Siwez sema wapo perfect kwa asilimia ngapi..kwasababu hawajapewa kuongoza nchi na kuunda Serikali Bado..Una uhakika vyama vya upinzani nchini Tanzania viko 100% perfect?
Siwez sema wapo perfect kwa asilimia ngapi..kwasababu hawajapewa kuongoza nchi na kuunda Serikali Bado..Una uhakika vyama vya upinzani nchini Tanzania viko 100% perfect?
Unajifananisha na simba tena? Kwani simba wamekwambia wanataka kutawala nchi? Simba na Yanga hawana cha kupoteza kwa sababu hakuna jamii wanayoitaka waitawale. Vyama vya Siasa vinataka kutawala Wananchi (jamii) ambazo jamii hizohizo zina changamoto lukuki; a reason to why nimeshauri ni vyema Vyama vya Siasa viwe flexible na viingie kwenye jamii pia, visibaki kusema sisi ni wanasiasa wakabaki kwenye siasa pekee huku wananchi wana changamoto mbalimbali zinazohitaji suluhu, ukiondoa mbali siasa.Kwanza cdm ni chama cha kisiasa na sio taasisi ya kifedha. Ccm pamoja na ukongwe wao wana bank? Kama kila taasisi itafanya unavyosema, basi team za mpira za yanga na simba zingekuwa na mabenk, mahoteli, viwanja vya mpira nk, ama wao hawaoni hizo fursa? Je team za simba na yanga kukosa hiyo miradi zimepunguza ushawishi wake kwa umma?
CCM wana viwanja vya mipira ambavyo vingine hutumika kwenye ligi zetu hapa nyumbani, wana ofisi zao za mikoa na wilaya ambazo wananchi mbalimbali hupanga kwa shughuli mbalimbali mfano biashara, colleges, radio, n.k. Narudia tena; shughuli za kijamii zipo nyingi sanaaa ndugu yanguKwanza cdm ni chama cha kisiasa na sio taasisi ya kifedha. Ccm pamoja na ukongwe wao wana bank? Kama kila taasisi itafanya unavyosema, basi team za mpira za yanga na simba zingekuwa na mabenk, mahoteli, viwanja vya mpira nk, ama wao hawaoni hizo fursa? Je team za simba na yanga kukosa hiyo miradi zimepunguza ushawishi wake kwa umma?
Huu si ujinga my dear siasa ni suala la kitaifa.Pengine tunalijua Neno kuliko unavyodhania
Usicheze na Neno la Mungu kwenye ujinga wako.
Umeona sasa... Kumbe hujui, kwa nini mnawasema CCM wakati hamjui vyama vya siasa perfection yao ni asilimia ngapi na hujawahi kuwaona wakiongoza nchi? Heri taifa kama Marekani, wana uwezo wa kuwachambua ipasavyo Democratic na Republican na kupima uwezo wao lakini pia wanaweza kusema Democratic kiko perfect kuliko Republican au Republican kipo perfect kuliko Democratic kwa sababu tayari wote wameshaingia madarakani na takwimu zao, sifa zao zote wanazo.Siwez sema wapo perfect kwa asilimia ngapi..kwasababu hawajapewa kuongoza nchi na kuunda Serikali Bado..
Nikiongezea hapa; Pia CCM wanayo Shule ya Uongozi iitawayo Mwalimu Julius Nyerere Leadership School iliyopo Kibaha mkoani Pwani; iliyojengwa kwa ushirikiano wa Vyama vya Siasa kutoka mataifa ya ukanda wa SADC ikiwemo Tanzania (CCM)CCM wana viwanja vya mipira ambavyo vingine hutumika kwenye ligi zetu hapa nyumbani, wana ofisi zao za mikoa na wilaya ambazo wananchi mbalimbali hupanga kwa shughuli mbalimbali mfano biashara, colleges, radio, n.k. Narudia tena; shughuli za kijamii zipo nyingi sanaaa ndugu yangu
Siasa zenu akina nani 🤔 au umesikia mimi ni mwanasiasa tulia acha kukulupukaHaijalishi adui wa taifa hili awe ni CCM, CHADEMA au chama chochote kile mimi sijui na sitaki kujua kuhusu hilo, wananchi tunasema hivi, tumechoka na hatuzitaki siasa zenu za maneno tunataka siasa za Vitendo tena VITENDO CHANYA nukta.
