CHADEMA: Hatutaingilia Mahakama kuhusu kesi ya Wabunge 19 kupinga kuvuliwa uanachama


Chadema acheni kulialia

Nyie mlisema hamtaki vile viti wala hamtaki ruzuku sasa shida ni nn?

Wao wakina mdee wamechukua viti, na mmewafukuza uanachama Sawa sasa why msiendelee na Maisha yenu?


Coz hata wakitoka still vile viti nyie hamvitaki
 
Kwanini hamkwenda mahakani kufungua kesi ya fogery document??????
Tumeshafika patamu,
NEC mara kadhaa walikataa katakata kutoa MAJIBU kuridhisha, baada ya kuombwa kwa maandishi na CHADEMA. Wala hawakuwa tayari kutoa hata nakala ya documents zinazodaiwa ziliwezesha uteuzi wa covid 19. Sasa kesi iko mahakamani, covid 19 ndio watakaotoa majibu vizuri zaidi na aliyefanya forgery ataweza kujulikana.
La msingi ni kama ingekuwa docs hizo zilikuwa zimetokea ndani ya CHADEMA, ninaamini kuwa zingekuwa ziliishatolewa siku nyingi, ili kuwamaliza. Karibu tena.
 
ccm ni janga la taifa.
 
Chadema acheni kulialia

Nyie mlisema hamtaki vile viti wala hamtaki ruzuku sasa shida ni nn?

Wao wakina mdee wamechukua viti, na mmewafukuza uanachama Sawa sasa why msiendelee na Maisha yenu?


Coz hata wakitoka still vile viti nyie hamvitaki
Hoja nyingine zinatilisha huruma, kwani ni kama vile ni za kwenye kombolela
 
Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, Benson Kigaila amesema Chama hicho hakitaingilia taratibu zinazoendelea mahakamani kuhusu wabunge 19 waliofutiwa uanachama, huku akisisitiza kuwa hawakuwahi kumteua mtu kuwa mbunge wa viti maalum na hawautambui uchaguzi wa mwaka 2020 wala matunda yoyote ya uchaguzi huo
 
kuna mahali nilikujibu,kumbe nilimjibu CHIZI
 
Hii. Kesi ni ya aibu kuliko ile ya kigaidi mchongo ya Freeman
 
sasa chadema wasivyo na viongozi wenye akili unasema hamtaingilia mahakama wakati tayari unazungumzia suala lililoko mahakamani chadema hambna viongozi kuna waganga njaa
 
UTAKUWA HUJUI VIZURI CHADEMA YAANI HIZO DOCUMENT WANGEKUWA WAMEFOJI NA CDM WANAVYOPENDA KESI WANGEKUWA WAMESHAENDA MUDA MREFU KUSHITAKI NA HUJIULIZI KWANINI WLAIKUWAHWAEND MAHAKAMANI KUWASHITAKI KINA MDEE SASA WANAUMBUKA
 
Mnajua vizuri kwamba Mbowe,Mnyika na Mwalimu walipeleka yale majina, chama kinawabana wanaruka ruka kama chura wa mto msimbazi
 
Mnajua vizuri kwamba Mbowe,Mnyika na Mwalimu walipeleka yale majina, chama kinawabana wanaruka ruka kama chura wa mto msimbazi
HALAFU ANATOKEA MJINGA MMOJA KIGAILA ANASEMA HAKUNA MAJINA YALIYOPELEKWA NON SENSE
 
Mkuu uandishi huu wa kipumbavu sio mzuri, unalifanya jukwaa hili lionekane ni kijiwe, CDM wameshatolea tamko kuhusu hii issue mara nyingi tu, HAWACHUKUI RUZUKU, looo hii dot.com mnasumbua sana kwa ufikiri wenu butu
Acha upumbavu wewe na ndo shida ya kuongozwa na mtu alofeli Kidato cha Sita huyo Mbowe wenu, aliwahi kulikataa gari la Kiongozi wa Upinzani Bungeni lakini akalichukua kinyemela sembuse Ruzuku? Ruzuku za Wabunge 19 CHADEMA wanazichukua na hawajawahi kuzikataa.
 
WATU HAWAMJUI MBOWE KWENYE HELA HAFAI
 

Then watulie sasa wanalialia nn?

Wanataka wakina halima waache ubunge then na wao waendeleee na msimamo wao kuwa hawapeleki wabunge kisa Tu hawatambui uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…