CHADEMA haifai kuwa ni Chama Cha Siasa

CHADEMA haifai kuwa ni Chama Cha Siasa

Kusema kweli Chadema kimepoteza muelekeo wa kuwa Chama cha siasa na badala yake kinaelekea kuipeleka Tanzania pahala pabaya ,sehemu ambayo itakuwa tabu sana kurudi huku tulikotoka kwenye amani na utulivu.

Kwa muda huu Chadema inapuliza vuvuzela la machafuko Tanzania nzima ,kwa kuwa tu imepigwa bao la kisigino na kuachwa kwenye mataa.Nionavyo na mawazo yangu mgando ni bora chama hiki kifungwe au kiondoke kwenye medani za siasa na kuingia misituni kiendeleze mapambano ya kuing'oa CCM madarakani na sio kutumia siasa kama jukwaa la kuiondoa CCM kwani haitofanikiwa milele.

Mimi nilipowaona wanang'ang'ania kuvaa magwanda ya kijeshi nilijua tu kuwa hawa sio wanasiasa aidha watakuwa na lengo lingine kabisa ambalo leo hii limeanza kuota kama uyoga.Maguo yale ya kijeshi hutumika kwenye vita kwa kuvaliwa na viongozi waandamizi ambao huwa ni wazamiaji wa shughuli za kuendeleza mapambano na Chadema walianza zamani kuwavaa viongozi wa serikali za Tz zilizopita kwa kuwakosoa na kuwaweka katika hali ngumu na hata kupelekea mabadiliko ya serikali katika ngazi za uwaziri.

Chadema kama mmechoka na siasa bora mvunje chama na kurudi huko mnakotokea au ingieni msituni tujue kuwa mmekusudia.

..............................B/S
 
Wewe lazima utakuwa mamluki wa CCM! Chama ni watu na wengi wao ni vijana. Hakuna chama kischotegemea nguvu ya wananchi ambao ni wanachama wake! "If you know nothing... dont open your mouth... for you'll speak nonsense!
 
Kusema kweli Chadema kimepoteza muelekeo wa kuwa Chama cha siasa na badala yake kinaelekea kuipeleka Tanzania pahala pabaya ,sehemu ambayo itakuwa tabu sana kurudi huku tulikotoka kwenye amani na utulivu.

Kwa muda huu Chadema inapuliza vuvuzela la machafuko Tanzania nzima ,kwa kuwa tu imepigwa bao la kisigino na kuachwa kwenye mataa.Nionavyo na mawazo yangu mgando ni bora chama hiki kifungwe au kiondoke kwenye medani za siasa na kuingia misituni kiendeleze mapambano ya kuing'oa CCM madarakani na sio kutumia siasa kama jukwaa la kuiondoa CCM kwani haitofanikiwa milele.

Mimi nilipowaona wanang'ang'ania kuvaa magwanda ya kijeshi nilijua tu kuwa hawa sio wanasiasa aidha watakuwa na lengo lingine kabisa ambalo leo hii limeanza kuota kama uyoga.Maguo yale ya kijeshi hutumika kwenye vita kwa kuvaliwa na viongozi waandamizi ambao huwa ni wazamiaji wa shughuli za kuendeleza mapambano na Chadema walianza zamani kuwavaa viongozi wa serikali za Tz zilizopita kwa kuwakosoa na kuwaweka katika hali ngumu na hata kupelekea mabadiliko ya serikali katika ngazi za uwaziri.

Chadema kama mmechoka na siasa bora mvunje chama na kurudi huko mnakotokea au ingieni msituni tujue kuwa mmekusudia.
kwa desturi za waafrika... hutakiwi kuhoji sana uanaume wa mtu bila vigezo kadhaa lakini kimoja kitumikacho ni kutooa... Ni kwa dhana hiyohiyo, yawezekana kabisa mmoja wetu akahoji kama Mungu alikupa ubongo kichwani au utumbo mpana mwenzetu... maana huwezi toa blanket statement bila hoja wala nini

Hata mtoto akiomba umnunulie ndege, ujue anajua kwamba ipo ya saizi yake na si vinginevyo
 
Kusema kweli Chadema kimepoteza muelekeo wa kuwa Chama cha siasa na badala yake kinaelekea kuipeleka Tanzania pahala pabaya ,sehemu ambayo itakuwa tabu sana kurudi huku tulikotoka kwenye amani na utulivu.

