Uchaguzi 2020 CHADEMA hampati hata jimbo moja hapa Kilimanjaro

Moshi mjini ilikosea Sana kuwapa chadema Jimbo,na kwa hakika jambohilo wachaga hawato lirudia tena chaguzi hii

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Hayo no majina ya Koo mbili tofauti huwezi tumia Mara mbili kwa wakati mmoja
 
Umetumwa na Nani kuwasemea? Shayo Kimaro.
 
Wewe Mushi Masawe una kura ngapi kwenye uchaguzi ujao?
 
Eti Mushi Massawe. Acha propaganda za kifala mkuu. Kwasasa siasa ni corona.
Hili dasha linadhani Mushi na Massawe ni majina kama Happy na Musa. Lenyewe limejiunga jana na kuanzisha uzi. Haliwezi kutofautisha kati ya "l" na "r" i.e halijui tofauti kati ya "ajili" na "ajiri".
 
Jadili hoja iliyopo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatushindi kwasababu gani? Kwasababu mtajitangazia matokeo mnayotaka sivyo? Huo ndo mnauita ushindi? Kama mnapendwa sana mnawazuiaje wengine wasiongee?
Wekeni Mpira uwanjani na mwamuzi huru muone matokeo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mushi Masawe si mchaga , uko Geita unajifanya uko Kilimanjaro ! unatia aibu .
 
Mushi massawe, ukadai buku zako Saba kwa chakubanga kama kweli wewe ni mchaga kwani hela yao hailali nje! Una habari kuwa wenzako wenye kuandika ujinga na kuutetea na pia wale wenye kusifu Kika ujinga wwmeikimbia hii ajira ya polepole? Kama huna taarifa, mtafute mzee Vita nikuvute hapo R chuga akupe mtonyo juu ya kulipwa nguvu zenu!
Mnajitahidi mno kukichafua cdm na viongozi wake Ila ukweli mnaujua kuwa mnaipaisha na kuifuta vumbi na matope na ushahidi ni ule wa kulipiwa faini ya mamilioni ndani ya SAA 60!
Endeleeni kujifariji kwa kukumbatia mawe la mijusi kafiri! Na bado mtaionja nguvu ya umma tu octoba!
 
Hata hapa dar hawana chao, wakimbilie labda kwa joseph haule, mbunge pekee atayebaki kwa asilimia kubw
 
hamumtaki wewe na nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…