CHADEMA haya mnayoyafanya ndio yalipelekea tukaletewa Hayati Magufuli

KATIBA NA MIKUTANO YA VYAMA NI HARAKA, HAKUNA WA KUZUIA LABDA MUNGU TU, KATIBA INAKUJA NA VYAMA VITAFANYA MIKUTANO MMEZIDI SANA CCM
 
Nimekubaliana nawewe 100%
 
Reasoning yako mbovu sana, unatumia mahaba ya "mama" kufikiria badala ya logic, unasema Chadema iko outdated kisa Mbowe kukaa madarakani muda mrefu ila bado CCM inalazimisha ushindi mbele ya Chadema kwa kutumia kura feki za kwenye mabegi meusi, na msaada wa polisi na Tume ya uchaguzi, jifunze kutafakari kwa makini wacha kukurupuka kwa kuongozwa na mahaba wewe msukule wa mama, anyway hata mjinga nae ana confidence.
 
Mbowe , Mbowe. , Mbowe , Mbowe , Mbowe aaaaah jaribuni figure ingine tumechoka
 
Chadema ni chama cha umma sio cha mwenyekiti. Mkikosea spana ziko pale pale.
Chadema ni chama cha wanachama wake kama ilivyo kwa CCM. Sana za mtu ambae si mwanachama hazitawanyima usingizi.

Serikali ni ya umma na huko ndiko spana za raia yeyote bila kujali itikadi zinaweza kuwakosesha usingizi.

Amandla...
 
Ccm toka uhuru, nayo haina jipya,imekosa ushawishi.Sio Mbowe tu.
 
Eti tija ya Taifa hebu badilisheni Mwenyekiti wa tokea enzi za Pontio Pilato.
Jiunge na Chadema ugombee uenyekiti. Kama sio mwanachama masuala ya Mwenyenyekiti kuwepo toka enzi za Zinjanthropus hayakuhusu.

Amandla...
 
Jiunge tu na chama pendwa kama siasa za kizamani za Chadema hauzipendi. Wako wanaozipenda na wataendelea kukipigia kura.

Amandla...
 
Jiunge na Chadema ugombee uenyekiti. Kama sio mwanachama masuala ya Mwenyenyekiti kuwepo toka enzi za Zinjanthropus hayakuhusu.

Amandla...
Yananihusu sana kwasababu nyie mnapokea ruzuku ya serikali ambayo mimi ni mlipa kodi wake.
 
Kwa nini mnajikita na Chadema tu wakati kuna vyama vingine vingi vya upinzani?!

Viko CUF ya Lipumba, NCCR ya Mbatia, TLP ya Mrema, UDP, CHAUMA n.k kwa nini kila siku mada ni CHADEMA na Mbowe?!
 
Kwa nini unataka kuilewa Chadema inataka nini na sio CUF, ACT, TLP au NCCR?!
Kuelewa chadema wanataka nini ni kazi sana kama kuelewa kiuno cha nyoka kiko wapi ukivishe shanga.
 
Babu Tale ni mjumbe wa kamati ya fedha na uchumi UVCCM
Malisa ni Mzee yule ujana unaishia miaka 35 tu acheni ujinga hafu 2025 hamtapata hata hao wabunge wa viti maalumu yaani mtaambulia kapa kabisa
 
Kufananisha madai katiba na mke sijui mimba ni insanity think big, Mwendazake alitumia udhaifu wa katiba tulionayo kutaka kutaka kuuwa upinzani nchini, kutesa watu na kuuwa, sasa wenye akili lazima wadeal na katiba kwanza.

Pili lazima ujue matakwa ya katiba sio isani ya Mama ni takwa la wananchi.

Tafuta clip ya Prof Rweitama alzungumzia vizuri sana kwenye kongamano la katiba pale Baracuda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…