Kwa muda huu Chadema inapuliza vuvuzela la machafuko Tanzania nzima ,kwa kuwa tu imepigwa bao la kisigino na kuachwa kwenye mataa.Nionavyo na mawazo yangu mgando ni bora chama hiki kifungwe au kiondoke kwenye medani za siasa na kuingia misituni kiendeleze mapambano ya kuing'oa CCM madarakani na sio kutumia siasa kama jukwaa la kuiondoa CCM kwani haitofanikiwa milele.

Mimi nilipowaona wanang'ang'ania kuvaa magwanda ya kijeshi nilijua tu kuwa hawa sio wanasiasa aidha watakuwa na lengo lingine kabisa ambalo leo hii limeanza kuota kama uyoga.Maguo yale ya kijeshi hutumika kwenye vita kwa kuvaliwa na viongozi waandamizi ambao huwa ni wazamiaji wa shughuli za kuendeleza mapambano na Chadema walianza zamani kuwavaa viongozi wa serikali za Tz zilizopita kwa kuwakosoa na kuwaweka katika hali ngumu na hata kupelekea mabadiliko ya serikali katika ngazi za uwaziri.

Chadema kama mmechoka na siasa bora mvunje chama na kurudi huko mnakotokea au ingieni msituni tujue kuwa mmekusudia.

HII THREAD YAKO HAPA SI MAHALA PAKE CHA MUHIMU ANDIKA BARUA KWA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA JOHN TENDWA MUELEZE MAWAZO YAKO YA KUTAKA CHADEMA IFUTWE TENA USISAHAU HOJA ZAKO ZA MSINGI ULIZO ZIHAINISHA
i/ CHADEMA INA PULIZA VUVUZELA LA MACHAFUKO
ii/ CHADEMA WANAVAA MAGWANDA YA KIJESHI

TENDWA ndiye atakaye kujibu kwa kulingana na sheria ya usajili wa vyama vya siasa, Majibu ya TENDWA ndio yatakuwa kipimo cha uelewa wako ktk medani za KISIASA
 
CHADEMA NI WEHU. kwanza huyo Slaa mwenyewe ana hasira kama nini. hivi yule angechukua urais si kuna siku watu tungechapwa viboko nchi nzima. kwanza hajui mahusiano na watu.
Ningependa zaidi kuwa na Rais mwenye hasira juu ya ufisadi unaoendelea nchini kuliko Rais check bob ane-smile hata pale nyumba inateketea. So when it comes to capability Slaa weighs far above the current president
 
Wewe unapenda raisi mpole na mzushi kama kikwete?..kila mwenye anajua chadema makini na slaa makini pia. Pole kwa kukosa akili.
 
We ndugu unaakiri za abunwasi au bulicheka unakata tawi wakati amekalia tawi hilohilo?kwanini chadema kifutwe na sio CCm ? tusiongee kwa ushabiki tujenge hoja Je tendwa aliye kisajili chadema hana Akiri ilala wewe unazo,siku zote kituchochete kizuri kinapigwa vita. vyama vingine havijaonyesha upinzani wowote mwaka huu dalili hii ni ya wivu na siku zote mtu mwenye wivu ni Mchawi tunaweza kukuhisi vibaya kuwa wewe ni fisadi au kibaraka wa chama furani au kichwa chako kinamataizo,Chadema kimekosa nini?au CCM imekosa nini ,Je umesoma Katiba ya Chadema kuwa ni chama cha Kijeshi?na kamwe watanzania hatuko tayari kumwaga damu wala kuingia Msituni kama unavyo dai huko Msituni nenda mwenyewe na chama chako pengine mnaenda kuwinda huko.
 
Kusema kweli Chadema kimepoteza muelekeo wa kuwa Chama cha siasa na badala yake kinaelekea kuipeleka Tanzania pahala pabaya ,sehemu ambayo itakuwa tabu sana kurudi huku tulikotoka kwenye amani na utulivu.

