Elections 2015 CHADEMA ikipewa Nchi, Oktoba 2015, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala wa Kidikteta? Nauliza Tuu!

Elections 2015 CHADEMA ikipewa Nchi, Oktoba 2015, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala wa Kidikteta? Nauliza Tuu!

Alianza ishu ya ukomo wa uongozi, nikaguna baada ya kuhisi ukakasi wa kipengele cha kutokuwa na ukomo wa uongozi. Nilijifariji nikidhani labda viongozi na wanachama walipitiwa kwenye hicho kipengele. Leo hii limekuja suala la mahakama, kwa kiasi fulani nilishindwa kumwelewa Lissu aliposema eti mwanachama hapaswi kwenda mahakamani, nikaguna ila kama kawaida yangu nikatafuta katiba ya Chadema, kiukweli nadiriki kusema neno DEMOKRASIA halipaswi kutumiwa na Chadema hata kidogo. Hata jina la chama tu lingebadilishwa. Huwezi kuhubiri demokrasia wakati unazuia watu kwenda mahakamani. Hii si sawa hata kidogo. Kuna baadhi ya watu wanasema eti hata TFF hupaswi kwenda mahakamani. Wanakosea, TFF au mpira wa miguu wana mahakama zao na wanasheria waliosomea sheria za mpira wa miguu. Kinachokatazwa ni kwenda kwenye hizi makahakama ambazo si za michezo, ila kwenda mahakama ya mpira wa miguu inaruhusiwa. Sasa Chadema wamekuwa wao ndio mahakama, wao ndio majaji, wao ndio vyombo vya dola. Katiba wameiweka kiasi kwamba mwanachama hana haki yoyote ile pindi linapokuja suala laa kutafuta suluhu. Sidhani kama demokrasia ipo namna hii. Wengi leo wanashangailia labda kwa sababu hawampendi Zitto, ni sawa, ni haki yao. Lakini ifike mahali tuangalie haya mapungufu ya katiba kwa mapana zaidi.
 
Mabadiliko hayo ya katiba ya Chadema ya mwaka 2006, pia yalipenyeza kipengele kinachomzuia mwanachama wa Chadema, kupeleka kesi yoyote mahakamani kukishitaki chama!. Hi ni kipengele cha kidikteta kuminya haki, na kiko kinyume cha katiba ya JMT, ambayo inasisitiza chombo pekee cha kutoa haki ndani ya JMT ni mahakama!. Kwa kipengele hiki, Chadema imejijengea himaya yake ya kidikteta ndani ya JMT ambayo haiutambui mhimili wa mahakama!. Na mwanachama ukipeleka jambo lolote mahakamani, ukishindwa, hapo ndipo mwisho wa uanachama wako wa Chadema!.

Sasa nawauliza wanasheria na watetezi wa haki za binaadamu, hivi mwana Chama wa Chadema akikosa haki ndani ya chama chake akaitafute wapi?!.

Pasco, umeona kwa Mamvi hakulipi umeamua kuja huku kuhara.
Kwa Taarifa yako, hata TFF, Mwanachama wa TFF akipeleka Issue Mahakamani automatically anakuwa amaejivua uanachama.
Mark this
 
Last edited by a moderator:
Pasco,
1. Unajua kwanini umeweka bandiko lako siku ya leo hapa jukwaaani?.
2. Unadhani CHADEMA wangekuwa wanafanya maamuzi kwa kutofuata katiba yao wangeendelea kuwa chama cha siasa?.
3. Unadhani Msajili wa vyama vya siasa hana akili?.
4. Katika maisha kuna kushindwa na kushinda. wewe unadhani mtu anaweza kushindana na taasisi inayotumia katiba yake kiharali?.

KAMA TUKIFUATA SHERIA NA KATIBA, HATUTAKUWA NA HOFU KAMA UNAZOZILETA HAPA JUKWAANI
 
Wanadai hawana njaa na kura za waislamu,wana mtaji mkubwa wa kura za wenzao ,unawatosha sana.

