#COVID19 CHADEMA: Chanjo ya COVID-19 iwe ya lazima

#COVID19 CHADEMA: Chanjo ya COVID-19 iwe ya lazima

Hayo ndiyo mawazo ya kiongozi wa upinzani Tanzania. CCM na ujambazi wao wote hawawezi kutamka upuuzi wa namna hii.
 
mwenyekiti atukome achome yeye na familia yake

mbona mnaipromoti sana mmelipwa?

TUSIJISHANE
 
Lazima kivipi yaani?
Ulazima wa chanjo utasababisha Wananchi kuichukia Serikali yao. Suala la Afya ya mtu sio Mali ya wanasiasa ni hiyari ya mtu kuamua...
Suala la afya za raia unataka kulifanyia siasa? Yaani unataka kura ya maoni kwenye suala kama hilo?

Kabla ya kufikia kwenye chanjo ya lazima kwa raia wote, bado kuna makundi ambayo yako katika mazingira hatarishi zaidi ya kuathiriwa hususani wahudumu wa afya. Makundi haya lazima yapewe chanjo. Hakuna mjadala wala kura ya maoni hapo!
 
Huyu Mlevi mjinga mjinga anadhani anaweza kumshauri nani?? Huuu uharro wake angewaambia ndondocha na nyumbu wenzake huko wanapokaa kupeana ujinga. Wachagga wakishapewa kipande kidogo cha pessa baaaasi wanauza Uttu wao na wenzao pia iweje mtazamo wake atake uwe wa Taifa? Ovyo sana
 
Hii habari ya kulazimisha watu wote wapatiwe chanjo ya corona imemweka mbowe ktk mazingira magumu sana. Katiba kwa sasa haijadiliwi, kinachojadiliwa sasa ni kauli yake ambayo imeleta taharuki kubwa kwa watanzania.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeomba huduma ya utoaji chanjo ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19), iwe ya lazima badala ya hiari kama ilivyotangazwa na Serikali...
Amevuta cha Arachuga? Nasikia kikali sana
 
Mambo kama haya ndo yananifanya niamini chadema/upinzani ni wapumbavu tena Rubbish sperms, Wew kama unataka chanjo c utulize wezere lako usubiri hiyo chanjo.
 
Huyu jamaa anatakiwa kupimwa akili, siamini kama dishi liko sawa. Au labda ni madhara ya faru john!?
 
Mh.Mbowe, hili la chanjo achana nalo Serikali ihangaike nalo. Umesahau ulivyokomalia eti sisi wananchi tuwekwe Lockdown na swala hili likakuharibia katika uchaguzi. Ulitaka tufungiwe ndani alafu tule nini wakati wewe umeshafanya shopping Mlimani City ya kukutosha miezi hata 3.

Kumbuka kwamba hata Serikali ya Amerika -USA wameshindwa kulazimisha chanjo just because, ina affect Gene ya binadamu na nikosa kisheria kufuatana na Haki za Binadamu.

Bado tunakupenda Mh.wetu waachie Serikali jambo la chanjo.
 
Ngoja nikuulize,hata ile ya polio ni hiari sio,achilia mbali pepopunda,kifaduro,kutajakwa uchache.
Chanjo zote duniani hi hiari. Umewahi kuona wapi watu wanalazimishwa tiba? Kwenye medical ethics tunaongozwa na Principle of Autonomy; kwamba, kila mtu mwenye akili timamu, ana haki ya kuchagua Aina ya matibabu/Kinga anayotakiwa kupata baada ya kupewa Elimu ya kutosha juu ya faida na hasara za matibabu hayo. Na haapo ndipo tunapoona umuhimu wa Informed Consent.

Sasa ndugu yenu Mbowe, anataka kuleta siasa kwenye professional za watu. Mwambieni apambane na Katiba, haya atuachie. Hakuna sehemu WHO walisema Chanjo ni lazima. Hata marekani ambao ni wadhamin wakuu wa WHO, majority ya raia wao, hawajapata Chanjo na Kuna wengi tuu wamegomesha na serikali haiwafanyi kitu.
 
Back
Top Bottom