Kwa muda huu Chadema inapuliza vuvuzela la machafuko Tanzania nzima ,kwa kuwa tu imepigwa bao la kisigino na kuachwa kwenye mataa.Nionavyo na mawazo yangu mgando ni bora chama hiki kifungwe au kiondoke kwenye medani za siasa na kuingia misituni kiendeleze mapambano ya kuing'oa CCM madarakani na sio kutumia siasa kama jukwaa la kuiondoa CCM kwani haitofanikiwa milele.

Mimi nilipowaona wanang'ang'ania kuvaa magwanda ya kijeshi nilijua tu kuwa hawa sio wanasiasa aidha watakuwa na lengo lingine kabisa ambalo leo hii limeanza kuota kama uyoga.Maguo yale ya kijeshi hutumika kwenye vita kwa kuvaliwa na viongozi waandamizi ambao huwa ni wazamiaji wa shughuli za kuendeleza mapambano na Chadema walianza zamani kuwavaa viongozi wa serikali za Tz zilizopita kwa kuwakosoa na kuwaweka katika hali ngumu na hata kupelekea mabadiliko ya serikali katika ngazi za uwaziri.

Chadema kama mmechoka na siasa bora mvunje chama na kurudi huko mnakotokea au ingieni msituni tujue kuwa mmekusudia.

kuna maeneo ambayo unaweza kuimba hizo ngonjera zako wakakusikia. vijijini. ambako hawajui kama nyerere alisha fariki.

JF siyo sehemu muafaka. umepotea njia. 2015 CCM lazima watapigana vikumbo kugombea majimbo ya vijijini. huku mijini hatudanganyiki.
 
Ndugu, mimi naiona CHADEMA kama chama cha ukombozi katika nchi hii. Ufedhuli na Ufisadi wote unaofanywa katika nchi hii bila CHADEMA tusingeujua kabisa. Chama kinachoendekeza u-"huyu ni mwenzetu" na kulindana, na ambacho kimeifanya nchi hii licha ya kuwa na amani na utulivu ni ya mwisho kwa kila kitu, iwe kielimu, iwe kiuchumi, iwe hata kimiundo mbinu nk. Hiki ndicho chama tunachotamani kifutwe hata leo kwenye daftari la msajili wa Vyama vya siasa. Chama kinachosema kuwa nchi hii ni ya ujamaa na kujitegemea wakati ukweli nchi hii sasa ni ya kibepari. Nchi ambayo raisi wake anatembea kila nchi ughaibuni kuomba misaada itajitegemeaje wakati anaibeba siasa ya ujamaa na kujitegemea? Badilika ndugu yangu.
 
Kusema kweli Chadema kimepoteza muelekeo wa kuwa Chama cha siasa na badala yake kinaelekea kuipeleka Tanzania pahala pabaya ,sehemu ambayo itakuwa tabu sana kurudi huku tulikotoka kwenye amani na utulivu.

Kwa muda huu Chadema inapuliza vuvuzela la machafuko Tanzania nzima ,kwa kuwa tu imepigwa bao la kisigino na kuachwa kwenye mataa.Nionavyo na mawazo yangu mgando ni bora chama hiki kifungwe au kiondoke kwenye medani za siasa na kuingia misituni kiendeleze mapambano ya kuing'oa CCM madarakani na sio kutumia siasa kama jukwaa la kuiondoa CCM kwani haitofanikiwa milele.

Mimi nilipowaona wanang'ang'ania kuvaa magwanda ya kijeshi nilijua tu kuwa hawa sio wanasiasa aidha watakuwa na lengo lingine kabisa ambalo leo hii limeanza kuota kama uyoga.Maguo yale ya kijeshi hutumika kwenye vita kwa kuvaliwa na viongozi waandamizi ambao huwa ni wazamiaji wa shughuli za kuendeleza mapambano na Chadema walianza zamani kuwavaa viongozi wa serikali za Tz zilizopita kwa kuwakosoa na kuwaweka katika hali ngumu na hata kupelekea mabadiliko ya serikali katika ngazi za uwaziri.

