PreGE2025 CHADEMA haitoweza kushiriki uchaguzi ndani ya miaka mitano ikiwemo wa mwaka huu

PreGE2025 CHADEMA haitoweza kushiriki uchaguzi ndani ya miaka mitano ikiwemo wa mwaka huu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Huyo shetani Ramadhani anadhani wote ni mashetani kama yeye, kiasi washiriki huo ushetani wao?
 
Ndo mana mie kuna muda naphtali shida sana kuwaamini Waislam. Ukimwona Kailima anavyoswali alafu ukiangalia anavyoshiriki kufanya huu upuuzi unasema tu hakuna dini pale.

Kuna watu wanatumia dini kuficha uharamia wao. Huyu Ramadhani ni shetani tu, hata kama atavaa kanzu kila siku.
 
Kivipi? Kwani ni lazima chadema ishiriki uchaguzi ndo ukubarike kimataif a?Kuna vyama 23 vimesaini.sijajua ni taasisi Gani Ina uhalali wa kuitetea chadema kama taasisi hiyo ni ya haki?
Jibu swali langu, Mtakua mnaenda kula kwa Mbowe?
 
Sipigi kura rais anajulikana, hamna haja ya kufanya kampeni Wala kutumia gharama za kijinga kisa uchaguzi pesa zote waelekeze kwenye mambo ya msingi, maana wameshajiteua na rais anajulikana hivyo hamna haja ya uchaguzi
Rais wa kambo alisema atawaaga Watanzania mwaka 2030 atakapomaliza muda wake. That means, kabla ya 2030, wa kumtoa ni Mungu au tanks!
 
Rais wa kambo alisema atawaaga Watanzania mwaka 2030 atakapomaliza muda wake. That means, kabla ya 2030, wa kumtoa ni Mungu au tanks!
Ai kani sii yuuu! 😂

Screenshot_20240723_161411_Photo Editor.jpg
 
Mimi sijaelewa kabisaaa .ina Maana chadema ndiyo chama pekee chenye akili kuwazidi vyame vingine 22?

Kuna mambo mengine ya kistajabisha kwa kweli!!

Unasema unahamasisha uasi??? Hivi hamna lugha nyengine ya kutumia zaidi ya Hiyo? Mfano : unahamasisha maamdamano,mabadiriko,fujo,etc!! Neno uasi ni neno baya!! Shetani alihamasisha uasi mbinguni akaishia kuangushwa Duniani pamoja na Wale malaika mataila waliyomsikiliza!!
vyama vibaraka vya ccm hivyo. CDM ndio chama cha kweli cha upinzani hasa baada ya Lissu kukamata uongozi.
 
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima amesema Chadema ambayo haikusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, haitashiriki Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu na chaguzi zote ndogo zitakazofuata kwa muda wa miaka mitano.

Kanuni hizo zinasainiwa leo Aprili 12, 2025 na vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu, Serikali na (INEC) jijini Dodoma. “Chama cha Chadema ambacho hakikusaini kanuni za maadili ya uchaguzi wa Rais, wabunge na madiwani wa mwaka 2025, hakitashiriki uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu na chaguzi zote ndogo zitakazofuata kwa muda wa miaka mitano.” amesema Kailima. Awali, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika alisema haendi na hajatuma mwakilishi kwenda kusaini kanuni hizo.

Mnyika kupitia mtandao wa kijamii wa X na baadaye katika mazungumzo kwa simu na Mwananchi leo Aprili 12, 2025 amesema haendi na hajatuma mwakilishi kwenda Dodoma kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi. Alipoulizwa ni kwa nini hajateua mwakilishi Mnyika amesema: “Ni vyema mkaandika kwamba sijakwenda wala sijateua mtu. Habari kubwa sasa hivi ni katibu mkuu, sitakwenda kusaini wala sijateua mtu." Vyama ambavyo vimehudhuria hafla hiyo ni ADC, Demokrasia Makini, DP, NRA, NLD, SAU,UDPD, ADA- TADEA, AAFP, CCM, CUF, ACT-Wazalendo, CHAUMMA, UMD, TLP, NCCR-Mageuzi, CCK, UDP.
View attachment 3301510
Kailima enzi za ujana wake..
Watu wanatokea mbali sana!.jpg
 
Huyo Mkurugenzi mpaka na Alama hiyo nyeusi usoni. Waislam nisaidie hiyo Alama nyeusi hapo usoni ya mtu wa kuswali sana inaitwaje. Huko mbinguni kutakuwa na vurugu mechi sana
 
Back
Top Bottom