Hii propaganda hata cdm wanajua kwamba itatumika vizuri kwahiyo kwa sasa hawana cha kuogopa kuhusu propaganda hii, kwani uzuri wa wananchi sasa wanajua propaganda za aina hii ndio ziliishia kuwapa uongozi akina Mzee wa vijisenti, mama wa milioni kumi ya mboga, akina Gurumo na wengine wakabeba hela mpaka kwenye marambo huko stanbic. Na hao waislamu mnaodhani ni wajinga kwa propaganda ya namna hiyo ni bora cdm wakose kura zao maana muda wote wa uongozi wataacha kutumikia wananchi bali kujihusisha na mambo ya imani. Hili sio lengo la cdm kupata kura za mitazamo ya kidini. Huko kwenu ccm ndio mnategemea kura za kiimani na matokeo tunayaona mahakama ya kadhi mara iletwe bungeni mara danadana ili muendelee kuwatumia waislamu kama toilet paper.
 
ITAUWA WATU WENGI SANA.
just imagine uwe na waziri kama sugu halafu ujifanye kumchimbachimba,kama hajatuma watu wakakunyonga ama kukupiga shaba.
lema awe waziri umletee vyoko,utaokotwa mtaloni minus your head.

Si kweli,Katiba ndio sheria mama, kila kitu kuhusiana na shughuli yoyote ndani ya CHADEMA ni kwa mujibu wa Katiba ya Chama hicho!. Sheria yoyote, kanuni yoyote na taratibu yoyote, ikivunjwa lazima aliyevunja awajibishwe,.
 
Alianza ishu ya ukomo wa uongozi, nikaguna baada ya kuhisi ukakasi wa kipengele cha kutokuwa na ukomo wa uongozi. Nilijifariji nikidhani labda viongozi na wanachama walipitiwa kwenye hicho kipengele. Leo hii limekuja suala la mahakama, kwa kiasi fulani nilishindwa kumwelewa Lissu aliposema eti mwanachama hapaswi kwenda mahakamani, nikaguna ila kama kawaida yangu nikatafuta katiba ya Chadema, kiukweli nadiriki kusema neno DEMOKRASIA halipaswi kutumiwa na Chadema hata kidogo. Hata jina la chama tu lingebadilishwa. Huwezi kuhubiri demokrasia wakati unazuia watu kwenda mahakamani. Hii si sawa hata kidogo. Kuna baadhi ya watu wanasema eti hata TFF hupaswi kwenda mahakamani. Wanakosea, TFF au mpira wa miguu wana mahakama zao na wanasheria waliosomea sheria za mpira wa miguu. Kinachokatazwa ni kwenda kwenye hizi makahakama ambazo si za michezo, ila kwenda mahakama ya mpira wa miguu inaruhusiwa. Sasa Chadema wamekuwa wao ndio mahakama, wao ndio majaji, wao ndio vyombo vya dola. Katiba wameiweka kiasi kwamba mwanachama hana haki yoyote ile pindi linapokuja suala laa kutafuta suluhu. Sidhani kama demokrasia ipo namna hii. Wengi leo wanashangailia labda kwa sababu hawampendi Zitto, ni sawa, ni haki yao. Lakini ifike mahali tuangalie haya mapungufu ya katiba kwa mapana zaidi.

Wangalau leo umezungumza point. Ila kiukweli hata Zitto mwenyewe alishaichoka cdm ni wakati sasa kwenda kufanya siasa pengine. Bado umri unamruhusu na uwezo anao. Hilo la katiba ni changamoto cdm wanapaswa kulifanyia kazi nikiwa kama mshabiki wa cdm ili kuitoa ccm madarakani. Kwenye mapungufu ni vyema tukubali na tuyafanyie kazi sasa hili ni jukumu la cdm wanachama na viongozi wao. Lakini tutaiunga mkono cdm mpaka tuhakikishe wanaitoa ccm madarakani na kuanzia hapo hatutakuwa na chama kikongwe ni rahisi kudhibitiwa na wananchi na sio hiki ccm kikongwe kilichotekwa na mafia na wafanyabiashara haramu.
 