Chadema kama mmechoka na siasa bora mvunje chama na kurudi huko mnakotokea au ingieni msituni tujue kuwa mmekusudia.

kweli Chadema imekuwia mwiba na bado.... mbona tuko msituni tayari we subiri tu usiwe na upesi
 
Unajidhalilisha wenyewe - what you're doing is called intellectual masturbation!
 
THESI,
Usihangaike na watu wenye ajenda zao. i) Wachagga nao ni Watanzania na wanahaki zao katika Taifa hili. Mtu yeyote anayejenga chuki ya kikabila bila msingi amefilisika, na hana nafasi katika Taifa hili. Tuliisha kwenda mbali zaidi ya makabila. Dawa ya mtu kama huyo ni wa kumpuuza tu.
ii) Padri Slaa- Kuzini na mke wa mtu. Kama Padri Slaa mwenyewe hakasiriki wala nyie hamhitaji kukasirika. Mwenye mamlaka ya kuhukumu ni Mungu tu na si binadamu mwingine. Unajua walivyokimbia Mahakamani kwa lengo la Propaganda za Kisiasa. Leo wako wapi mbona hakuna anayezungumza tena. Ndio Maana Mimi Padri Slaa, huwa siwajibu, kwa sababu asiyejua bali anajifanya mjuaji ni juha kuliko wale wasiojua. Huyo unasababu ya kubishana naye kwa kuwa hutambadilisha hata ukibishana naye.
iii) Kutishia kumwaga Damu ni kosa la jinai. Kama anajua kuna aliyetishia kumwaga Damu na hajaripoti Polisi ili mhusika akamatwe, basi ni mzushi, mchonganishi na kadhalika na huyo huhitaji pia kuhangaika naye. Au analake jambo, au katumwa na hatumii akili zake bali kichwa anakibeba kama kabichi, kwa kuwa kichwa cha binadamu chenye ubongo kimemumbwa na Mungu kufikiri, kutafakari lakini kama kichwa cha mtu kimejaa tu ushabiki usipoteze muda. Tukumbuke mfano wa Kichaa aliyekimbia na nguo zako na wewe ukimbimkimbiza jamii haitafahamu kichaa ni nani kati yenu. iv) Busara ya mtu inapimwa kwa maneno na matendo yake, na hivyo wapimwe kwa maneno na matendo yao. Tusiwatukane, kwa sababu haisaiidii sana kumpigia Mbuzi Gitaa.... Thanks, na kama nilivyosema siku zote Wasamehewe bure, haigharimu kusamehe bure bali kunakupa thawabu....
 
hakuna kitu kizuri maishani kama kujijua kuwa wewe ni maamuma,
bali ni mbaya zaidi mtu kutojijua kuwa una udhaifu wa mawazo na ufinyu wa maarifa,
hasa ukizingati kuwa dunia ya sasa ni watu wafikirivu sana na siyo wavivu wa kufikiri kama wewe
rafiki yangu Mwiba
 
Kusema kweli Chadema kimepoteza muelekeo wa kuwa Chama cha siasa na badala yake kinaelekea kuipeleka Tanzania pahala pabaya ,sehemu ambayo itakuwa tabu sana kurudi huku tulikotoka kwenye amani na utulivu.

Kwa muda huu Chadema inapuliza vuvuzela la machafuko Tanzania nzima ,kwa kuwa tu imepigwa bao la kisigino na kuachwa kwenye mataa.Nionavyo na mawazo yangu mgando ni bora chama hiki kifungwe au kiondoke kwenye medani za siasa na kuingia misituni kiendeleze mapambano ya kuing'oa CCM madarakani na sio kutumia siasa kama jukwaa la kuiondoa CCM kwani haitofanikiwa milele.

Mimi nilipowaona wanang'ang'ania kuvaa magwanda ya kijeshi nilijua tu kuwa hawa sio wanasiasa aidha watakuwa na lengo lingine kabisa ambalo leo hii limeanza kuota kama uyoga.Maguo yale ya kijeshi hutumika kwenye vita kwa kuvaliwa na viongozi waandamizi ambao huwa ni wazamiaji wa shughuli za kuendeleza mapambano na Chadema walianza zamani kuwavaa viongozi wa serikali za Tz zilizopita kwa kuwakosoa na kuwaweka katika hali ngumu na hata kupelekea mabadiliko ya serikali katika ngazi za uwaziri.

