CHADEMA hawana ushawishi kwa Watanzania kuchukua Dola, ni ndoto na kujidanganya

Uwanja uliochezewa mpira jana unaitwa...
Viongozi wa CDM hawakuwa wakifanya siasa mpirani,walikuwa ni watazamaji waliolipia kiingilio kama wengine.
Je,Rais anapokwenda mpirani huwa ni siasa?
Wana CDM waliokwenda uwanjani walivaa sare za Katiba Mpya,hiyo ndiyo siasa inayoogopewa na CCM!
 
Kama za Uvccm waliosema ENL alipupu kwa nguo kule chattle?Hivi Kunguru na Mbwa ni yupi mwenye ahueni vile?
 
Kweli kabisaaaaa.Umenena kweli tupu
 

Haya uliyoandika ndio matamanio ya kila mwanaccm.
 
Sema chadema hawana vitisho vya kuiba kura
 
Genge la magaidi nani alipe nchi??. Hako ka saccos kao tu, mbilinge tupu humo ndani.
 
Mi haitokuja kutokea kupiga kura chadema wana ukabila mno chama cha watu fulani bora ccm wanajielewa
 
Kwenye siasa hilo linawezekana.
kupenda CHADEMA ni sawasawana kupenda mkia wa simba kabla ya kuona kichwa chake. uchaguzi ulio[pita walikuja tuanguasha mwishoni kwa maudhi makali sana.
 
2025 CDM wanachukua usukani na kwa miaka mi5 tu nchi itakuwa mbali kimaendeleo utayaonana na kuyafurahia mwenyewe.
 
2025 CDM wanachukua usukani na kwa miaka mi5 tu nchi itakuwa mbali kimaendeleo utayaonana na kuyafurahia mwenyewe.
Miaka 22 mmeshidwa kujenga ofisi ya Chama mkipewa nchi si mtaigawana.
 
Miaka 22 mmeshidwa kujenga ofisi ya Chama mkipewa nchi si mtaigawana.
Usingalie kariba kama wenye uoni hafifu ione Tanzania mpya Chini ya CDM, kila siku chini ya sisiemu hali ya maisha ya mtz inakuwa ngumu kuliko jana.
 
Ni mtu mwenye mawazo finyu na upeo mdogo pekee anaweza kutumia muda wake kutwa kucha kukinanga chama ambacho hakina nguvu wala ushawishi kwenye jamii

Ni mtu asiyejielewa tu ndiye anayeweza kuzungumzia kitu ambacho hakijulikani ndani ya nchi zaidi ya kujulikana mkoa mmoja tu

Ni mtu mwenye uwezo mdogo kiakili ndiye anayeweza kuzungumzia chama ambacho hakijawahi kuwa na wabunge wa maeneo mengine tofauti na huko machame moshi na Himo
 
Naona kisu kimegusa kunako mfupa [emoji23]
 
Vijana wa Mbowe hawana kazi. Muda wote wanazurula kwa pesa za kuomba omba.

Wameshafanya siasa ni ajira. Wanna Wana njaa
Hivi polepole amewahi kulima hata robo heka ya tango au tikiti maji
 
Hii ni kwa mujibu wa wafuasi wa marehemu
 
Chama kinachomiliki wanachama wa aina yako wasioheshimu Maelekezo ya Viongozi wake kitawezaje kushika dola ?

Mnasingizia sijui Katiba mpya sijui vyombo vya dola kwani huko walipoangusha vyama tawala hapakuwa na hayo yanayowakwamisha nyie ?
Yeye ni mwanachama kwa kadi namba ngapi?? Mbona kna wanaccm wenzako ni watukanaji wazuri tu huku au mkuki kwa nguruwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…