CHADEMA hawana ushawishi kwa Watanzania kuchukua Dola, ni ndoto na kujidanganya

Kama Samia ameweza kuwa rais basi hata mbwa ataweza.
Hahhaha Mfalme wenu Mbiowe, alisema kweli chama kinaonekana kama cha wavvuta bangi tunakeaha kwenye mitandao kutukana😬
 
Mimi kama mwananchi nimechoshwa na watafuta Kura (sorry kula) kuwekeza tu kwenye nani aende kula na sio kutatua matatizo ya hii nchi...

Yaani watu wamewekeza zaidi kwenye kubaki madarakani au jinsi ya kuingia madarakani na sio vipi hii Keki inayoliwa na wachache inaweza vipi hata makombo yakawafikia majority...

Ukombozi hauwezi ukategemea mwanasiasa pekee bali wananchi wenye uelewa na wasiowekeza maisha yao kwenye hisani ya wanasiasa / watawala
 
Wee Zitto na Maalim Mohamed mna udini sana.
CHADEMA wakiwa kwenye mitandao wanatuambia CCM ni watu watekaji, wauaji, wakandamiza haki, madhalimu.

• wakati huo mwenyekiti wao anakesha kuomba vikao vya Siri na CCM/Ikulu.
 
Ni kweli. Mimi huwa nasema kuanzia kwa Kikwete mpaka sasa wote kwangu ni marais wa chiniya viwango. Hawakupaswa kuwa marais!
Ni lazima tuambiane Ukweriii.

Acheni siasa za Ulaghai, yaaani mnashinda kwenye mitandao kuwatukana CCM usiku mnakesha kuomba vikao Ikulu mkale Biryani na Chai ☕️😁

👆👉🏽mtu akikwambia ni mwanachama au mfuasi wa CHADEMA mwambie akatafute Daktari wa magonjwa ya akili. Sio mzima
 
Silaha kubwa sasa hivi ya wafuasi wa Chadema ni matusi hata Mwenyekiti wao Mbowe amekiri.
 
Wanaukumbi.

Ni mtu mwenye mawazo finyu na upeo mdogo pekee anaweza kufikiria CHADEMA wana uwezo wa kuongoza taifa.

Ni sawa na kulinganisha kifo na Usingizi.

CCM ni chama chenye nguvu Ukanda wa Africa Mashariki, Kati hadi Kusini.

Ufipa ni chama chenye nguvu Machame na maeneo ya Moshi, Hadi Himo na Tarime, unaona tofati iliyopo CHADEMA wamekuwa watu wa kurukia matukio kila siku kukicha hawana dira hawajui Watanzania wanataka nini.

Chama kina mbunge moja wa kuchaguliwa kinapata wapi nguvu ya kujiita chama kikuu cha upinzani.

Sheria za FIFA zinakataza harakati au siasa kwenye viwanja vya mpira.

Hawa wafuasi wa CHADEMA hawana ufahamu wowote wao kila sehemu na matisheti ya CHADEMA katiba mpya daaah

Hivi nyie mnajielewa kweli?
CCM ya sasa inataka Kanda ya Ziwa na Mbeya zipewe uhuru kwa kiwango cha Zanzibar. Hayo yamesemwa leo na Kijakazi mwanaccm kindakindaki.
 
Ndiyo maana Mbiwe mwaka wa 24 sasa mwenyekiti anachosema mnakifuata mnadhani vyama vyote vinaongozwa na kauli ya mtu mmoja.
 
Ni lazima tuambiane Ukweriii.

Acheni siasa za Ulaghai, yaaani mnashinda kwenye mitandao kuwatukana CCM usiku mnakesha kuomba vikao Ikulu mkale Biryani na Chai ☕️😁

👆👉🏽mtu akikwambia ni mwanachama au mfuasi wa CHADEMA mwambie akatafute Daktari wa magonjwa ya akili. Sio mzima
Ayatolah Zitto na maaalim Mohamed mnaongozwa na chuki. Ndiyo maana mlipigwa na laana mkajichanyanga mkaumbuka na hii ID yenu.
 