Chadema kama mmechoka na siasa bora mvunje chama na kurudi huko mnakotokea au ingieni msituni tujue kuwa mmekusudia.

A man who cannot reason is a fool, a man who will not reason is a bigot, and a man who dare not reason is a slave.
 
THESI,
Usihangaike na watu wenye ajenda zao. i) Wachagga nao ni Watanzania na wanahaki zao katika Taifa hili. Mtu yeyote anayejenga chuki ya kikabila bila msingi amefilisika, na hana nafasi katika Taifa hili. Tuliisha kwenda mbali zaidi ya makabila. Dawa ya mtu kama huyo ni wa kumpuuza tu.
ii) Padri Slaa- Kuzini na mke wa mtu. Kama Padri Slaa mwenyewe hakasiriki wala nyie hamhitaji kukasirika. Mwenye mamlaka ya kuhukumu ni Mungu tu na si binadamu mwingine. Unajua walivyokimbia Mahakamani kwa lengo la Propaganda za Kisiasa. Leo wako wapi mbona hakuna anayezungumza tena. Ndio Maana Mimi Padri Slaa, huwa siwajibu, kwa sababu asiyejua bali anajifanya mjuaji ni juha kuliko wale wasiojua. Huyo unasababu ya kubishana naye kwa kuwa hutambadilisha hata ukibishana naye.
iii) Kutishia kumwaga Damu ni kosa la jinai. Kama anajua kuna aliyetishia kumwaga Damu na hajaripoti Polisi ili mhusika akamatwe, basi ni mzushi, mchonganishi na kadhalika na huyo huhitaji pia kuhangaika naye. Au analake jambo, au katumwa na hatumii akili zake bali kichwa anakibeba kama kabichi, kwa kuwa kichwa cha binadamu chenye ubongo kimemumbwa na Mungu kufikiri, kutafakari lakini kama kichwa cha mtu kimejaa tu ushabiki usipoteze muda. Tukumbuke mfano wa Kichaa aliyekimbia na nguo zako na wewe ukimbimkimbiza jamii haitafahamu kichaa ni nani kati yenu. iv) Busara ya mtu inapimwa kwa maneno na matendo yake, na hivyo wapimwe kwa maneno na matendo yao. Tusiwatukane, kwa sababu haisaiidii sana kumpigia Mbuzi Gitaa.... Thanks, na kama nilivyosema siku zote Wasamehewe bure, haigharimu kusamehe bure bali kunakupa thawabu....

Long live Dokta. PhD. Wilbroad Peter Slaa. Mjenzi wa Taifa. Makini.

Hilo la kuwatukana. Tunashukuru Dokta. Tuachie sisi na mods wetu hapa jamvini.
 
mwiba nakubaliana na wewe isopokuwa jambo moja tu kwamba:- CHADEMA si wanyama pori kama walivyo CCM na CUF hivyo ingekuwa sahihi kama ungesema CUF waingie msituni kama walivyotaka kufanya Zanzibar baada ya kuingia mtaani na kusababisha maafa. na kwa upande wa CCM kama walivyotumia nguvu katili kukatisha maisha ya raia 43 wasio na hatia! ungesema hvo ungekuwa umetoa hoja ya weledi kuliko hivi sasa mambapo chama ulichokishutumu kimetumia mbinu elevu sana kufikisha ujumbe basipo hata kuonyesha hisia za ugomvi kwa jamii!
 
Kusema kweli Chadema kimepoteza muelekeo wa kuwa Chama cha siasa na badala yake kinaelekea kuipeleka Tanzania pahala pabaya ,sehemu ambayo itakuwa tabu sana kurudi huku tulikotoka kwenye amani na utulivu.

Kwa muda huu Chadema inapuliza vuvuzela la machafuko Tanzania nzima ,kwa kuwa tu imepigwa bao la kisigino na kuachwa kwenye mataa.Nionavyo na mawazo yangu mgando ni bora chama hiki kifungwe au kiondoke kwenye medani za siasa na kuingia misituni kiendeleze mapambano ya kuing'oa CCM madarakani na sio kutumia siasa kama jukwaa la kuiondoa CCM kwani haitofanikiwa milele.