Wenda na wewe ni moja ya watumishi wa mchongo ,Haa! Malaika gani hao? Jeshi la Malaika lililo upande wangu ni kubwa kuliko jeshi lolote lingine. Sina hofu wala mashaka, kwa sababu ninaye BWANA wa majeshi. Kazi inaendelea!
Nimekueleza changamoto za dhahiri wanazokutana nazo wanapotaka kutekeleza hayo unayopendekeza, lakini umejaa nadharia kinyume na uhalisia.Unajifananisha na simba tena? Kwani simba wamekwambia wanataka kutawala nchi? Simba na Yanga hawana cha kupoteza kwa sababu hakuna jamii wanayoitaka waitawale. Vyama vya Siasa vinataka kutawala Wananchi (jamii) ambazo jamii hizohizo zina changamoto lukuki; a reason to why nimeshauri ni vyema Vyama vya Siasa viwe flexible na viingie kwenye jamii pia, visibaki kusema sisi ni wanasiasa wakabaki kwenye siasa pekee huku wananchi wana changamoto mbalimbali zinazohitaji suluhu, ukiondoa mbali siasa.
Kwenye moja ya mikutano ya chama hiki, nilisikia mmoja kati ya viongozi wakuu wa chama hiki akisema kuwa wanalo eneo ambalo watabadili matumizi yake wajenge chuo cha kufundisha vijana siasa (au uongozi).Nimekueleza changamoto za dhahiri wanazokutana nazo wanapotaka kutekeleza hayo unayopendekeza, lakini umejaa nadharia kinyume na uhalisia.
Viwanja vya mpira vya maana vya ccm walipata enzi za mfumo wa chama kimoja, na hata majengo yao mengi makubwa ni ya enzi ya mfumo wa chama kimoja. Na hata ofisi zao nyingi sasa ni sababu ya nafasi ya kuwa chama tawala. Leo hii ccm ikitoka madarakani, hizo frame usishangae siku wakitoka madakani zikifa kama vilivyokufa viwanda, vyama vya ushirika nk.CCM wana viwanja vya mipira ambavyo vingine hutumika kwenye ligi zetu hapa nyumbani, wana ofisi zao za mikoa na wilaya ambazo wananchi mbalimbali hupanga kwa shughuli mbalimbali mfano biashara, colleges, radio, n.k. Narudia tena; shughuli za kijamii zipo nyingi sanaaa ndugu yangu
Sisi sote, mimi wewe na vyama vya siasa ila mimi nilijitoa kwa sababu ndiye niliyeleta mada. Au basi ngoja niseme tuache siasa zetu za aina hiyo.Siasa zenu akina nani 🤔 au umesikia mimi ni mwanasiasa tulia acha kukulupuka
Hayo ni majengo ya kisiasa, sio hizo bank usemazo. Hata hilo jengo la kiutawala ni kwakuwa halijaanza, usishangae mizengwe ikaanza watakapofika wakati wa utekelezaji.Kwenye moja ya mikutano ya chama hiki, nilisikia mmoja kati ya viongozi wakuu wa chama hiki akisema kuwa wanalo eneo ambalo watabadili matumizi yake wajenge chuo cha kufundisha vijana siasa (au uongozi).
Pasi shaka hii inakusudia kuwa kama Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere. Swali langu ni je! Wakati hayo yanazungumzwa na kupangwa hawakuwaza kama kuna halmashauri itawazuia? Ni dhahiri kuwa hakuna halmashauri au changamoto kubwa inayoweza kuzuia aina ya mradi kama huu haijalishi unatokea kwenye chama gani.
