CHADEMA haifai kuwa ni Chama Cha Siasa


Is this necessary.... Kweli wewe unataka kujenga au kubomoa, Jamani sio kilo tunalowaza is worth kupost Jamii forum. Labda this belongs in Jokes forum, by the way its not even funny
 
Hivi froida prpaganda hapo ni ipi?
kila kitu kiko wazi
1.Chadema=Chagga
2.Padri Slaa=Anazini na mke wa mtu.au pia hutaki aitwe padri?
3.Anatishia kumwaga damu
4.Hana busara.hajui ni wakati gani aseme lipi na wapi
na mengine mengi
 
Hivi froida prpaganda hapo ni ipi?
kila kitu kiko wazi
1.Chadema=Chagga
2.Padri Slaa=Anazini na mke wa mtu.au pia hutaki aitwe padri?
3.Anatishia kumwaga damu
4.Hana busara.hajui ni wakati gani aseme lipi na wapi
na mengine mengi

Chama sio, Viongozi tu; ni wanachama, itikadi na sera za Chama, Sasa ndugu yangu naomba ujibu yafuatayo kama yote ni negative basi chadema haifai; mimi personal life za viongozi i could not care less yanayonihusu ni haya
1. Je Sera za Chadema; Kupunguza Matumizi Serikalini, Kuwabana Mafisadi, Kuleta elimu na Afya kwa wananchi, kupunguza bei za mambo muhimu kama vifaa vya ujenzi hayafai?
2. Najua utasema wanatoa ahadi ambazo hawatazitekeleza hapo jibu ni point yangu namba mbili; Track Record, track record ya CCM ya kutuhaidi Dar kuwa Kama DUBAI wakati tunaona Dar inarudi nyuma na kuwa kama TIMBUKTU (hakuna maji umeme etc) inaonyesha siasa za CCM ni za kutupiga Changa La Macho. Wakati Chadema Track Record ya Bunge lililopita lilionyesha This Guys with Few people they Had they Did a Lot than all other Wabunge Combined, which leave me to say MMhh Kumbe maybe this Guys can do it.. Lets Give them a Chance and I dont care if They are Wachagga, Wagagigikoko or hawana kabila......
 
Hivi froida prpaganda hapo ni ipi?
kila kitu kiko wazi
1.Chadema=Chagga
2.Padri Slaa=Anazini na mke wa mtu.au pia hutaki aitwe padri?
3.Anatishia kumwaga damu
4.Hana busara.hajui ni wakati gani aseme lipi na wapi
na mengine mengi
Mimi Mtanzania yeyote anayemtambua mtu kwa udini na kabila kwa kweli huwa simthamini kabisa kwa sababu taabu ya kupeleka nchi kwenye ukabila na udini hakuna atayepona nazidi kusimamia kwenye msimamo wangu unaweza kumchukia mtu au chama lakini jaribu kutumia vigezo vingine lakini sio kabila lake au dini yake hii ni dhambi kubwa ni sawa na pale utakapokula nyama ya mtu hutaacha kama Mwalimu Nyerere alivyotuase tuache mabo haya ya ukabila kwa sababu unaandika ukijua unachoandika si kweli
Kuna sheria ya Tanzania ianayosema hakuna mtu atalazimishwa kuishi na mumewe au mkewe kama mmoja wao hataki kuishi na mwenzie kwa hiyo mke kuibiwa nadhani ni dhana yako tu kisheria haipo kwa sababu mtu asipotaka kuishi na mumewe au mkewe basi ndio mwisho
 

Kama hawezi kucheka basi sio mwanasiasa. Siasa ni majadiliano na compromise na sio vurugu. Na mtu naiteka vurugu hua hazungumzi sana anaingia tu msituni na wakati huo atajulikana kwa jina jingine na sio mwanasiasa. ndio maana alishindwa kuja kuface reality ya matokeo ya uchaguzi.
 
