CHADEMA chini ya Tundu Lissu kimekuwa chama cha Wananchi wote!

Nasikia wanamnubua mzee ubwabwa
 
Na Ole wake Mtanzania atakaye panga mstari kwenda kuchagua Uchaguzi .SIRAHA YETU NI MOJA TU MAWE NA MANATI YAKE .TUMECHOKA

NO REFORM NO ELECTION
 
Mwanzo mzuri, 2035 tunashika nchi, hata tusuposhika nchi CCM wataongoza kwa adabu
Sahihi hata kama siipendi chadema lakini hili la kuongoza kwa adabu kwa chama kilichopo madarakani ndio muhimu kuliko vyote, ulafi ,wizi ,rushwa ,utajiri wa kutisha kwa wanasiasa unaleta taswira hasi kuhusu uzalendo wa viongozi wetu
vyama vya upinzani vikiwa imara viongozi watakuwa na heshima kwa wananchi
 
Niliishatabiri kwamba this time next year HAKUTAKUWA na chama kinaitwa Chadema. Na utabiri unaendelea kujidhihirisha.
 
Ni kweli, bahari haikai na uchafu.
 

Mkuu PAlikuWa na Uzi hapa 2023 huko:

Lissu ndilo tegemeo tulilo nalo kwenye kuikomboa nchi hii sasa

Ukiyaangazia hayo hayo ambao vijana wa hovyo na wapenda nyama na pombe za bure walikereka mno nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…