Mchongo ndo nani? Hapana mimi si mtumishi wa mchongo, mimi ni mtumishi (mwana) wa MUNGU.Wenda na wewe ni moja ya watumishi wa mchongo ,
Unathibitisha sasa kuwa CCM hii unayoiona msingi wake una mizizi ya muda mrefu ee! Na hii ndiyo legacy niliyoisema, sasa mlichokikataa nini?Viwanja vya mpira vya maana vya ccm walipata enzi za mfumo wa chama kimoja, na hata majengo yao mengi makubwa ni ya enzi ya mfumo wa chama kimoja. Na hata ofisi zao nyingi sasa ni sababu ya nafasi ya kuwa chama tawala. Leo hii ccm ikitoka madarakani, hizo frame usishangae siku wakitoka madakani zikifa kama vilivyokufa viwanda, vyama vya ushirika nk.
Kwani umeambiwa vijana wa kitanzania na umma wote wanaotaka kuchukua madaraka ya kuwaongoza ni wanasiasa? Mfano, CCM Kirumba inavyosaidia kukuza vipaji vya mpira kwa wananchi, kuna mahali CCM imebadilika na kutokuwa chama cha siasa kwa kujenga viwanja vya mpira?Hayo ni majengo ya kisiasa, sio hizo bank usemazo. Hata hilo jengo la kiutawala ni kwakuwa halijaanza, usishangae mizengwe ikaanza watakapofika wakati wa utekelezaji.
Sina popote ninapokataa sababu za kihistoria, ninakataa unachotaka kuonyesha ni bora. Kuwa ya ccm hiyo ni faida anayoweza kupata mtu yoyote kama urithi, na sio kwa jitihada zake. Hayo majengo na viwanja vya mfumo wa chama kimoja yalipaswa kuwa ya umma maana yalijengwa na watanzania wote.Unathibitisha sasa kuwa CCM hii unayoiona msingi wake una mizizi ya muda mrefu ee! Na hii ndiyo legacy niliyoisema, sasa mlichokikataa nini?
Lakini pia haijalishi yalijengwa lini, yamechakaa au ni mapya bado ni ya CCM, japo na wao nawashauri waongeze zaidi miradi mingi ya kijamii kama hii na zaidi.
Hata frames pia ni hatua kubwa, lakini wakiongeza viwanda, vituo vya TEHAMA, afya, elimu pia ni jambo zuri zaidi. Hili sijapingaSina popote ninapokataa sababu za kihistoria, ninakataa unachotaka kuonyesha ni bora. Kuwa ya ccm hiyo ni faida anayoweza kupata mtu yoyote kama urithi, na sio kwa jitihada zake. Hayo majengo na viwanja vya mfumo wa chama kimoja yalipaswa kuwa ya umma maana yalijengwa na watanzania wote.
Kwa sasa nguvu zao nyingi ni kujenga frame za maduka, ambazo kwa nafasi yao kiutawala ni jambo ka kawaida. Wajenge kiwanda wangalau cha 10b uje na hizi sifa hapa, ni kisha hicho kiwanda wakiendeshe kwa faida.
Sasa miaka 60 unaongelea frame boss. Miradi yao mikubwa ni enzi ya mfumo wa chama kimoja, chama kikiwa ndio serekali. Boss fanya utafiti ndio uje na sifa ulizotaka kuleta. Hiyo ccm ni ya kawaida sana.Hata frames pia ni hatua kubwa, lakini wakiongeza viwanda, vituo vya TEHAMA, afya, elimu pia ni jambo zuri zaidi. Hili sijapinga
Kwani frame hazitatui changamoto za jamii hususan kwa wafanyabiashara? Usiangalie chama gani cha siasa kimewekeza nini na lini kwani ni heri wenye nacho kuliko ambao hawana kabisa.Sasa miaka 60 unaongelea frame boss. Miradi yao mikubwa ni enzi ya mfumo wa chama kimoja, chama kikiwa ndio serekali. Boss fanya utafiti ndio uje na sifa ulizotaka kuleta. Hiyo ccm ni ya kawaida sana.