Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Sasa ina maana hawana tena hoja? Watafanya nini? Walitaka kugombea ubunge na udiwani wamekosa mwana na maji ya moto.
Usiisingizie sijda.Sijda bila imaan thabiti,matendo yenye kuifuata dini na rahma za Mola ni baatil tupu!Na sigda (sajda) anayo kabisa.....Mungu wetu ana huruma sana
Uchaguzi lazima ufanyikeSipigi kura rais anajulikana, hamna haja ya kufanya kampeni Wala kutumia gharama za kijinga kisa uchaguzi pesa zote waelekeze kwenye mambo ya msingi, maana wameshajiteua na rais anajulikana hivyo hamna haja ya uchaguzi
Si ajabu Kingwendu ana utimamu kuliko huyo KailimaKailima amekaa kikomedikomedi sana.Halafu ni msomi.Huyu ni wa kuombewa fomu kwenye kundi la Kingwendu aoneshe kipaji.Kama kwa Kingwendu pako full house,aombewe nafasi kwa Miso-Misondo.Very talented old-mad boy!
Nimezingatia sana neno "utimamu" mkuu.Si ajabu Kingwendu ana utimamu kuliko huyo Kailima
Tetesi zinasema Mbowe ndiye PM ajaye. Tangu Lowassa alipoteuliwa kuwa mgombea wa urais kupitia CHADEMA naamini kwenye siasa kila kitu kinawezekana. Muda utaongea!Pengine lengo la Sisiemu/Hangaya na Mboowe linaenda kutimia?
Sawa wamefanya vizuri,kauli ya no reforms no election inapasua mawingu,heko kwako Mnyika,Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima amesema Chadema ambayo haikusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, haitashiriki Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu na chaguzi zote ndogo zitakazofuata kwa muda wa miaka mitano.
Kanuni hizo zinasainiwa leo Aprili 12, 2025 na vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu, Serikali na (INEC) jijini Dodoma. “Chama cha Chadema ambacho hakikusaini kanuni za maadili ya uchaguzi wa Rais, wabunge na madiwani wa mwaka 2025, hakitashiriki uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu na chaguzi zote ndogo zitakazofuata kwa muda wa miaka mitano.” amesema Kailima. Awali, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika alisema haendi na hajatuma mwakilishi kwenda kusaini kanuni hizo.
Mnyika kupitia mtandao wa kijamii wa X na baadaye katika mazungumzo kwa simu na Mwananchi leo Aprili 12, 2025 amesema haendi na hajatuma mwakilishi kwenda Dodoma kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi. Alipoulizwa ni kwa nini hajateua mwakilishi Mnyika amesema: “Ni vyema mkaandika kwamba sijakwenda wala sijateua mtu. Habari kubwa sasa hivi ni katibu mkuu, sitakwenda kusaini wala sijateua mtu." Vyama ambavyo vimehudhuria hafla hiyo ni ADC, Demokrasia Makini, DP, NRA, NLD, SAU,UDPD, ADA- TADEA, AAFP, CCM, CUF, ACT-Wazalendo, CHAUMMA, UMD, TLP, NCCR-Mageuzi, CCK, UDP.
View attachment 3301510
...ama kweli kujichelewesha kwenda chooni hakuzuii njaa kuuma! This is CCM!Ni sawa na kuamua kuzima simu ambayo haina Chaji wala bando kwa madai ya kuconcentrate...
Baba Mjinga ukisusia Socks anakunyang'anya na viatu....ama kweli kujichelewesha kwenda chooni hakuzuii njaa kuuma! This is CCM!
SureBaada ya hapo tunaamini hakuna Mwananchi atakayeuawa kwa sababu za Uchaguzi
Mimi kuna saa huwa siwaelewi Chadema. Kuacha kushiriki leo ni kosa sana. Walitakiwa washiriki halafi waendelee na kampeni ya NO REFORMS NO ELECTION.Patakucha tu siku moja,,,, ! Bado ni giza !
Kwani sini ni sheria ilivyo mkuu,mnataka kuishi kwenye nchi isiyokua na sheria eti.HAPANACCM wamenyimwa mshipa wa aibu.
Wanafikiri wakifanya hivyo ndiyo wanajiimarisha! Kumbe ndiyo wananchi wanazidi tu kuwadharau na pia kuzitambua nia zao ovu kwenye nchi yetu.