At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,533
- 3,595
Kweli mkuu.Umechelewa Sana mkuu
Bora angesema Serikali iweke msisitizo kwenye uchukuaji tahadhari. Ila sio hiyo chanjo inayopigiwa kelele.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuu.Umechelewa Sana mkuu
Hawana ajenda kwa sasa, wanarukia kila kitu! Ajenda yao ya ufisadi waliipoteza 2015! Kwa sasa wamebaki kushikilia katiba mpya ambayo kwa 90% ya watanzania haina mashiko, ina mashiko kwa wasomi wachacheHivi CHADEMA wanaelewa kwamba kabla ya chanjo kuna fomu ya kusaini kukubali kuchanjwa?
Wanaelewa kwamba kuna issue nzima ya consent katika maadili ya kitabibu?
Wanaelewa kwamba kulazimisha watu wasiotaka chanjo wachanjwe ni kuvunja haki zao za kibinadamu?
![]()
Is Mandatory Vaccination Against COVID-19 Justifiable Under the European Convention on Human Rights?
Mandatory vaccination interferes with personal integrity but may be necessary to safeguard public health. However, states must consider all relevant factors in context and ensure …gchumanrights.org
Wife taratibu mimba hiyo usiniharibie mtoto.Mwamba kawambia lazima mchanjwe!
Ntakuwepo kukushika takle hilo ili chanjo ipenye vizuri
Na wewe wacha uchangudoa wako
Hahaha, Mbowe ni CCM aliyejivika ngozi ya upinzaniHayo ndiyo mawazo ya kiongozi wa upinzani Tanzania. CCM na ujambazi wao wote hawawezi kutamka upuuzi wa namna hii.
Mwenyekiti wa hicho chama awe Don NalimisonHapo sasa mmeharibu, sasa huu ndio muda mwafaka wa wananchi kujiunga na chama ya Magulification of Africa (MA)
Chanja wewe usitulazimishe wengineHuu ni uzushi tu
Hakuna aliyekukataza kuchanja, wewe chanja ila sisi wengine hatuchanji ng'o.Nchi hii kuna ufala mwingi sana, ukichunguza vizuri wanaopinga chanjo chanzo ni Gwajima alipoanza kuipinga mwaka jana, mbona chanjo zote tulizochanjwa ni za wazungu?
Kwanini tusiachane nazo?
Hebu pingeni chanjo kwa hoja za kisayansi ili tuwaunge mkono basi?
Kaenda Mwanza kwa mbwembwe then kapiga bonge la boko! Kasahaulisha watu tozoHii habari ya kulazimisha watu wote wapatiwe chanjo ya corona imemweka mbowe ktk mazingira magumu sana. Katiba kwa sasa haijadiliwi, kinachojadiliwa sasa ni kauli yake ambayo imeleta taharuki kubwa kwa watanzania.
Tuangalie wenzetu waliotutangulia katika demokrasia wanasemaje, naangalia demokrasia kwa sababu CHADEMA ni Chama Cha Demokrasia na Maendeleo. Demokrasia ipo katika jina la chama.Hawana ajenda kwa sasa, wanarukia kila kitu! Ajenda yao ya ufisadi waliipoteza 2015! Kwa sasa wamebaki kushikilia katiba mpya ambayo kwa 90% ya watanzania haina mashiko, ina mashiko kwa wasomi wachache
Nekulazimisha nakujua?Hakuna aliyekukataza kuchanja, wewe chanja ila sisi wengine hatuchanji ng'o.
Kila mtu ana maamuzi yake tuheshimiane.
Acheni uongo wakati mwingine unaogeuzwa kisiasa,hivi mgonjwa wa kipindupindu useme anahiari ya kupatatiba au akatae,nini kitatokea.Chanjo zote duniani hi hiari. Umewahi kuona wapi watu wanalazimishwa tiba? Kwenye medical ethics tunaongozwa na Principle of Autonomy; kwamba, kila mtu mwenye akili timamu, ana haki ya kuchagua Aina ya matibabu/Kinga anayotakiwa kupata baada ya kupewa Elimu ya kutosha juu ya faida na hasara za matibabu hayo. Na haapo ndipo tunapoona umuhimu wa Informed Consent.
Sasa ndugu yenu Mbowe, anataka kuleta siasa kwenye professional za watu. Mwambieni apambane na Katiba, haya atuachie. Hakuna sehemu WHO walisema Chanjo ni lazima. Hata marekani ambao ni wadhamin wakuu wa WHO, majority ya raia wao, hawajapata Chanjo na Kuna wengi tuu wamegomesha na serikali haiwafanyi kitu.
Hizi chanjo ni salama. Watanzania wengi wanazipinga kwa sababu ya ulimbukeni. Ila isiwe lazima kwa watu kuchanja. Iwe ni hiari. Cha muhumu elimu itolewe ili watu waondoa hofu waliyopandikizwa na wajinga kama kina Gwajima na marehemu. Ila kusema iwe ni lazima big NO!Nchi hii kuna ufala mwingi sana, ukichunguza vizuri wanaopinga chanjo chanzo ni Gwajima alipoanza kuipinga mwaka jana, mbona chanjo zote tulizochanjwa ni za wazungu?
Kwanini tusiachane nazo?
Hebu pingeni chanjo kwa hoja za kisayansi ili tuwaunge mkono basi?
Mdogo mdogo watazikubali tu, mtu akiwa na safari hapa hawezi kukwepaHizi chanjo ni salama. Watanzania wengi wanazipinga kwa sababu ya ulimbukeni. Ila isiwe lazima kwa watu kuchanja. Iwe ni hiari. Cha muhumu elimu itolewe ili watu waondoa hofu waliyopandikizwa na wajinga kama kina Gwajima na marehemu. Ila kusema iwe ni lazima big NO!
Hapo Msee umeyumba sana ww n upepo wakati mwingineChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeomba huduma ya utoaji chanjo ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19), iwe ya lazima badala ya hiari kama ilivyotangazwa na Serikali....