CHADEMA hawana ushawishi kwa Watanzania kuchukua Dola, ni ndoto na kujidanganya

CHADEMA hawana ushawishi kwa Watanzania kuchukua Dola, ni ndoto na kujidanganya

Wanaukumbi.

Ni mtu mwenye mawazo finyu na upeo mdogo pekee anaweza kufikiria Chadema wana uwezo wa kuongoza taifa.

Ni sawa na kulinganisha kifo na Usingizi.

CCM ni chama chenye nguvu Ukanda wa Africa Mashariki, Kati hadi Kusini.

Ufipa ni chama chenye nguvu Machame na maeneo ya Moshi, Hadi Himo na Tarime, unaona tofati iliyopo Chadema wamekuwa watu wa kurukia matukio kila siku kukicha hawana dira hawajui Watanzania wanataka nini.

Chama kina mbunge moja wa kuchaguliwa kinapata wapi nguvu ya kujiita chama kikuu cha upinzani.

Sheria za FIFA zinakataza harakati au siasa kwenye viwanja vya mpira.

Hawa wafuasi wa Chadema hawana ufahamu wowote wao kila sehemu na matisheti ya Chadema katiba mpya daaah

Hivi nyie mnajielewa kweli?
Woga wenu CCM upo wazi kabisa.
 
Hao ni wahuni kama wahuni wengine waliojazana huku mitaani
JamiiForums1637019176.jpg
View attachment 2243016
 
Mkuu kwani huwezi kuandika uzi kuhusu ccm ili tuchangie ?
Vijana wa Mbowe hawana kazi. Muda wote wanazurula kwa pesa za kuomba omba.

Wameshafanya siasa ni ajira. Wanna Wana njaa
 
Attachments

  • Screenshot_2022-05-23-14-09-07-636_com.twitter.android.png
    Screenshot_2022-05-23-14-09-07-636_com.twitter.android.png
    122.5 KB · Views: 8
Wanaukumbi.

Ni mtu mwenye mawazo finyu na upeo mdogo pekee anaweza kufikiria CHADEMA wana uwezo wa kuongoza taifa.

Ni sawa na kulinganisha kifo na Usingizi.

CCM ni chama chenye nguvu Ukanda wa Africa Mashariki, Kati hadi Kusini.

Ufipa ni chama chenye nguvu Machame na maeneo ya Moshi, Hadi Himo na Tarime, unaona tofati iliyopo CHADEMA wamekuwa watu wa kurukia matukio kila siku kukicha hawana dira hawajui Watanzania wanataka nini.

Chama kina mbunge moja wa kuchaguliwa kinapata wapi nguvu ya kujiita chama kikuu cha upinzani.

Sheria za FIFA zinakataza harakati au siasa kwenye viwanja vya mpira.

Hawa wafuasi wa CHADEMA hawana ufahamu wowote wao kila sehemu na matisheti ya CHADEMA katiba mpya daaah

Hivi nyie mnajielewa kweli?
Swali la muda tu. Muda ukifika tsunami ya mabadiliko itawatosa bahari ya hindi na hatimaye nchi kuwa mikononi mwa watanzania.
 
Chadema hii hii ambayo mzee wa Chattle aliapa kuwamaliza? Akawamaliza akina Saanane na kuwalemaza akina Lissu then karma ikafanya kazi yake????

Aliyeapa na kutumia maguvu keshaenda, we nani hadi useme haya?????
 
Hawana ushawishi?Sasa,polisi,TISS na watumishi hasa walimu huwa kwa nini wanatumika kufanya wizi wa kura kwenye chaguzi?Umeandika kama unatumia mabega.
TISS,walimu,watumishi ,polisi wote hao ni raia kama wewe wana haki ya kupiga kura
 
Wanaukumbi.

Ni mtu mwenye mawazo finyu na upeo mdogo pekee anaweza kufikiria CHADEMA wana uwezo wa kuongoza taifa.

Ni sawa na kulinganisha kifo na Usingizi.

CCM ni chama chenye nguvu Ukanda wa Africa Mashariki, Kati hadi Kusini.

Ufipa ni chama chenye nguvu Machame na maeneo ya Moshi, Hadi Himo na Tarime, unaona tofati iliyopo CHADEMA wamekuwa watu wa kurukia matukio kila siku kukicha hawana dira hawajui Watanzania wanataka nini.

Chama kina mbunge moja wa kuchaguliwa kinapata wapi nguvu ya kujiita chama kikuu cha upinzani.

Sheria za FIFA zinakataza harakati au siasa kwenye viwanja vya mpira.

Hawa wafuasi wa CHADEMA hawana ufahamu wowote wao kila sehemu na matisheti ya CHADEMA katiba mpya daaah

Hivi nyie mnajielewa kweli?
Chadema hakikubaliki popote sikuizi kitu pekee wanachotegemea chadema ni kula ya chuki ikiwa mama sa100 atagombea 2025 au ccm kuchagua mtu anayempinga JPM NA NYERERE kugombea hivyo watz watapiga kula ya chuki kwa kuchagua mpinzani yoyote hata kama awamtaki ,chadema isije kuomba kikaundwa chama cha kweli chenye kubeba legacy ya JPM NA NYERERE hilo likitokea chadema awatapata hata mbunge mmoja na wakimpata itakuwa bahati kubwa sana
 
Kuchukua dola inaweza kuwa ndoto kweli ila sio kwa kukosa ushawishi. Kwa Katiba, sheria na mfumo wa sasa wa Tume ya Uchaguzi, CHADEMA hawawezi kuchukua dola.

Officers wa TISS wanaosimikwa na mwenyekiti wa CCM wamejazwa kuanzia NEC, jeshini, mahakamani, halmashauri (wasimamizi wa uchaguzi hawa) etc. CHADEMA wanapenyaje?

Kuendelea kuamini tofauti ni kujidanganya huku ukijua fika kwamba unajidanganya
 
Chama kinachomiliki wanachama wa aina yako wasioheshimu Maelekezo ya Viongozi wake kitawezaje kushika dola ?

Mnasingizia sijui Katiba mpya sijui vyombo vya dola kwani huko walipoangusha vyama tawala hapakuwa na hayo yanayowakwamisha nyie ?
Kama Samia ameweza kuwa rais basi hata mbwa ataweza.
 
Wewe acha kuota. Zinaogopwa hadi t shirt za Chadema, zikionekana tu sehemu polisi wanahaha.
Wewe mwenyewe ukweli unaujua sema njaa inakufanya ujitoe ufahamu.
 
Heri ya Samia,lakini si kwa Jiwe. Kama magufuli aliweza kuwa Rais basi hata mchepuko wangu wa huko Buza kwa Mpalange unaweza kuwa Rais mzuri kuliko Kayafa.
Ni kweli. Mimi huwa nasema kuanzia kwa Kikwete mpaka sasa wote kwangu ni marais wa chiniya viwango. Hawakupaswa kuwa marais!
 
Narudia: mtu mwenye elimu ya kuunga unga kama Samia amekuwa rais ni nani atashindwa?
Sasa wewe ungekuwa na mtu makini ungekuwa mateka wa Mbowe elimu yake kidato cha nne tena DJ akili za Bavicha bana.
 
Ni kweli. Mimi huwa nasema kuanzia kwa Kikwete mpaka sasa wote kwangu ni marais wa chiniya viwango. Hawakupaswa kuwa marais!
Kumbe ndiyo maana Mbowe kwa miaka 22 mwenyekiti CHADEMA.

- Chama kina wanachama na wafuasi wapumbavu hadi inatia huruma yaaani. 🤒
 
Back
Top Bottom