Kiuhalisia Demokrasia ni Utawala Holela!!! Nchi hii inahitaji nidhamu kuliko hata professionalism ... enough !!! CHADEMA ichukue nchi irejeshe heshma iliyopotea ndani ya nchi yetu... Kila mahali ni wizi, rushwa na ufisadi uliokithiri.. CCM na mamluki wao must go...
'Demokrasia sio Coca Cola ifanane Dunia nzima" J.K. Nyerere
 
Ngoja wenye chama uwajue, wengine tunamsubiri mgombea binafsi
 
ITAUWA WATU WENGI SANA.
just imagine uwe na waziri kama sugu halafu ujifanye kumchimbachimba,kama hajatuma watu wakakunyonga ama kukupiga shaba.
lema awe waziri umletee vyoko,utaokotwa mtaloni minus your head.
Mkuu hizo "nyoko nyoko" unaleta za nini?? btw, hao wanao tupwa mabwe pande nani anaye watupa? na hao wanao tekwa kisa wanataka kuandamana(reef. Vijana wa jkt) yote hayo yanafanywa na na akina nani na kwa miongozo ya katiba gani??
 
ITAUWA WATU WENGI SANA.
just imagine uwe na waziri kama sugu halafu ujifanye kumchimbachimba,kama hajatuma watu wakakunyonga ama kukupiga shaba.
lema awe waziri umletee vyoko,utaokotwa mtaloni minus your head.

hahaaaaaahaaaaaaaaaaaaaaa,,,jf raha weeeeeeee
 
Endelea KUNYA kwa style zote lakini Habari ndo hiyo... Bora Simba wakali 1000 nje kuliko nyoka mdogo ndani.... Hakuna Demokrasia isiyokuwa na Mipaka... Zitto ali-cross line mara nyingi sana !!! Mbowe kwa hekma alifanikiwa sana kumvumilia LAKINI mara zote yeye alijiona kuwa ni mjuaji anajua zaidi akaongeza Ushirikiano wa karibu zaidi na akina Jack Zoka, Wassira, Ramadhan Igondou, Lukuvi et al .... Hakujua kuwa CHADEMA ni Mpango wa Mungu!!! Sheikh Ponda aliwahi kusoma Dua kwenye Ufunguzi wa Mkutano wa CHADEMA pale Jangwani kwa kumuomba Mwenyeezi Mungu awadhalilishe wale wote wenye Kudhulumu Mali za Watanzania.... Hakika Dua yake ilijibiwa maana sasa tunaona wanadhalilika kila kona ...
Alianza ishu ya ukomo wa uongozi, nikaguna baada ya kuhisi ukakasi wa kipengele cha kutokuwa na ukomo wa uongozi. Nilijifariji nikidhani labda viongozi na wanachama walipitiwa kwenye hicho kipengele. Leo hii limekuja suala la mahakama, kwa kiasi fulani nilishindwa kumwelewa Lissu aliposema eti mwanachama hapaswi kwenda mahakamani, nikaguna ila kama kawaida yangu nikatafuta katiba ya Chadema, kiukweli nadiriki kusema neno DEMOKRASIA halipaswi kutumiwa na Chadema hata kidogo. Hata jina la chama tu lingebadilishwa. Huwezi kuhubiri demokrasia wakati unazuia watu kwenda mahakamani. Hii si sawa hata kidogo. Kuna baadhi ya watu wanasema eti hata TFF hupaswi kwenda mahakamani. Wanakosea, TFF au mpira wa miguu wana mahakama zao na wanasheria waliosomea sheria za mpira wa miguu. Kinachokatazwa ni kwenda kwenye hizi makahakama ambazo si za michezo, ila kwenda mahakama ya mpira wa miguu inaruhusiwa. Sasa Chadema wamekuwa wao ndio mahakama, wao ndio majaji, wao ndio vyombo vya dola. Katiba wameiweka kiasi kwamba mwanachama hana haki yoyote ile pindi linapokuja suala laa kutafuta suluhu. Sidhani kama demokrasia ipo namna hii. Wengi leo wanashangailia labda kwa sababu hawampendi Zitto, ni sawa, ni haki yao. Lakini ifike mahali tuangalie haya mapungufu ya katiba kwa mapana zaidi.
 
