PreGE2025 CHADEMA haitoweza kushiriki uchaguzi ndani ya miaka mitano ikiwemo wa mwaka huu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Sasa ina maana hawana tena hoja? Watafanya nini? Walitaka kugombea ubunge na udiwani wamekosa mwana na maji ya moto.

 
Sipigi kura rais anajulikana, hamna haja ya kufanya kampeni Wala kutumia gharama za kijinga kisa uchaguzi pesa zote waelekeze kwenye mambo ya msingi, maana wameshajiteua na rais anajulikana hivyo hamna haja ya uchaguzi
Uchaguzi lazima ufanyike
 
Pengine lengo la Sisiemu/Hangaya na Mboowe linaenda kutimia?
Tetesi zinasema Mbowe ndiye PM ajaye. Tangu Lowassa alipoteuliwa kuwa mgombea wa urais kupitia CHADEMA naamini kwenye siasa kila kitu kinawezekana. Muda utaongea!

 
Sawa wamefanya vizuri,kauli ya no reforms no election inapasua mawingu,heko kwako Mnyika,
 
Mimi sijaelewa kabisaaa .ina Maana chadema ndiyo chama pekee chenye akili kuwazidi vyame vingine 22?

Kuna mambo mengine ya kistajabisha kwa kweli!!

Unasema unahamasisha uasi??? Hivi hamna lugha nyengine ya kutumia zaidi ya Hiyo? Mfano : unahamasisha maamdamano,mabadiriko,fujo,etc!! Neno uasi ni neno baya!! Shetani alihamasisha uasi mbinguni akaishia kuangushwa Duniani pamoja na Wale malaika mataila waliyomsikiliza!!
 
Patakucha tu siku moja,,,, ! Bado ni giza !
Mimi kuna saa huwa siwaelewi Chadema. Kuacha kushiriki leo ni kosa sana. Walitakiwa washiriki halafi waendelee na kampeni ya NO REFORMS NO ELECTION.
Huenda inge leta pressure kwa wezi wa kura. Sasa wamejtoa Ccm wame baki burudani
 
CCM wamenyimwa mshipa wa aibu.

Wanafikiri wakifanya hivyo ndiyo wanajiimarisha! Kumbe ndiyo wananchi wanazidi tu kuwadharau na pia kuzitambua nia zao ovu kwenye nchi yetu.
Kwani sini ni sheria ilivyo mkuu,mnataka kuishi kwenye nchi isiyokua na sheria eti.HAPANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…