Hivi froida prpaganda hapo ni ipi?
kila kitu kiko wazi
1.Chadema=Chagga
2.Padri Slaa=Anazini na mke wa mtu.au pia hutaki aitwe padri?
3.Anatishia kumwaga damu
4.Hana busara.hajui ni wakati gani aseme lipi na wapi
na mengine mengi

Kwani akiwa padri au shekh, sisi tusiokuwa na dini inatuhusu nini? kuhusu kuchakachua mke wa mtu pia haituhusu, hayo ni maisha yake binafsi, naona waislam ndio wanazishikilia sana hizo ajenda, lakini ukweli ni kwamba mahali penye umaskini hata dini haiwezi kushamiri, tunachotaka watanzania ni Rais mwenye uwezo wa kutuondolea umaskini wetu, awe padri, shekh, mzinzi, mpagani, ki-mpango wake yeye na Mungu wake, sisi tunataka mtu atakayepambana na rushwa, ujinga, na kuleta huduma bora za jamii.

Udini unakusumbua wewe! Period!
 
Kwani hapa tupo kwenye Comedy mpaka tuanze kucheka Cheka, if you are looking for comedies na watu kucheka cheka try zecomedy, mimi hata angekuwa hana sura it does not concern me, suala ni je, anaweza kazi. (Please Lets use our grey matter inside our heads its there for a reason)
 
there are some guys here who appears bright until they start writting! Mwiba, Kalamazoo and the co. You better shut up than writting slanderers, and chaffs like this. You deserve the word stupid don't you? What else if you want someone to smile at open theft and all abuses we have endured? Even someone like me, who is ignorant of much of politics says your post is full of stupendous stupidity!
That is it!
 

"Calling them Stupid will be insulting other stupid people", This has gone beyond stupidity
 
Hivi froida prpaganda hapo ni ipi?
kila kitu kiko wazi
1.Chadema=Chagga
2.Padri Slaa=Anazini na mke wa mtu.au pia hutaki aitwe padri?
3.Anatishia kumwaga damu
4.Hana busara.hajui ni wakati gani aseme lipi na wapi
na mengine mengi

CCM=Kweres and coastal allies
Sheikh JK=Mlipa fadhila and..........other women
Anatishia kumwaga damu=Uchochezi kutumia dini
Hana busara, hajui ni wakati gani aseme lipi na wapi na kukenulia watu wenye busara meno na kuwazulumu wananchi wakina mama wajawazito, watoto, vilema haki zao wanazostahili na mengine meeengi tuu!
 

Kwa hiyo tatizo ni "magwanda?" Yaani unaona wizi wa kura ni sawa tu ndugu ili mradi majambazi ya uchumi wetu kupitia Richmond, meremeta, tangold, mwananchi gold, nk yaendelee kukaa Ikulu na kuendelea kuiangamiza nchi yetu?
 

Hapo umenena ,unajua saa ingine inabidi tuwashe moto ili tupate moshi na baadae ndio turine asali, heshima Mkuu ,kitu kimoja ambacho mnakwenda nacho hadi kufikia tarehe ya kupiga kura ni kule kuwa sambamba na katiba mbovu na tume isiyokubalika popote pale penye mfumo wa vyama vingi.

Kosa ambalo linafanywa na vyama vya siasa ni kuingia katika uchaguzi huku vikijua fika kuwa ushindi hautopatikana hata kama mgombea wa CCM hakujipigia kura (Zanzibar Shein hakujipigia kura) na hapa Tanganyika hata kama Kikwete asingelikwenda basi bado angeliibuka mshindi au unasemaje Dr Slaa ??? Unaweza kufafanua ni kwa sababu gani zinazowezesha viongozi wa CCM kushinda bila ya kupiga au kujipigia kura ??

Labda niseme kwa nini tusijipange upya ? Tujipange katika kuandaa mazingira mapya ya kiuchaguzi ,kwani hivi sasa hakuna Mtanzania ambae anauona umuhimu wa kupiga kura kwani wakipiga wasipige bado CCM ataiba matokeo na kuyachezea atakavyo ,utanishawishije niende kupiga kura 2015 ikiwa hali iliyopo au iliyotokea haijapatiwa ufumbuzi ?

