Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Wanaukumbi.
Ni mtu mwenye mawazo finyu na upeo mdogo pekee anaweza kufikiria CHADEMA wana uwezo wa kuongoza taifa.
Ni sawa na kulinganisha kifo na Usingizi.
CCM ni chama chenye nguvu Ukanda wa Africa Mashariki, Kati hadi Kusini.
Ufipa ni chama chenye nguvu Machame na maeneo ya Moshi, Hadi Himo na Tarime, unaona tofati iliyopo CHADEMA wamekuwa watu wa kurukia matukio kila siku kukicha hawana dira hawajui Watanzania wanataka nini.
Chama kina mbunge moja wa kuchaguliwa kinapata wapi nguvu ya kujiita chama kikuu cha upinzani.
Sheria za FIFA zinakataza harakati au siasa kwenye viwanja vya mpira.
Hawa wafuasi wa CHADEMA hawana ufahamu wowote wao kila sehemu na matisheti ya CHADEMA katiba mpya daaah
Hivi nyie mnajielewa kweli?