari zetu kwa waarabuSi kweli na haiwezi kutokea kwa sababu tunaamini Rais wetu ni mwenye akili timamu, utu, wema, hekima na msikivu hivyo hawezi kufanya jambo la ukatili kama hili. Mtu mwenye adabu na aliyelelewa kwenye maadili hawezi kutamka uchafu huu kuhusu Mhe. Rais haijalishi anatokea chama gani.
Hii ndiyo sababu nimesema vyama vya upinzani vina kazi kubwa ya kufanya; kuanzia kwenye kurekebisha wafuasi wao, wanachama wao, wadau wao na wao wenyewe kabla ya kutafuta mchawi nani.
Hii ndiyo sumu ambayo nimewaomba vyama vya upinzani visiipandikize kwa watanzania; kwani ipo tofauti kubwa kati ya rumours na facts. No research no right to speak.Angekuwa msikivu na mwenye akili timamu asingetoa bandari zetu kwa waarabu
Hata dhahabu mwanzoni huonekana kama takataka; ila mwisho wake ndio huwa mtamuT A K A T A K A . . .