Umesoma haraka comment yanguNia nzuri ipi. Msimfanye mkubwa wenu kuwa hakosei. Taja Nchi gani chanjo hizi Ni lazima. Hakuna chanjo iliyochukua miaka 2. it’s a risky. Mimi nilichomwa toka mwezi wa nne kwa hiari. Na wengi tu ulaya huku hawataki. Afu Sijaona huku ulaya mwana upinzani anatoa hotuba za namna Hii. Mama mwema sana.
Naunga mkono hoja ya Mbowe, chanjo ya Corona iwe ya lazima, mnaosema hiari bado Corona haijawatembelea ndio maana.
Hujui kitu kuhusu medical ethics. Unalinganishaje Kipindupindu na COVID-19? Unajua Mortality rate ya Kipindupindu wewe? Hata Polio, Chanjo yake haikua lazima na haikupigiwa debe na wanasiasa. Acheni wataalam wafanye mambo yao kwa Uhuru na ninyi wanasiasa mfanye yanayowahusu kwa Uhuru. Kama mtu hawezi lazimishwa kuongezewa damu, sembuse Chanjo?Acheni uongo wakati mwingine unaogeuzwa kisiasa,hivi mgonjwa wa kipindupindu useme anahiari ya kupatatiba au akatae,nini kitatokea.
Huyu jamaa atakuwa ana matatizo ya akili ama ameshushia ile soda yake ya faru john.
Kwangu kigezo cha chanjo ina madhara hakina maana, ni bora uchanjwe upate kinga hata kama itakuwa na madhara peke yako (japo sio guarantee kudhurika kwa chanjo), kuliko ukae bila kuchanjwa halafu uje kuwaambukiza wengi zaidi na usababishe vifo vingi zaidi.Mkuu mwanzo wa ngoma ni lele lakini hii chanjo tunakokwenda ni wazi kuwa itakuwa ni lazima na serikali inalijua hilo.
Hapa chini niliandika kwao Salary Slip na technically (waliokuwa na reservations zao) heshima kwao sana:
View attachment 1859891
Cc: Vessel
Kwangu kigezo cha chanjo ina madhara hakina maana, ni bora uchanjwe upate kinga hata kama itakuwa na madhara peke yako (japo sio guarantee kudhurika kwa chanjo), kuliko ukae bila kuchanjwa halafu uje kuwaambukiza wengi zaidi na usababishe vifo vingi zaidi.
Unapofananisha vitu, fananisha vinavyolingana.Acheni uongo wakati mwingine unaogeuzwa kisiasa,hivi mgonjwa wa kipindupindu useme anahiari ya kupatatiba au akatae,nini kitatokea.
Acha kucopy upuuzi wako huko kuuleta hapa kilazaKilaza mamako
Mimi nafikiri hoja kuu hapa ni suala la "ulazima" ama "lazima". Hapa ndipo wengi wanapokuwa na wasiwasi napo hasa kuhusu utekelezaji wa huo "ulazima". Isitoshe, wengi bado wana hofu [tena kubwa sana] juu ya usalama wa chanjo.Tuangalie wenzetu waliotutangulia katika demokrasia wanasemaje, naangalia demokrasia kwa sababu CHADEMA ni Chama Cha Demokrasia na Maendeleo. Demokrasia ipo katika jina la chama.
Mimi nakaa Marekani kuna demokrasia mpaka inakuwa fujo.
Katika majimbo yote 50 ya Marekani hakuna jimbo linalolazimisha chanjo.Yani wanaweza kukubana ukitaka kufanya kazi hii ni lazima upigwe chanjo, ukitaka kusoma shule hapa ni lazima upigwe chanjo. Hivi vitu vilikuwepo kabla ya Covid.Mimi nilivyosoma chuo hapa ilikuwa huwezi kuanza chuo kabla ya kuonesha ushahidi wa chanjo ya MMR (Measles,Mumps and Rubella). Lakini hakuna sehemu serikali ya Federal au State wanaposema ni lazima watu wote wapigwe chanjo.
Na siku serikali itakapolazimisha chanjo ndipo baadhi ya watu watu watachukua bunduki zao kuingia mtaani kuandamana.
Mimi napenda chanjo, nimechanja chanjo zote mbili za Pfizer, naona watu wanaokataa chanjo kuwa ni tatizo kubwa sana, kwa sababu wao ndio wanaosababisha mlipuko wa ugonjwa uendelee. Sasa hivi Marekani watu wanaolazwa mahospitalini kwa Covid na wanaokufa karibu wote ni wale waliokataa chanjo. 9 Covid deaths out of 10 in the US are for people who are unvaccinated.
See hereU.S. COVID Deaths Are Rising Again. Experts Call It A 'Pandemic Of The Unvaccinated'
Reversing a months-long downward trend, deaths from COVID-19 have begun rising steadily this week. More than 99% of the recent fatalities were among people who had not been vaccinated.www.npr.org
Lakini sitaki waingiliwe katika haki yao ya kukataa chanjo.
In fact hiyo inaweza kuwa a special case ya Darwinian evolution kuua watu wajinga na kuacha dunia iendelee na watu wenye maarifa.
Sasa mimi siku zote nimekuwa natetea haki binafsi za watu, kama mtu kachoka maisha anataka kufa kifo cha "suicide by Covid" mimi nina haki gani ya kumkatalia?
NPR wameripoti kwamba sasa hivi Marekani vifo vya Covid vinaongezeka, na 90% ya wanaokufa ni watu waliokataa chanjo.
Sasa mtu akitaka kufa mwenyewe mimi ni nani nimkatalie?
U.S. COVID Deaths Are Rising Again. Experts Call It A 'Pandemic Of The Unvaccinated'
Reversing a months-long downward trend, deaths from COVID-19 have begun rising steadily this week. More than 99% of the recent fatalities were among people who had not been vaccinated.www.npr.org
Acheni uongo wakati mwingine unaogeuzwa kisiasa,hivi mgonjwa wa kipindupindu useme anahiari ya kupatatiba au akatae,nini kitatokea.
Marekani imeweka ulazima wa kuchanja kwa nani?Mimi nafikiri hoja kuu hapa ni suala la "ulazima" ama "lazima". Hapa ndipo wengi wanapokuwa na wasiwasi napo hasa kuhusu utekelezaji wa huo "ulazima". Isitoshe, wengi bado wana hofu [tena kubwa sana] juu ya usalama wa chanjo...
Kwa Marekani, nazungumzia vaccine mandates katika taasisi na kampuni binafsi.Marekani imeweka ulazima wa kuchanja kwa nani?
Comment ya kinyonge kweli...waione @ chakaza @ mmawiaHapo wanaharibu.
Hiyo mandate unayoiongelea Marekani si ya serikali federal au state, ni ya waajiri, shule etc, ambayo nishaizungumzia hapo juu.Kwa Marekani, nazungumzia vaccine mandates katika taasisi na kampuni binafsi.
Isitoshe, chanjo nyingi bado hazina ama hazijapata full approval ya FDA. Zinatumika kama emergency tu. Utaratibu wa vaccine mandates unaweza kuongezeka zaidi hapo baadaye pale chanjo zitakapopata full approval.
Hujamjua huyo lumumba anayejiita " Kamanda Asiyechoka "???Hapo wanaharibu.
Tutaelewana tu kidogo kidogoHapo wanaharibu.