Fatma-Zehra
Senior Member
- Oct 18, 2020
- 192
- 1,063
Hayo ndiyo mawazo ya kiongozi wa upinzani Tanzania. CCM na ujambazi wao wote hawawezi kutamka upuuzi wa namna hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Suala la afya za raia unataka kulifanyia siasa? Yaani unataka kura ya maoni kwenye suala kama hilo?Lazima kivipi yaani?
Ulazima wa chanjo utasababisha Wananchi kuichukia Serikali yao. Suala la Afya ya mtu sio Mali ya wanasiasa ni hiyari ya mtu kuamua...
Italy, chanjo ni lazima kwa utaratibu maalumu. Adhabu pia zipo kwa wanaokaidi utaratibu huo.
Au unazungumzia Italy ipi?
Source: "Niamini mm"Italia, Ufaransa, Australia, Uingereza, Urusi n.k. zina chanjo za lazima. Fanyeni utafiti kwanza kabla ya kulalamika.
Amevuta cha Arachuga? Nasikia kikali sanaChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeomba huduma ya utoaji chanjo ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19), iwe ya lazima badala ya hiari kama ilivyotangazwa na Serikali...
Utafukuzwa chadema ole wako upingeIwe lazima kwani shibe hio.
Chanjo ni hiari
Chanjo zote duniani hi hiari. Umewahi kuona wapi watu wanalazimishwa tiba? Kwenye medical ethics tunaongozwa na Principle of Autonomy; kwamba, kila mtu mwenye akili timamu, ana haki ya kuchagua Aina ya matibabu/Kinga anayotakiwa kupata baada ya kupewa Elimu ya kutosha juu ya faida na hasara za matibabu hayo. Na haapo ndipo tunapoona umuhimu wa Informed Consent.Ngoja nikuulize,hata ile ya polio ni hiari sio,achilia mbali pepopunda,kifaduro,kutajakwa uchache.
Why?Hapo wanaharibu.
Anafanya maksudi huyo ili serikali wakilazimisha apate la kuwakosoaKwani ndugu yangu kamanda mchovu, si ulikuwa mstari wa mbele kuipinga, ama mawazo yamebadilika?
Umechelewa Sana mkuuHuyu naanza kuamini kuwa anatumiwa na mabeberu kweli