Sisi tunaotaka mabadiliko tutaenda kupiga kura. Wewe utakaa nyumbani ukikaanga chapati.
Hii nakuunga mkono. Siasa haina adui wa kudumu. Cha muhimu malengo yatimieMagufuli alikuwa na wafuasi wengi sana. Mama ntilie, machinga, wakulima na watu wa hali ya chini. Yeye aliwaita wanyonge. Hawa ndio mtaji wetu kwa sasa. Tuwatafute na kuwavuta Chadema maana CCM ya sasa imewakataa na imerudi kwa mafisadi.
Tuwapange vizuri na ikifika mwaka 2025 huu ndio mtaji mkubwa kwa ushindi wa kukamata dola.
Nimetoa ushauri naomba uzingatiwe.
Chadema ipo moyoni kwangu
Watu kama ndio mnaofanya chadema ionakane ni chama cha wanaharakati.
Chadema ni adui wa magufuli sisi hatuwezi kuwakubari tunangoja chama kipya ,hapo chadema na act cha zitto watashangaa kuwa jpm ana nguvu kubwa baada ya chama hicho kuwa na nguvu kuliko vyama vyote tz,magufuli anakubalika kwa asilimia 90% ya watz 10% ndiyo wanagawana wahuni wa ccm na upinzani
Kama na wewe ni mmoja wapo wa walio husika kumuua basi jiwekee ulinzi wa kutosha kama wenzako walio husika wanavyo fanya ,mwenzako mkwele anaishi kama digidigi na madoctor wake
Chadema hawahawa aki na Lema? Mwenyekiti ameuza mechi Kwa mama, sukuma gang ni kundi linalojitegemea ila liko kimya hadi 2024.
Bwashee chadema yenyewe unayotaka ituvute kwenda kwayo ni ipi, hii hii ambayo mgombea wao ni tundu lisu?
Kama ni hiyo basi ushauri wako hautafanya kazi. Hatuwezi kuongozwa na mtu ambaye hazimtoshi #dishlimetilt
Viongozi wengi CHADEMA wenye maono wamestuka hawamtukani tena. Unajua idadi ya kura za machinga Nchi nzima walioharibiwa biashara zao ni wangapi? Wamuona ni SHUJAA wao.
Magu alichukiwa na C.C.M na CHADEMA wapiga deal. lakini alipendwa na WANANCHI Walio wengi wenye vipato duni wasio na vyama.
Kwa tume ipi brother itakayo watangaza?Magufuli alikuwa na wafuasi wengi sana. Mama ntilie, machinga, wakulima na watu wa hali ya chini. Yeye aliwaita wanyonge. Hawa ndio mtaji wetu kwa sasa. Tuwatafute na kuwavuta Chadema maana CCM ya sasa imewakataa na imerudi kwa mafisadi.
Tuwapange vizuri na ikifika mwaka 2025 huu ndio mtaji mkubwa kwa ushindi wa kukamata dola.
Nimetoa ushauri naomba uzingatiwe.
Magufuli alikuwa mtu hatari sn alituharibia nchi yetuMnajaribu kutishia Watu kana Magufuli alikuwa mtu mwema Sana, kama vile tulikuwa hatuishi naye. Hakuna kiongozi chadema atakaye mkubali Magufuli aliyezuia chadema wasifanye siasa kwa miaka sita na ushee.
CHADEMA ijifunze kukubali MAZURI ya viongozi kama yananufaisha wananchi. Waache kupinga kila kitu mfano ktk Sakata la makinikia Tundu alitanguliza maslah yake mbele kama mwanasheria kutetea wezi ,CHADEMA ikanyamaza. Wananchi tulikosa uungwaji mkono Kutoka vyama vya upinzani kuhusu suala Hilo. Sijui kama mtasamehewa.
Hoja Kwa hoja. Tunataka KATIBA mpya iongoze hata sera za vyama pinzani, tuwe na maono ya kitaifa. Lisu alisema mashoga wapewe HAKI zao🙂, je huo ni msimamo wa CHADEMA? Watanzania watakueleweni na kuwaamini ktk mambo hayo? Alipinga chanjo Kwa nguvu lakini katk kampeni hakuvaa barakoa! Ktk meng Bado kinapwaya. Tunataka vyama vya siasa imara. Mimi Sina chama. Nadeclare interest.Mnaitaka chadema ya Nini? Bungeni mmejaza CCM na kwenye halmashauri mmejaza CCM. Kwa nini msiwapigie kelele hao.
Achaneni na chadema wanafiki nyie. Mtu kutoa ushauri kwamba tunaweza kushtakiwa twende kwa makini ni vibaya?.
Unamfahamu mleta uzi?Tulia.Alinyang'a nywa na was CCM huyo chinga siyo chadema
Wewe utakuwa vyeti feki uliyetumbuliwa hadi leo huamini hakuna ajira kwa wenye vyeti fekiPeleka ungiri mbali ww sukuma gang, dhalimu hakuwa na ushawishi wowote zaidi ya ulevi wa madaraka. Angekuwa na hao watu asingenajisi uchaguzi. Ulivyo na gundu hata huko ccm hawakutaki.
Sukuma gang usiyechoka.Magufuli alikuwa na wafuasi wengi sana. Mama ntilie, machinga, wakulima na watu wa hali ya chini. Yeye aliwaita wanyonge. Hawa ndio mtaji wetu kwa sasa. Tuwatafute na kuwavuta Chadema maana CCM ya sasa imewakataa na imerudi kwa mafisadi.
Tuwapange vizuri na ikifika mwaka 2025 huu ndio mtaji mkubwa kwa ushindi wa kukamata dola.
Nimetoa ushauri naomba uzingatiwe.
Wananchi tulio wengi tusio na vyama ndiyo tulimchukia zaidi.Magu alichukiwa na C.C.M na CHADEMA wapiga deal. lakini alipendwa na WANANCHI Walio wengi wenye vipato duni wasio na vyama.