CHADEMA wakiwa kwenye mitandao wanatuambia CCM ni watu watekaji, wauaji, wakandamiza haki, madhalimu.

• wakati huo mwenyekiti wao anakesha kuomba vikao vya Siri na CCM/Ikulu.
Wewe ni kibaraka tangu zamani. Unajulikana na hakuna jipya!
 
Ukiona chama cha siasa kutwa kucha kinalalamika kwamba Utawala uliopo madarakani ni madhalimu na wanafanyiwa dhulma alafu Mlango wa nyuma chama hicho kinakesha kuomba vikao Ikulu kiogope kama ukoma.
CHADEMA ni CCM ‘B’, mfalme wao anaendesha kipindi drama nyingi kwenye mitandao.
 
Nashangaa unashambulia Chadema wakati unafnya majadiliano na mtu ambaye hana uhusiano wowote na hicho Chama. Chuki yako kwa wakristo na Chadema inakufanya mpaka unapofuka macho na kukosa hoja kabisa. Wewe hoja kwako ni kuitukana Chadema na Mbowe! Endelea lakini hata Chadema ikifutika leo hii haimaanishi kuwa Zitto na ''ACT vibaraka'' mtakubalika! Najua kuwa huambiwa wala husikii baada ya muislam mwenzako kushika madaraka na kufanya udondokewe na makombo sasa hivi lakini mambo yatakavyobadilika utashangaa na utaishia pabaya sana!
 
Ni lazima tuambiane Ukweriii.

Acheni siasa za Ulaghai, yaaani mnashinda kwenye mitandao kuwatukana CCM usiku mnakesha kuomba vikao Ikulu mkale Biryani na Chai ☕️😁

👆👉🏽mtu akikwambia ni mwanachama au mfuasi wa CHADEMA mwambie akatafute Daktari wa magonjwa ya akili. Sio mzima
Dawa yako inachemka Kanda ya Ziwa! Enzi za Magu ulijificha na ID ukatelekeza.
 
Hata Putin anasema Ukraine hawana uwezo tena lakini dunia inajua kilichotendeka
Na watanzania wanajua kilichotendeka pia. Pitin unafikiri ataacha kutamba?
 
Nashangaa unashambulia Chadema wakati unafnya majadiliano na mtu ambaye hana uhusiano wowote na hicho Chama. Chuki yako kwa wakristo na Chadema inakufanya mpaka unapofuka macho na kukosa hoja kabisa. Wewe hoja kwako ni kuitukana Chadema na Mbowe! Endelea lakini hata Chadema ikifutika leo hii haimaanishi kuwa Zitto na ''ACT vibaraka'' mtakubalika! Najua kuwa huambiwa wala husikii baada ya muislam mwenzako kushika madaraka na kufanya udondokewe na makombo sasa hivi lakini mambo yatakavyobadilika utashangaa na utaishia pabaya sana!
Usitafute pakukimbilia mimi sijataja dini ya mtu naomba ujibu swali.

Kati ya vyama vya siasa ni vyama vipi vina wenyeviti waliodumu kwenye nyadhifa hizo kwa zaidi ya miaka 5, 10, 15 au 20?
 
Nani kasema umetaja dini? Kwani watu wadini huwa wanasema hata siku moja kuwa wana chuki na dini nyingine? Hawa watu hujulikana kwa matendo yao kama wewe unavyojulikana. Mnafki mkubwa na kibaraka. Chuki zako zote zimejikita kwenye dini na si kingine.
 
Kwani kila mtu ni mwandishi wa habari kama wewe? Maana kila mtu kwako, hajui kuandika
Mimi siyo mwandishi wa habari kumsahisha mtu au kumelekeza ni kosa?
 
Back
Top Bottom