Mimi nilipowaona wanang'ang'ania kuvaa magwanda ya kijeshi nilijua tu kuwa hawa sio wanasiasa aidha watakuwa na lengo lingine kabisa ambalo leo hii limeanza kuota kama uyoga.Maguo yale ya kijeshi hutumika kwenye vita kwa kuvaliwa na viongozi waandamizi ambao huwa ni wazamiaji wa shughuli za kuendeleza mapambano na Chadema walianza zamani kuwavaa viongozi wa serikali za Tz zilizopita kwa kuwakosoa na kuwaweka katika hali ngumu na hata kupelekea mabadiliko ya serikali katika ngazi za uwaziri.

Chadema kama mmechoka na siasa bora mvunje chama na kurudi huko mnakotokea au ingieni msituni tujue kuwa mmekusudia.

Mti Mbaya hauwezi kuzaa matunda mema; hivyo hatuwezi kutegemea mawazo mazuri pale yasipokuwepo. kama ungetumia muda kuanalyse hali ya Tanzania ungejua nani haitakii mema Tanzania. Hasa hasa katika dunia nzima wanaong'ang'ania madaraka wakati umma unapokuwa umewakataa ndio wanaoleta maafa. kwa msingi huo, JK ndiye mpenda vurugu. Nina uhakika kama CHADEMA au CUF wangekuwa wameiba kura za CCM, CCM wasingefurahi bali wangedai haki yao!!

Amani ya kweli inahitajika Tanzania.
 
Advice them to do. We need plan B which can question existing power integrity
 
Akina 'Mwiba' ni watu wa kuonewa huruma badala ya kuwalaumu. Mtaji mkubwa wa CCM ni ujinga wa watu wachache. CCM imewekeza katika uelewa mdogo wa watanzania wengi ndiyo maana unaweza kusikia maneno kama haya yakitoka kwa mtanzania, tena aliye hoi bin taabani lakini hana uwezo wa kuoanisha yale yanayomzunguka na mifumo mbalimbali ya maisha yake ya kila siku. Hatuna chuki nawe Mwiba maana hujapenda kuwa na fikra ulizo nazo bali ni matunda ya utawala unaowekeza katika kutokuwajengea uelewa mpana watu wake.
 
Kusema kweli Chadema kimepoteza muelekeo wa kuwa Chama cha siasa na badala yake kinaelekea kuipeleka Tanzania pahala pabaya ,sehemu ambayo itakuwa tabu sana kurudi huku tulikotoka kwenye amani na utulivu.

Kwa muda huu Chadema inapuliza vuvuzela la machafuko Tanzania nzima ,kwa kuwa tu imepigwa bao la kisigino na kuachwa kwenye mataa.Nionavyo na mawazo yangu mgando ni bora chama hiki kifungwe au kiondoke kwenye medani za siasa na kuingia misituni kiendeleze mapambano ya kuing'oa CCM madarakani na sio kutumia siasa kama jukwaa la kuiondoa CCM kwani haitofanikiwa milele.

Mimi nilipowaona wanang'ang'ania kuvaa magwanda ya kijeshi nilijua tu kuwa hawa sio wanasiasa aidha watakuwa na lengo lingine kabisa ambalo leo hii limeanza kuota kama uyoga.Maguo yale ya kijeshi hutumika kwenye vita kwa kuvaliwa na viongozi waandamizi ambao huwa ni wazamiaji wa shughuli za kuendeleza mapambano na Chadema walianza zamani kuwavaa viongozi wa serikali za Tz zilizopita kwa kuwakosoa na kuwaweka katika hali ngumu na hata kupelekea mabadiliko ya serikali katika ngazi za uwaziri.

Chadema kama mmechoka na siasa bora mvunje chama na kurudi huko mnakotokea au ingieni msituni tujue kuwa mmekusudia.

Lazima unaulewa wa chini sana, watu kama wewe ndiyo mnao tusumbua na nchi haiendelei
 
Back
Top Bottom