Chadema ni chama kizuri na kina malengo mazuri kama kinavojinadi kila kukicha ila kwa suala la kupewa nchi bado sana,dhamana ya nchi sio suala rahisi kama tunavofikiria,chadema bado haina hazina ya viongozi kuendesha nchi jamani tuwe wa kweli, mfano mdogo tu,endapo chadema ikishika nchi baraza la mawaziri litakuaje?

Wewe ni mwanajf mzigo.
Kwani uchaguzi umeshafanyika na kujua cdm wana wabunge wangapi na ni kina nani?
Ukishàzoea aina fulani ya watu wakipokezana vyeo bas unajua wengine hawawezi ccm imekuharibu hata ww utaeza tu.
Kikwete kabadilisha Mawaziri zaidi ya 120 ina maana ccm na uwingi wao hawana watu safi?
 
Pasco
CHADEMA ikipewa nafasi kuongoza italeta mtindo wa ufalme. Nchi itatawaliwa kikoo koo.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna cha udikiteita wala nini. Chadema kama zilivo taasisi nyingine wana aki ya kuwa na bye-laws ilikulinda mienendo ya watu wakorofi kama hao akina zito ambao kutokana na ujinga au jeuri zao wanakataa kufuata taratibu za taasisi husika. Hizi taratibu ziko kila sehemu ulimwenguni.
Tatizo hapa ni mahakama ya Tanzania ambayo siyo huru hata kidogo! Ni chombo cha watu wachache waliopo madarakani ndani ya ccm kama ilivo kwa polisi na bunge. Wengi hawatakubaliana na hili ila kilichomfanya zito ashindwe kesi na hivo kufukuzwa chadema ni kwa sababu ndoa yake na ccm/kikwete imevunjika indirectly kutona na ripoti yake ya wizi wa escrow.
Arudi tu kwa mwenyekiti wa escrow, kikwete akamlambe miguu kisha akate rufaa atashinda baadae bila tatizo lolote maana tanzania maigizo hayaishi!
 
Chadema ni chama kizuri na kina malengo mazuri kama kinavojinadi kila kukicha ila kwa suala la kupewa nchi bado sana,dhamana ya nchi sio suala rahisi kama tunavofikiria,chadema bado haina hazina ya viongozi kuendesha nchi jamani tuwe wa kweli, mfano mdogo tu,endapo chadema ikishika nchi baraza la mawaziri litakuaje?

Mkuu devcon usichoweza kutambua kuwa ni kwamba kwa mfumo uliopo kwa sasa CDM haina hazina ya hao unawotaja kuwa baraza la mawaziri. Ila Ufahamu kwamba mfumo ulipo sasa ndio umetufikisha kwene matatizo haya tuliyonayo. Tunahitaji Mawaziri wasiokuwa wanasiasa.. Na kama utahitaji mawaziri wasiokuwa wanasiasa basi CDM ama chama kingine chochote kinaweza kuendesha serikali bila Tatizo...Tunapswa kuondoa mfumo huu wa kupeana vyeo bila qualifications na Pengine kwa sababu Mnafahamiana tu.....Tufute ujinga wa kukabidhi nchi yote kwa wanasiasa,hata kama ni CDM ama chama kingine...Kwa matatizo tuliyonayo na hali tuliyonayo sioni njia nyingine ya kututoa kama mfumo utabaki kuwa huu wa kuwa na ndugu kuanzia ikulu mpaka wilayani...
 
Wanabodi!.

Preamble: Chadema ni Chama cha Kimokrasia na Maendeleo jina tuu, ila uendeshaji wake ni wa kidikteta wa hali ya juu!. Katiba yake inavipengele vya kidikteta vinavyokwenda kinyume cha katiba ya nchi!, hii thread ni ya swali tuu, Hivi Chadema ilivyo, bado haijakabidhiwa nchi, inatoa maamuzi ya kiimla Jee Chadema Ikikabidhiwa Nchi hapo October 2015!, Hakuna Hatari ya Uwezekano wa Kuigeuza nchi yetu kuwa ni nchi ya Utawala wa Kidikteta?!. Pasco

You're killing me Pasco!

Kama unalala na kuamka ukidhani CHADEMA watakabidhiwa nchi hapo October 2015, utakuwa ni kati ya watu wenye daydream.

Kwa CHADEMA hii, haitatokea.
 
Back
Top Bottom