Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
CHADEMA ijifunze kukubali MAZURI ya viongozi kama yananufaisha wananchi. Waache kupinga kila kitu mfano ktk Sakata la makinikia Tundu alitanguliza maslah yake mbele kama mwanasheria kutetea wezi ,CHADEMA ikanyamaza. Wananchi tulikosa uungwaji mkono Kutoka vyama vya upinzani kuhusu suala Hilo. Sijui kama mtasamehewa.Unanuka mdomo.
Utukane wenzako wakikujambisha kidogo tu unang'aka pumbavu kabisa,jinga wewe!Usinitafutie matatizo.
We bibie umeshatawaza huo mnyeo?Utukane wenzako wakikujambisha kidogo tu unang'aka pumbavu kabisa,jinga wewe!
Viongozi wengi CHADEMA wenye maono wamestuka hawamtukani tena. Unajua idadi ya kura za machinga Nchi nzima walioharibiwa biashara zao ni wangapi? Wamuona ni SHUJAA wao.
Pale Yanga inapoipa Simba mbinu za kuifunga Orlando kwa madiba.Magufuli alikuwa na wafuasi wengi sana. Mama ntilie, machinga, wakulima na watu wa hali ya chini. Yeye aliwaita wanyonge. Hawa ndio mtaji wetu kwa sasa. Tuwatafute na kuwavuta Chadema maana CCM ya sasa imewakataa na imerudi kwa mafisadi.
Tuwapange vizuri na ikifika mwaka 2025 huu ndio mtaji mkubwa kwa ushindi wa kukamata dola.
Nimetoa ushauri naomba uzingatiwe.
Hili sio jukwaa la sports.Pale Yanga inapoipa Simba mbinu za kuifunga Orlando kwa madiba.
Acha kukariri mambo 2025 kutakuwa na mabadiliko makubwa sana. Maana CCM ya mafisadi imechukiwa na wananchi.Angekuwa na ushawishi kwa machinga asingepora uchaguzi. Isitoshe yeye amefanya box la kura lidharaulike, na sasa watu wengi hawajitokezi tena kupiga kura. Hiyo 2025 ccm hawa walioko madarakani watapora kama yeye alivyopora uchaguzi, hivyo hakuna mtu anaogopa wala kuhitaji kura yako.
πππππ utaelewa tu!Hili sio jukwaa la sports.
Fanyeni hivyo bila chembe za ulaghai, ubinafsi katika kuitumia fursa hii adimu... Mkijipanga kwa umakini mkubwa kuanzia sasa, ushindi ni hakika, Ila mchague nyuso mpya, Hao wenye makandokando tuliowazoea tangu enzi na Enzo hawatakubalika.Magufuli alikuwa na wafuasi wengi sana. Mama ntilie, machinga, wakulima na watu wa hali ya chini. Yeye aliwaita wanyonge. Hawa ndio mtaji wetu kwa sasa. Tuwatafute na kuwavuta Chadema maana CCM ya sasa imewakataa na imerudi kwa mafisadi.
Tuwapange vizuri na ikifika mwaka 2025 huu ndio mtaji mkubwa kwa ushindi wa kukamata dola.
Nimetoa ushauri naomba uzingatiwe.
Yamkini wewe ni kichaa ambaye nimekosa kosa kukugonga na gari hapo barabaraniPeleka ungiri mbali ww sukuma gang, dhalimu hakuwa na ushawishi wowote zaidi ya ulevi wa madaraka. Angekuwa na hao watu asingenajisi uchaguzi. Ulivyo na gundu hata huko ccm hawakutaki.
Muonee huruma, elimu yake ni duni.Yamkini wewe ni kichaa ambaye nimekosa kosa kukugonga na gari hapo barabarani
Narudia tena, Magufuli alinajisi box la kura, hivyo usitegemee tena kuona makundi ya watu wakienda kwenye vituo vya kura. Hakuna uwezekano tena wa kufanya watu wajinga muda wote.Acha kukariri mambo 2025 kutakuwa na mabadiliko makubwa sana. Maana CCM ya mafisadi imechukiwa na wananchi.
Yamkini wewe ni kichaa ambaye nimekosa kosa kukugonga na gari hapo barabarani
Sisi tunaotaka mabadiliko tutaenda kupiga kura. Wewe utakaa nyumbani ukikaanga chapati.Narudia tena, Magufuli alinajisi box la kura, hivyo usitegemee tena kuona makundi ya watu wakienda kwenye vituo vya kura. Hakuna uwezekano tena wa kufanya watu wajinga muda wote.
Sisi tunaotaka mabadiliko tutaenda kupiga kura. Wewe utakaa nyumbani ukikaanga chapati.
Magufuli alikuwa na wafuasi wengi sana. Mama ntilie, machinga, wakulima na watu wa hali ya chini. Yeye aliwaita wanyonge. Hawa ndio mtaji wetu kwa sasa. Tuwatafute na kuwavuta Chadema maana CCM ya sasa imewakataa na imerudi kwa mafisadi.
Tuwapange vizuri na ikifika mwaka 2025 huu ndio mtaji mkubwa kwa ushindi wa kukamata dola.
Nimetoa ushauri naomba uzingatiwe.
Alinyang'a nywa na was CCM huyo chinga siyo chademaSawa lakini ulionekana ukimnyang'anya machinga ndizi zake na kutokomea nazo porini. Vipi,umemrudishia?
WanaChadema wenzangu wenye akili watanielewa. Mpumbavu kama wewe huwezi kuelewa.
JPM alikuwa Chadema mwenzetu?