CHADEMA fursa iliyopo wazi kwa sasa ni kuwatumia wafuasi wa hayati Magufuli kujiimarisha zaidi kwa ushindi wa 2025 huu ndio mtaji wetu mkubwa kisiasa

Unanuka mdomo.
CHADEMA ijifunze kukubali MAZURI ya viongozi kama yananufaisha wananchi. Waache kupinga kila kitu mfano ktk Sakata la makinikia Tundu alitanguliza maslah yake mbele kama mwanasheria kutetea wezi ,CHADEMA ikanyamaza. Wananchi tulikosa uungwaji mkono Kutoka vyama vya upinzani kuhusu suala Hilo. Sijui kama mtasamehewa.
 
Viongozi wengi CHADEMA wenye maono wamestuka hawamtukani tena. Unajua idadi ya kura za machinga Nchi nzima walioharibiwa biashara zao ni wangapi? Wamuona ni SHUJAA wao.

Angekuwa na ushawishi kwa machinga asingepora uchaguzi. Isitoshe yeye amefanya box la kura lidharaulike, na sasa watu wengi hawajitokezi tena kupiga kura. Hiyo 2025 ccm hawa walioko madarakani watapora kama yeye alivyopora uchaguzi, hivyo hakuna mtu anaogopa wala kuhitaji kura yako.
 
Magufuli alikuwa na wafuasi wengi sana. Mama ntilie, machinga, wakulima na watu wa hali ya chini. Yeye aliwaita wanyonge. Hawa ndio mtaji wetu kwa sasa. Tuwatafute na kuwavuta Chadema maana CCM ya sasa imewakataa na imerudi kwa mafisadi.

Tuwapange vizuri na ikifika mwaka 2025 huu ndio mtaji mkubwa kwa ushindi wa kukamata dola.

Nimetoa ushauri naomba uzingatiwe.
Pale Yanga inapoipa Simba mbinu za kuifunga Orlando kwa madiba.
 
Angekuwa na ushawishi kwa machinga asingepora uchaguzi. Isitoshe yeye amefanya box la kura lidharaulike, na sasa watu wengi hawajitokezi tena kupiga kura. Hiyo 2025 ccm hawa walioko madarakani watapora kama yeye alivyopora uchaguzi, hivyo hakuna mtu anaogopa wala kuhitaji kura yako.
Acha kukariri mambo 2025 kutakuwa na mabadiliko makubwa sana. Maana CCM ya mafisadi imechukiwa na wananchi.
 
Magufuli alikuwa na wafuasi wengi sana. Mama ntilie, machinga, wakulima na watu wa hali ya chini. Yeye aliwaita wanyonge. Hawa ndio mtaji wetu kwa sasa. Tuwatafute na kuwavuta Chadema maana CCM ya sasa imewakataa na imerudi kwa mafisadi.

Tuwapange vizuri na ikifika mwaka 2025 huu ndio mtaji mkubwa kwa ushindi wa kukamata dola.

Nimetoa ushauri naomba uzingatiwe.
Fanyeni hivyo bila chembe za ulaghai, ubinafsi katika kuitumia fursa hii adimu... Mkijipanga kwa umakini mkubwa kuanzia sasa, ushindi ni hakika, Ila mchague nyuso mpya, Hao wenye makandokando tuliowazoea tangu enzi na Enzo hawatakubalika.
 
Peleka ungiri mbali ww sukuma gang, dhalimu hakuwa na ushawishi wowote zaidi ya ulevi wa madaraka. Angekuwa na hao watu asingenajisi uchaguzi. Ulivyo na gundu hata huko ccm hawakutaki.
Yamkini wewe ni kichaa ambaye nimekosa kosa kukugonga na gari hapo barabarani
 
Acha kukariri mambo 2025 kutakuwa na mabadiliko makubwa sana. Maana CCM ya mafisadi imechukiwa na wananchi.
Narudia tena, Magufuli alinajisi box la kura, hivyo usitegemee tena kuona makundi ya watu wakienda kwenye vituo vya kura. Hakuna uwezekano tena wa kufanya watu wajinga muda wote.
 
Sisi tunaotaka mabadiliko tutaenda kupiga kura. Wewe utakaa nyumbani ukikaanga chapati.
 
Tutashusha idadi ya wapiga kura kwa kiwango ambacho huwezi kuamini. Kama tume na katiba ni hii hii usitegemee mtu anayejitambua kushiriki huo upuuzi. Time will tell.
 
Magufuli alikuwa na wafuasi wengi sana. Mama ntilie, machinga, wakulima na watu wa hali ya chini. Yeye aliwaita wanyonge. Hawa ndio mtaji wetu kwa sasa. Tuwatafute na kuwavuta Chadema maana CCM ya sasa imewakataa na imerudi kwa mafisadi.

Tuwapange vizuri na ikifika mwaka 2025 huu ndio mtaji mkubwa kwa ushindi wa kukamata dola.

Nimetoa ushauri naomba uzingatiwe.

Wafuasi wa Magufuli ndio akina Nani?. Chadema itafute wanachama sio wafuasi wa Magufuli.
 
Back
Top Bottom