Njia ambazo zilitumiwa Zanzibar dhidi ya CUF ndizo hizo zinazotumiwa leo hapa Tanganyika ,kubadilisha matokeo ,moja ambalo halijafika huku Tanganyika ni kutumia mtutu wa bunduki ambako Zanzibar inasemekana hii ni mara ya pili mtutu unatumika ,Je hayo mtakabiliana nayo vipi ?
Kwa kweli wananchi wanataka kuhakikishiwa ni kwa namna gani kura zao zitahifadhiwa na kulindwa hadi yatakapotangazwa bila ya kubadilishwa ? Hili ni jambo muhimu ambalo linahitajika kufanyiwa kazi leo bila ya kuingojea kesho otherwise wapiga kura hawatanyanyua mguu kwenda kwenye vituo na kuwajibika katika upigaji wa kura.

Maoni yangu ni kuwa ushawishi mkubwa unahitajika katika kuibadilisha KATIBA hii na Tume na mfumo uliojiwekea wa kuwa wao wapo juu ya sheria.Hapa hapahitajiki Bunge katika kudai madai ya KATIBA mpya na Tume mpya , Vyama vya siasa ndivyo vinavyohitajika katika kuieleza jamii na kuishawishi kuungana katika kutoa kipaumbele cha madai ya KATIBA mpya na muda ndio huu kabla siku hazijaanza kupungua na kuambiwa kuwa mida haitoshi. La leo lifanywe leo na si vinginevyo.

Kama mlivyoweza kuwashawishi wananchi wawapigie kura kwa wingi na iliwezekana basi ndio hivyo hivyo itakavyowezekana katika kuwashawishi ili washikamane na kuwa kitu kimoja ili kuilazimisha serikali ikubali (Mwanasheria mkuu) kuibadilisha Katiba na likiwezekana hilo basi imani ya uchaguzi wa haki itarudi.
 

Labda familia yenu ndiyo inafaa kuwa chama cha kisiasa.
 

Huku hatuhitaji mawazo mgando.;..WE NI MCHOCHEZI NA SI MZALENDO.....Tunataka utuambie nini kifanyike uchumi wa nchi yetu uende kwenye dunia ya kati au ya kwanza.
KWA HERI....
 
Yaani mwiba uliloliona cdm ni magwanda tu?sera za cdm ziko wazi hata mtoto mdogo anaweza kukwambia,kama una upinzani na cdm jenga hoja na c kuleta mambo ya ajabu ukitaka mambo ya mavazi kaungane na kina Remtula na Khadija Mwanamboka.
 
Tunahitaji uvumilivu mkubwa na mungu atujalie........watu kama hawa akina Mwiba dhahiri wanaonekana hawana akili kabisa lakini wana post thread zao hapa jamvini......ukiangalia alivyo anza na anavyo malizia hakuna uhusiano kabisa .....inamaana dhamira yake na akili yake havina mwelekeo mmoja .Niwatanzania wangapi wako namna hii.
 
 
CHADEMA NI WEHU. kwanza huyo Slaa mwenyewe ana hasira kama nini. hivi yule angechukua urais si kuna siku watu tungechapwa viboko nchi nzima. kwanza hajui mahusiano na watu.

NYAMUNGO unatia aibu sana! Umejiunga JF Aug 2007, umePOSTS 172, Thanked 0!
 
Hivi froida prpaganda hapo ni ipi?
kila kitu kiko wazi
1.Chadema=Chagga
2.Padri Slaa=Anazini na mke wa mtu.au pia hutaki aitwe padri?
3.Anatishia kumwaga damu
4.Hana busara.hajui ni wakati gani aseme lipi na wapi
na mengine mengi

We acha hila zako kupaka watu matope ya kikabila. Na huku kanda ya ziwa tunakoipenda CHADEMA kam samaki na maji sisi ni wachaga. Kiama chenu kimefika nyie mafisadi na hta mlete tope gani dhidi ya CHADEMA halishiki. Kumbuka huku tuko wengi kuliko ukanda wowote na ndio ngome ya HADEMA ukiachiachilia sehemu zingine sio uchagani. Asiyekuwa na busara ni mkwere ambaye hana hata uwezo wa kushindana na paka kwenye mdahalo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…