econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Sisi tunaotaka mabadiliko tutaenda kupiga kura. Wewe utakaa nyumbani ukikaanga chapati.
Unapinga KATIBA mpya halafu unaenda kupiga Kura. 2020 Watu walipiga Kura lakini Rais akachaguliwa na sysytem.