#COVID19 CHADEMA: Chanjo ya COVID-19 iwe ya lazima

#COVID19 CHADEMA: Chanjo ya COVID-19 iwe ya lazima

Nchi hii kuna ufala mwingi sana, ukichunguza vizuri wanaopinga chanjo chanzo ni Gwajima alipoanza kuipinga mwaka jana, mbona chanjo zote tulizochanjwa ni za wazungu?...
Kachome wewe form ya kujisajiri ili uchomwe chanjo umeisoma au unapiga kelele tuu.inasemaa!! Endapo MTU yeyote akipata madhara yeyote ya ugonjwa au kifo kutokana na hzo chanjo serikali haiusiki kwa chochote kile.hata kama huna akili unajiuliza kwa nn wanataka kukwepa lawama?
 
Kachome wewe.form ya kujisajiri ili uchomwe chanjo umeisoma au unapiga kelele tuu.inasemaa!! Endapo MTU yeyote akipata madhara yeyote ya ugonjwa au kifo kutokana na hzo chanjo serikali haiusiki kwa chochote kile.hata kama huna akili unajiuliza kwa nn wanataka kukwepa lawama?
Muda utaongea, serikali walianza kwa kuzigomea chanjo, sasa wamezikubali wanasema ni hiari, kinachofuata kila mtu achanje...subiri muda utaongea
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbowe ni bonge la boga wakati mwingine!

Atuoneshe ni wapi na nchi gani chanjo ni lazima?

Alafu nmeona anataokwa povu kwamba selikali haichukui hatua zozote za awareness kwa wanachi ili kuzuia kusambaa kwa corona huku yeye akihamasisha vikongamano uchwara vya katiba!
 
Chanjo haiwezi kuwa ya lazima. Kwanini tufanye hivyo? By the way, chanjo sio muarobaini. Evidence zipo za watu waliopata jabs mbili lakini bado wakaugua tena na wakafariki kabisa. CHADEMA msitupotoshe. Hakuna ulazima kwenye hili
 
Huyu Freeman aendelee na konyagi zake....
Bure kabisa....Elimu ni muhimu sana...
 
Corona ipo na INAPUKUTISHA...siku ikikutembelea utamwelewa vizuri anachoongea Mbowe
 
Hahahaha! Siasa za tz raha sana, hizi siku tatu zilizopita zilikuwa chungu kwa Samia na Mwigulu kuhusu tozo!! Hizi siku mbili zijazo Mbowe atakiona cha moto kwa hii kauli yake!! Makamanda mkae mstari wa mbele kumtetea, maana akina Idungude watakuwa wanashusha thread humu kila baada ya dakika 10!
 
Back
Top Bottom